Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
Chenge ndiye alikuwa mwanasheria msomi na mla rushwa mkubwa sana📍🔨Tatizo ni viongozi wa chama chetu tawala wana sign mikataba mibaya kwa kuhogwa halafu ukija uongozi mpya wanavunja mikataba ili wahogwe wenyewe na sio waliopita mwekezaji akataa kuhonga mara mbili. Baada ya hapo wanafuta mkataba bila kufuata sheria kwa “manufaa ya umma” sasa ni manufaa gani kama tunalipa mabilioni! Hii ndiyo ramani nzima
Kwahiyo mikataba yenyewe unakuta ilikuwa mibaya lakini wameshahongwa sana. Chenge ndiye alikuwa mwanasheria msomi na mla rushwa mkubwa sana