Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

Chenge ndiye alikuwa mwanasheria msomi na mla rushwa mkubwa sana📍🔨

 
Waziri wa Fedha wa sasa Mwigulu Nchemba, aliwahi kusema HATUTAGONGEWA MILANGO YETU KULIPA HILI DENI wasi wasi wetu ni nini?

Hatupaswi kujadili deni la TAIFA, analipa Yeye na Rais.Samia.
Kwamba "hatutagongewa milango kulipa deni" ni kauli ya dharau kuu kwetu wananchi na ulevi mkali wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…