Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

suluhisho ni rahisi Sana. Tuanze kuwanyonga Kama huko china au Kwa style ya Jerry Rawlings au ikishindikana Kabisa tuwachukulie sheria mkononi Kama vibaka mtaani Kwa waziri yeyote aliye- sign mkataba wa magumashi…
Kwa mahakama zipi? Hizi za vimemo na simu?
 
Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala
Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda..
Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba yetu wapo na wanaendelea kula bata..hawana wasiwasi kabisa.. Na ni hao hao kati yao kwenye hizo fidia nao wana cha kwako😳🤬🤬🤬
Washeria wetu wa serikali
Ni vihiyo
Hawana uzalendo
Wananunulika
Ni mbumbumbu wa sheria za kimataifa na uwekezaji
Ni waoga
Mwisho wa siku tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida

Sasa imetosha.. Tumevumilia imefika mwisho.. Taifa linalodaiwa ni Taifa na nchi ya Tanzania
Hili lina lina nuksi
Hili jina lina sifa mbaya
Hili jina lina migogoro Mungu
Hili jina lina madeni mengi sana
Kuna shida gani tukiachana nalo sasa?
Turudi kwenye Tanganyika yetu..
Ni jina zuri
Linapendeza
Halina kashfa
Halina madeni
Halina nuksi
Halimilikiwi na chama chawala
Tubadili jina kutoka Tanzania kwenda Tanganyika.. Na madeni yote yatakoma.. Maana anayedaiwa ni Tanzania sio Tanganyika
Marehemu hadaiwi bali husamehewa madeni..
View attachment 3140428
Panahitaji elimu mkuu, ya kizalendo zaidi, kwa ajili ya masilai ya tanganyika
 
Dawa ni kukiondoa hiki CHAMA CHAKAVU..yaani tukikatae kwa nguvu zetu zote kama tulivyomkataa SHETANI na mambo yake yote, la sivyo wajukuu na vitukuu vyetu vitakuja kutushangaa sana
 
Panahitaji elimu mkuu, ya kizalendo zaidi, kwa ajili ya masilai ya tanganyika
Unapokua na NCHI ya VIONGOZI wacheza DILI na WAZUNGU , alafu WALAFI na wala RUSHWA kutoka CCM , basi madhara yake ndio haya yanayolidumbukiza TAIFA letu kwenye HASARA kubwa namna hii. LISSU alisema sana jambo hili, wakaamua kumzawadia MARISASI ya kutosha.
 
Hautarithi ya nchi ya Zanzibar 🐼
Hussein kachukuwa GREEN BELT ya Zanzibar Stone Town kawapa “investors” anataka kuchukuwa nyumba za Kikwajuni kuwapa “investors”,
Halafu 2025 TUKIMKATAA,
Samia ataleta JWTZ kutuuwa.

Maana CCM lazim ISHINDE hata kwa kumwaga DAMU za Wananchi!

Basi TENDENI HAKI msidhulumu
Shangazi Fatuma twitter
 
Eeh, h
Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala
Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda..
Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba yetu wapo na wanaendelea kula bata..hawana wasiwasi kabisa.. Na ni hao hao kati yao kwenye hizo fidia nao wana cha kwako😳🤬🤬🤬
Washeria wetu wa serikali
Ni vihiyo
Hawana uzalendo
Wananunulika
Ni mbumbumbu wa sheria za kimataifa na uwekezaji
Ni waoga
Mwisho wa siku tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida

Sasa imetosha.. Tumevumilia imefika mwisho.. Taifa linalodaiwa ni Taifa na nchi ya Tanzania
Hili lina lina nuksi
Hili jina lina sifa mbaya
Hili jina lina migogoro Mungu
Hili jina lina madeni mengi sana
Kuna shida gani tukiachana nalo sasa?
Turudi kwenye Tanganyika yetu..
Ni jina zuri
Linapendeza
Halina kashfa
Halina madeni
Halina nuksi
Halimilikiwi na chama chawala
Tubadili jina kutoka Tanzania kwenda Tanganyika.. Na madeni yote yatakoma.. Maana anayedaiwa ni Tanzania sio Tanganyika
Marehemu hadaiwi bali husamehewa madeni..
View attachment 3140428
Eeh, ikiwezekana tufanye hivyo KABISA maana makampuni yanayochimba madini hubadili majina na madeni hayalipi Tena. MUNGU atuwezeshe tubadili jina .
 
TLS kazi yao nibuchaguzi wao tu. Baada ya hapo huwaoni.
 
Tunaitaka Tanganyika...

Tanzania ife na iondoke machoni petu na kizazi cha wazee wa aina ya Nyerere J.K, Mwakye,mbe, Msekwa, Warioba, Wassira na wafananao na hawa...

Huu muungano wa kilaghai, udanganyifu na kihuni ndio umetuletea balaa la mwanamke huyu aitwaye Samia Suluhu Hassan, raia wa nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar...

Sasa basi, vijana wa kizazi 1980s, 1990s na 2000s hatutaki tena ujinga huu uitwao "muungano wa Tanganyika & Zanzibar..."

WE WANT OUR TANGANYIKA BACK TOKA HUKO ILIKOFICHWA NA MASHETANI HAYA...!!
 
Wameingizwa kwenye madeni ya nchi
IMG-20241102-WA0062.jpg
 
Hii PPP ya kafulila ipo siku tutakuja kulia kama ndama.

Maana mwenyewe anavyoipigia Promo mpaka naanza kupata mashaka nayo.

Tuwe makini jamani.
 
kubadili jina la nchi hakuondoi deni lake. Sheria ya mikataba ya kimataifa inatambua majukumu ya kifedha ya nchi yanaendelea hata kama nchi hiyo itabadili jina lake, mipaka yake, au mfumo wake wa kisiasa.

Ina maana kwamba nchi inabaki kuwa chombo kimoja cha kisheria licha ya mabadiliko yoyote ya ndani. Kwa hiyo, mikataba na madeni yaliyochukuliwa na nchi yanaendelea kuwa halali hata kama nchi itabadili jina lake.

Kwa mfano, wakati Rhodesia ilipata uhuru na kuwa Zimbabwe mwaka 1980, ilirithi madeni yote ya Rhodesia.
Inaoneka wewe ni mwanasheria mzuri mno tena msomi na unaelewa sana mambo, kulingana na Maelezo yako mazuri.

Sasa kwanini nyie wanasheria kupitia kile chama chenu cha wanasheria Tanganyika msingekuwa mnaisaidia serikali katika kusimamia maswala ya vifungu vya kimkataba, kutafsiri vifungu vya mkataba, sheria zake, conflict of interests, na kila kitu then mjue if mkataba ni sutable au ni wakutukandamiza, kwaajili ya maslahi mapana ya nchi.

Kwanini msitusaidie jamani hata sisi tusiokuwa na elimu ya sheria tufurahie uwepo wenu nchini nyie kama mashujaa wetu wa masuala ya sheria!.
 
Back
Top Bottom