Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.

Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.

Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.

Tafakari!!
 
UTAFUTWA SOON
 
Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
 
Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
Uoga wako ndiyo maisha yako,wangapi wamekufa?

Bora ufe ukipigania haki yako kuliko kuishi haki yako ikikandamizwa.

Nchi ngapi zimefanya hivyo na wanaishi,unaogopa kufa hao wanaouwawa je?
 
Na Mapinduzi ya Kijeshi kwa historia yako statistically kama ni odds unapewa ni mara ngani yanatoa matokeo chanya zaidi ya vinginevyo ?

Mapinduzi mara nyingi hata ambayo sio ya Kijeshi yanaweza yakawa na athari zaidi kama hamjajiandaa who will take Power - Power Abhors a Vacuum ; Ushauri badala ya kusubiri mapinduzi tuwe na utamaduni wa kuwabana na kuwashinikiza watumishi wetu (tatizo mtu akipata makombo na yeye anabadilika kuwa mtetezi na myonyaji wa mwenzake)

Utawabana saangap wakati wanarithishana uongozi? Unadhan Hawa CCM wa Sasa hivi wanaweza kuwajibishana?
 
tukipata mapinduzi ya kijeshi ndo tutapotea zaidi
Nchi zote zilizopita ktk vita huanza upya kwa kujipanga na kuendelea kwakuwa kila mtu atamheshimu mwenzie na atafanya vitu kwa hofu ya mapinduzi
 
Wanaoogopa mapinduzi ya kijeshi ni walio madarakani na wanaofaidika nao hivyo lazima wapinge wazo hilo ila itafika tu siku haina jinsi!!
 
Kuongozwa na jeshi hata hizi porojo mtandaoni hazitakuepo Magufuli alijaribu kuweka mambo Sawa mkaanza kulia DIKTETA sembu uongozwe na Jeshi tue na katiba kali Fisadi anapigwa risasi au ananyongwa akikamatika na Ushaidi
 
Nimekwambia raia ndiyo apindue nchi au jeshi?acha kukurupuka bado una safari ndefu sana ndani ya ujinga!!
Una upei mdogo sana wa kufikiri kama umesoma mpaka university basi ulisoma kufaulu na Si kuelimika
 
Utawabana saangap wakati wanarithishana uongozi? Unadhan Hawa CCM wa Sasa hivi wanaweza kuwajibishana?
Wanaweza kuendelea sababu watu bado hawajabanwa na shida na bado wana hope (ungekuwa muumini wa historia ungetambua kwamba hakuna jipya) mambo yote ni marudio na shida itakuja kwa watu kukosa mkate wao wa kila siku na hope (yalitokea huko Ufaransa na French Revolution); thus kutokana na teknolojia na automation bomu linalokuja ni watu kukosa ajira / ujira kwahio have nots wanaongezeka kila kukicha...

Dondoo; ni pale linapoendelea Kenya kila siku kwa Gen Z kudai mabadiliko, na lilianza kabla huko Tunisia na kusambaa mpaka Egypt (Arab Springs) lakini likasimama tu sababu waliochukua uskani wa mapinduzi hayo walikuwa Muslim Brotherhood ambao walikuwa worse kuliko waliopita...; Kwahio ushauri ni kwa viongozi kujua kula na Vipofu..., bila hivyo yajayo hayafurahishi na sio kwao tu bali kwa wote
 
The root cause of everything is poverty;
Historia ya familia nyingi inasabisha mtu akipata ka upenyo na fursa kuwa katika system ni mwendo wa kujilimbikizia na kuhakikisha anakomba ili mababu na mababu zake waloishi maisha ya uhohe hahe angalau wafurahi huko waliko.

Seriously, Kuna tatizo kubwa ambalo kwa kuimba tu uzalendo wakati wale wanaotakiwa kuonyesha uzalendo namba Moja wao ndio wanafisadi hakuna kitu tunafanya.

Uzalendo ni kwa masikini na wale ambao wako nje ya mifumo, harafu walioko kwenye mifumo somo la uzalendo ni Kama haliwahusu.

Safari yetu ni ndefu sana seriously... Sioni suluhisho la miaka ya karibu karibu hapa.
 
Turudi kutawaliwa na Wakoloni

Nionavyo Nchi itachukuliwa na wadeni wanaotudai karibuni tutamkumbuka Ndugai
 
Back
Top Bottom