Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

Na ndio hicho nimekisema tangia mwanzo na hatari kwa Watanzania na nchi nyingine ni kwa kuwaona wanyarwanda wote na warundi wote popote walipo kama virusi fulani ambavyo inapaswa vifukuzwe au kuondolewa.., Je swali kabla ya Kabila kulikuwa hakuna watusi hapo North Kivu ? Na sijasema hilo eneo waachiwe Watusi au Rwanda, bali Jamii zote ambazo zipo hapo sasa hivi ikiwemo na hao watusi; Hamtaki basi walindeni kama raia wengine wa Congo. Sababu chokochoko za huko zinaleta shida na matatizo kwa eneo zima la maziwa makuu na Afrika kwa Ujumla.
 
Two State Solution😅😅
 
Mkuu, mwafrika akili zake anazijua mwenyewe. Sudan walipigana mpaka wakatenga Sudan mbili. Ajabu ile Sudan ya Kusini baada ya kuwa nchi, wakashindwana wao kwa wao na sasa wanapigana.
 
Yani hao wanyamulenge waliokimbia vita Rwanda na kulowea hapo kivu ndo wasababishe nchi igawiwe?? Hiyo hapana.,, kivu ni ya wakongo hao wakishindwa kukaa hapo warudi kwao Rwanda
Mtutsi siyo mtu wa kuishi naye jirani, jiulize kwanini Kagame anawatetea na kulazimisha kuwa ni raia wa Congo? Anawatumia kuiibia Congo. Hao ni wa kuangamizwa. Kagame hana akili wala uwezo wwte wa kijeshi anawategemea mabwana zake walioko Ulaya, ni shoga tu huyo.
 
Ukifanya hivyo kesho wataibuka wengine huko kigoma au karagwe nao watake kujitenga.
 
Watakufa siku Madini yakiisha, umesoma Analysis ya kiongozi wa Jeshini wa South Africa? Wana latest weapon zilizotumika vita vya Israel na Palestine ambazo Either wamepewa na Usa ama Israel. Niambie Wametoa wapi hizo silaha.

Watu wote wenye akili wanajua ni vita vya Rasilimali na Madini, ndio maana hata kwenye matakwa yao wanataka wao ndio wawe Askari wa Boda, kunakotoroshewa hayo Madini.

Personally ningekua na influence Congo ningepiga ukuta hio boda.
 
Hawaridhiki wale, wanataka kutwaa nchi nzima ya congo. Hata ukimega nchi ya congo mashariki na kuwapa watataka kujitanua kwenye nchi zingine kama Tanzania, kigoma, katavi, kagera na tabora watataka iwe yao washenzi wale
Kwahio tuwauwe au tufanye kama Hilter alivyowafanya Jews tuwaweke kwenye concentration camps ?

Sababu alternative ni kuwapa haki sawa kama Wakongo wenzao, Je unadhani watu wenye mentality kama yako kwamba wanataka kujitanua na kuiba nchi zote utawakubalia / watawakubalia ?
 
Jiongeze, unapowasilisha madai yako kudai haki zako kisheria akili ni kuanza na madai ya juu kabisa yanoonkena kama ya kiwendawazimu ili mwisho wa siku upatiwe kile unachostahili. Madai yao ni 23% wakijadiliana wanaweza kuafikiana kwenye 10%. Kama haki yako ni 10% halafu ukadai 10% hiyo hiyo unaweza kujikuta unaishia kupata 5%.
 
Hivi hapa tunaongelea M23 (ambao kwangu mimi mwisho wa siku wao na vikundi vyote kama hivi inabidi vitokomezwe kwa kushirikiana) au tunaongelea Haki za wakongo waliopo hapo Congo (North Kivu) No matter kama wanaongea Kinyarwanda (Tutsi) au otherwise..., Kwahio kuna alternative mbili (wapewe haki kama raia ya Congo); Je Congo itakubali ?!! Na kama haitakubali what is solution kwa upande wako ?
 
Kwanini lakini iwe 10% kwa 0.5 am 1% kwanini 1% ipewe nguvu ya Kuchagua meya na viongozi wengine? Kwanini 1% ipewe nguvu ya kutoa Raisi, kwanini 1% ilinde boda etc, na kwanini sio 99%?

Watu wa Asili wa Kivu ni Batwa, ukitoa wao pia kuna bashi na nande, nikuulize wewe mwana demokrasia feki, kwanini unasuport hawa watu wataliwe na watutsi ambao ni wahamiaji kwenye eneo lao? Kama ni ku gawanya nchi kwanini hawa Indigenous people wasipewe wao eneo lao? Tumeanza lini kushabikia minorities wapewe nguvu kukandamiza majority?
 
Mkuu, mwafrika akili zake anazijua mwenyewe. Sudan walipigana mpaka wakatenga Sudan mbili. Ajabu ile Sudan ya Kusini baada ya kuwa nchi, wakashindwana wao kwa wao na sasa wanapigana.
Mataifa yote duniani nje ya Africa ndivyo yalivyopatikana, sisi wazungu walikuja kuchora mipaka yao wakatuharakisha kuwa mataifa ambayo hayakujitafuta yenyewe ndio sababu ya hizo shida. Sudan Kaskazini ya Waarabu na wenyewe pia wanatandikana sasa hivi.
 
Ni hivi, Congo haijafanya sensa kwa zaidi miaka 40 sasa kwa hiyo Banyamulenge kuwa laki tano ni porojo tu, halafu kwenye ardhi sio jambo la ajabu wachache wakamiliki ardhi kubwa , duniani kote kwenye tawala za majimbo utakuta kuna majimbo yenye watu wachache wanamiliki ardhi kubwa wakati kuna jamii zenye watu wengi wakiwa na ardhi ndogo.

Hayo mengine ya kutoa rais ni uongo. Kuwa "placed in presidency" haimaanishi watatoa rais. Presidency ni taasisi kwa maana ya Rais, makamu, mawaziri, washauri, wafanyakazi Ikulu na intelligence.
 
Solution ni ku control hayo Madini, tutazunguka kote ila mwisho wa siku hakuna kinachopiganiwa bali ni Madini, kwa namna yoyote ile kuwe kwa mazungumzo ama hata kijeshi. Yakiwa controlled na kuuzwa kwa haki Automatic hivyo vikundi vitapotea.

Ila kutoa Eneo kwa minority, ambao hata hapo Kivu sio majority ni ujinga, kama lengo ni kuisaidia kivu si kuna makabila makubwa ya Kivu? Kwanini hayo makabila hayatajwi kwenye kugawa keki. Ya kivu ila wanatajwa wa tutsi ambao eneo sio lao?

Haya mambo ndio walitumia Wazungu kuleta Mipasuko Middle East na ndio yanaletwa na huku pia, kuna hatari kubwa mno kuwapa minorities Sehemu na mwisho wake siku zote huleta Genocide.
 
Wamsai Wana demand ya kupewa nusu ama robo ya nchi? Hawana so mfano sio sahihi.
Je na sisi au Kenya tumesema kwamba Wamasai wote sio watanzania wala wakenya na hawaruhusiwi kupiga kura au kuwa na representative yoyote ?

Under the rule of Mobutu Sese Seko, the Banyarwanda were not considered citizens of Congo despite many of them having lived in Kivu since long before Congoan independence, and even colonization. In 1972, they were granted citizenship rights. However, this was rescinded in 1981, though it was never made into law. In practice, they have had no voting rights and no representation. Since the takeover of Congo by Laurent Kabila in May 1997, there has been no formal change of policy. As of 2003, the issue of citizenship for the Bayarwnada has been left to the Transitional Government, created in June of 2003.
 
Kwanini wamiliki eneo la watu? Batwa wapo hapo eneo ni lao, nande wapo, Bashi wapi etc wote population zao ni kubwa zaidi ya mara kumi ya hao wanyarandwA, why wapewe wao uongozi?
 
Na hao ndugu zao ambao ni watusi waende wapi ? Wawauwe, wawafukuze au waishi nao kama ndugu (sababu ndicho wanachodai na kutaka baadhi ya hao ambao ni ndugu zao) na hao ndugu wanavyogombana hata sisi majirani wanatuletea kero na sintofahamu. Sababu kusema unalinda mipaka huku unabagua baadhi ya raia wako sidhani kama ni ubinadamu
 
Kwanini wamiliki eneo la watu? Batwa wapo hapo eneo ni lao, nande wapo, Bashi wapi etc wote population zao ni kubwa zaidi ya mara kumi ya hao wanyarandwA, why wapewe wao uongozi?
Ukisema hivyo unamaanisha kwamba wao sio watu au hawana haki kama hao wengine ? Je na hao wengine wanatengwa kwamba sio raia ? Kwenye nchi yao mpya hao wote basi waendelee kuishi kama ndugu pamoja wote kwenye nchi yao, alternatively Congo Kinshasa ianze kuwakubali na kulinda raia wake wote ikiwemo hawa watusi wa Kivu.
 
Banyarwanda ni kitu kimoja? Kwa uelewa wangu kutumia Banyarwanda ni kupotosha, kwenye Banyarwanda ndani kuna Ethinicities tofauti na sio kitu kimoja, Banyamulenge ni part ya Banyarwanda ila wapo Against M23 na most of time wanaunga mkono serikali ya Congo. Na issue ya kupiga kura si imesha kua resolved kwenye Katiba mpya Chini ya Kabila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…