Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.

Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.

Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.

Tafakari!!

Africa nzima tusijichanganye Watanzania ni slow sana wenzetu mbona wako sawa Zambia wana demokrasia, Botswana wana demokrasia...... mbona hawana drama. Matatizo yetu Tanzania ni CCM
 
Jeshi ni taasisi ya kulinda inchi dhidi ya uvamizi mipakani.

Majeshi huingilia pale raisi aliyepo madarakani anapotumia mbavu kutawala raia na kukanyaga katiba.

Ila jeshi sio taasisi ya kiuongozi mbadala wa taasisi ya uraisi.

Suluhisho na jibu la kuondokana na huu uharibifu na usumbufu ni kwa raia kushiriki moja kwa moja kupitia taasisi zilizopo katika kusimamiana na kuwajibika kisheria kwa kufuata Katiba ya inchi.

Raisi sio jukumu lake pekee kuleta maendeleo ya taifa ni la wanainchi pia.

Tanzania taasisi ambazo zipo active ni kama ifautavyo:

Tupo active sana kwenye taasisi za kimichezo kama mpira wa miguu kwa kufuatilia na kuchagia na kuzingatia ratiba huko kama ibada ndio maana makampuni ya betting yapo vizuri sana kifedha, team za mpira kama yanga na simba na azam zinaweza kupata mapato makubwa sana.

Tupo active sana katika ushiriki wa ngono. Ngono ni neno pana ila ndani yake ni matendo au mahusiano yote ambayo ni kinyume na mahusiano halali ya ndoa na ndio maana tunaona matokeo yake.

Tupo vema sana katika wizi na udokozi. Nashangaa kwanni wananyooshewa vidole tu CCM. Kila mtu kwa nafasi yake hata anapoiba reki ya ofisi ya serikali pia ni ufisadi.

Tumewekeza zaidi katika upumbavu badala ya elimu za kujifunza na kuwa na mabadiliko.

Tumewekeza sana kwenye lawama na sio matendo ya kujirekebisha na kuchukua hatua za mabadiliko.

Ni vingi sana vina athiri Maendeleo yetu ila hatuviweki bayana ili kubadilika.
 
Bahati mbaya Tanzqnia hakuna jeshi kwa hiyo Mapinduzi hayawezekani labda tuamua siso wananchi
 
Huyu ni Dkt Msomi anasisitiza "UASI" tafuta audio yake upate madini
 
Attachments

  • 2025_08_28_22.39.05.png
    2025_08_28_22.39.05.png
    910.4 KB · Views: 23
Jeshi ni taasisi ya kulinda inchi dhidi ya uvamizi mipakani.

Majeshi huingilia pale raisi aliyepo madarakani anapotumia mbavu kutawala raia na kukanyaga katiba.

Ila jeshi sio taasisi ya kiuongozi mbadala wa taasisi ya uraisi.

Suluhisho na jibu la kuondokana na huu uharibifu na usumbufu ni kwa raia kushiriki moja kwa moja kupitia taasisi zilizopo katika kusimamiana na kuwajibika kisheria kwa kufuata Katiba ya inchi.

Raisi sio jukumu lake pekee kuleta maendeleo ya taifa ni la wanainchi pia.

Tanzania taasisi ambazo zipo active ni kama ifautavyo:

Tupo active sana kwenye taasisi za kimichezo kama mpira wa miguu kwa kufuatilia na kuchagia na kuzingatia ratiba huko kama ibada ndio maana makampuni ya betting yapo vizuri sana kifedha, team za mpira kama yanga na simba na azam zinaweza kupata mapato makubwa sana.

Tupo active sana katika ushiriki wa ngono. Ngono ni neno pana ila ndani yake ni matendo au mahusiano yote ambayo ni kinyume na mahusiano halali ya ndoa na ndio maana tunaona matokeo yake.

Tupo vema sana katika wizi na udokozi. Nashangaa kwanni wananyooshewa vidole tu CCM. Kila mtu kwa nafasi yake hata anapoiba reki ya ofisi ya serikali pia ni ufisadi.

Tumewekeza zaidi katika upumbavu badala ya elimu za kujifunza na kuwa na mabadiliko.

Tumewekeza sana kwenye lawama na sio matendo ya kujirekebisha na kuchukua hatua za mabadiliko.

Ni vingi sana vina athiri Maendeleo yetu ila hatuviweki bayana ili kubadilika.
 
Attachments

  • 2025_08_28_22.39.05.png
    2025_08_28_22.39.05.png
    910.4 KB · Views: 28
Mimi naunga mkono, ila wakati wa hayo mapinduzi ya kijeshi nitafurahi sana kama mimi nitakuwa mjeda nitakayewamiminia wewe, mkeo, watoto wako, wazazi wako, dada zako na familia yao zote, Kaka zako na familia zao zote njugu ili msiwepo kabisa katika nchi hii! Wewe omba tu iwe kweli na ikiwezekana nenda kwa Padre wako msali wote Novena ili litokee!
Hahaaa umenikumbusha novena bado majibu mpk saa ngapi halafu mkumbushe kabla ya kuwaua umbake mamayake na mke wake shenz type mnahubiri vita mnaijua au mnaina kwa tv
 
Mliopo kwenye huu uzi eote hamjitambui.mngejua mambo yanaweza kutokea kwa chanzo cha kiumbe mmoja na ambaye hamkumzania nsinge hangaika kupiga kelele
 
Africa nzima tusijichanganye Watanzania ni slow sana wenzetu mbona wako sawa Zambia wana demokrasia, Botswana wana demokrasia...... mbona hawana drama. Matatizo yetu Tanzania ni CCM
Kuke hawana chuki za kidini jichunguze kama haya hayakuwepo awamu za watakifu kama nyerere mkapa magufuli
 
Hahaaa umenikumbusha novena bado majibu mpk saa ngapi halafu mkumbushe kabla ya kuwaua umbake mamayake na mke wake shenz type mnahubiri vita mnaijua au mnaina kwa tv
We waache tu wajifanye wajuaji. Wanafikiri wamejificha JF! Kikinuka, tunao! Shenzi taipu zao!!!
 
Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
Kuna price to pay kuondoa mfumo dhalimu, unadhani ni rahis? Kuna gharama

Lazima gharama iwepo na hilo halikwepeki
 
Hili genge cccm hatuliwezi kwa njia ya uchaguzi magumashi, tunamhitaji Traore wa hapa malawi atusaidie wananchi!.
 
Wanajeshi wakishikaga uchumi huwa hawaachii. Huwa wanajitajirisha balaa. Kawaulize Pakistan na Misri.
 
Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
Damu kumwagika kwenye maandamano kupitia mikono ya wanaotumwa na serikali za kisiasa zilizokosa vision huoni kama ni tatizo unaona ni tatizo ikimwagika kupitia kuwapindua hao wezi?
 
We waache tu wajifanye wajuaji. Wanafikiri wamejificha JF! Kikinuka, tunao! Shenzi taipu zao!!!
Watu waliokufa mwembechai na huko zanzibar wao hawakuwa na uhai?

Watu kama nyie huwa mpo tu hamkosekani aidha kwa kuwa mnashiriki kula keki ya nchi au mmezaliwa mkiwa maiti tayari.

Bora yenu mliokwishajichagulia jinsi ya kufa kuwa mtakufa mkiwa usingizini ila nakukumbusha tu kuwa hata Nyerere hakuamini alipotaka kupinduliwa.

Subirini!!
 
Back
Top Bottom