Bora nusu shari kuliko shari nzima!!Hivi kuna wezi wanawazidi hao viongozi wa kijeshi, ukiambiwa utajiri wa hao macdf utashangaa!
Elimu haimuelimishi mtu ingekuwa hivyo basi wasomi wote wangeelimika ila nyie ndiyo hovyo kabisa washamba wa kutupwa.Una upei mdogo sana wa kufikiri kama umesoma mpaka university basi ulisoma kufaulu na Si kuelimika
Kuna cdf yoyote amewahi kupindua nchi au unaongea tu kwa kuwa una mdomo??Hivi kuna wezi wanawazidi hao viongozi wa kijeshi, ukiambiwa utajiri wa hao macdf utashangaa!
Unaishi nchi gani?Sio kwa nchi Kama Tanzania
Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.
Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.
Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.
Tafakari!!
Huna haja ya kunieleza hilo hadi nakuja hapa ina maana najua na nina sababu ya kuandika hivi.Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.
Au mwenzetu tayari umejipanga kukabiliana na watu wasiojulikana?
Wewe utaishi milele.Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.
Au mwenzetu tayari umejipanga kukabiliana na watu wasiojulikana?
Jf kuna mods wananopitia kila andiko linaloletwa humu kama wao wamelipitisha kwa kuona halina madhara na wanafahamika mimi nina kosa gani??Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.
Au mwenzetu tayari umejipanga kukabiliana na watu wasiojulikana?
Mimi naunga mkono, ila wakati wa hayo mapinduzi ya kijeshi nitafurahi sana kama mimi nitakuwa mjeda nitakayewamiminia wewe, mkeo, watoto wako, wazazi wako, dada zako na familia yao zote, Kaka zako na familia zao zote njugu ili msiwepo kabisa katika nchi hii! Wewe omba tu iwe kweli na ikiwezekana nenda kwa Padre wako msali wote Novena ili litokee!Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.
Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.
Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.
Tafakari!!
Binadamu ana akili automatically ,elimu ni kama mila ..Kiafrika elimu imezalisha wezi.Una upei mdogo sana wa kufikiri kama umesoma mpaka university basi ulisoma kufaulu na Si kuelimika
Comrade, tuwe tu waangalifu, in the end tuna familia zinatutegemea.Jf kuna mods wananopitia kila andiko linaloletwa humu kama wao wamelipitisha kwa kuona halina madhara na wanafahamika mimi nina kosa gani??
Mkuu umesema na la kwangu!Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.
Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.
Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.
Tafakari!!
Yaani jamaa anategemea CDF ndiye anyanyue kopo lake kuamrisha watu wapindue nchi? Cdf mwenyewe ananyatia uteyuzi akistaafu saa ngapi ataamrisha watu wapindue? Mapinduzi yanafanywa na wanajeshi wa chiniKuna cdf yoyote amewahi kupindua nchi au unaongea tu kwa kuwa una mdomo??
Acha kukurupuka soma uelewe kwanza!!Yaani jamaa unategemea CDF diye anyanyue kopo lake kuamrisha watu wapindue nchi? Cdf mwenyewe ananyatia uteyuzi akistaafu saa ngapi ataamrisha watu wapindue? Mapinduzi yanafanywa na wanajeshi wa chini
Sema ni typing error na wewe! Nilikuwa namaanisha huyo uliyekuwa unamwelekeza. Sentensi ilitakiwa isomeke "Yaani jamaa anategemea CDF....." na siyo "Unategemea". Kwa hiyo ilikuwa siyo wewe ninayemsema!Acha kukurupuka soma uelewe kwanza!!