Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

suluhisho ni rahisi Sana. Tuanze kuwanyonga Kama huko china au Kwa style ya Jerry Rawlings au ikishindikana Kabisa tuwachukulie sheria mkononi Kama vibaka mtaani Kwa waziri yeyote aliye- sign mkataba wa magumashi…
Kwa mahakama zipi? Hizi za vimemo na simu?
 
Panahitaji elimu mkuu, ya kizalendo zaidi, kwa ajili ya masilai ya tanganyika
 
Dawa ni kukiondoa hiki CHAMA CHAKAVU..yaani tukikatae kwa nguvu zetu zote kama tulivyomkataa SHETANI na mambo yake yote, la sivyo wajukuu na vitukuu vyetu vitakuja kutushangaa sana
 
Panahitaji elimu mkuu, ya kizalendo zaidi, kwa ajili ya masilai ya tanganyika
Unapokua na NCHI ya VIONGOZI wacheza DILI na WAZUNGU , alafu WALAFI na wala RUSHWA kutoka CCM , basi madhara yake ndio haya yanayolidumbukiza TAIFA letu kwenye HASARA kubwa namna hii. LISSU alisema sana jambo hili, wakaamua kumzawadia MARISASI ya kutosha.
 
Hautarithi ya nchi ya Zanzibar 🐼
Hussein kachukuwa GREEN BELT ya Zanzibar Stone Town kawapa “investors” anataka kuchukuwa nyumba za Kikwajuni kuwapa “investors”,
Halafu 2025 TUKIMKATAA,
Samia ataleta JWTZ kutuuwa.

Maana CCM lazim ISHINDE hata kwa kumwaga DAMU za Wananchi!

Basi TENDENI HAKI msidhulumu
Shangazi Fatuma twitter
 
Eeh, h Eeh, ikiwezekana tufanye hivyo KABISA maana makampuni yanayochimba madini hubadili majina na madeni hayalipi Tena. MUNGU atuwezeshe tubadili jina .
 
Eeh, h Eeh, ikiwezekana tufanye hivyo KABISA maana makampuni yanayochimba madini hubadili majina na madeni hayalipi Tena. MUNGU atuwezeshe tubadili jina .
 

TLS kazi yao nibuchaguzi wao tu. Baada ya hapo huwaoni.
 
Tunaitaka Tanganyika...

Tanzania ife na iondoke machoni petu na kizazi cha wazee wa aina ya Nyerere J.K, Mwakye,mbe, Msekwa, Warioba, Wassira na wafananao na hawa...

Huu muungano wa kilaghai, udanganyifu na kihuni ndio umetuletea balaa la mwanamke huyu aitwaye Samia Suluhu Hassan, raia wa nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar...

Sasa basi, vijana wa kizazi 1980s, 1990s na 2000s hatutaki tena ujinga huu uitwao "muungano wa Tanganyika & Zanzibar..."

WE WANT OUR TANGANYIKA BACK TOKA HUKO ILIKOFICHWA NA MASHETANI HAYA...!!
 
Wameingizwa kwenye madeni ya nchi
 
Hii PPP ya kafulila ipo siku tutakuja kulia kama ndama.

Maana mwenyewe anavyoipigia Promo mpaka naanza kupata mashaka nayo.

Tuwe makini jamani.
 
Inaoneka wewe ni mwanasheria mzuri mno tena msomi na unaelewa sana mambo, kulingana na Maelezo yako mazuri.

Sasa kwanini nyie wanasheria kupitia kile chama chenu cha wanasheria Tanganyika msingekuwa mnaisaidia serikali katika kusimamia maswala ya vifungu vya kimkataba, kutafsiri vifungu vya mkataba, sheria zake, conflict of interests, na kila kitu then mjue if mkataba ni sutable au ni wakutukandamiza, kwaajili ya maslahi mapana ya nchi.

Kwanini msitusaidie jamani hata sisi tusiokuwa na elimu ya sheria tufurahie uwepo wenu nchini nyie kama mashujaa wetu wa masuala ya sheria!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…