Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.

Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.

Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.

Tafakari!!
Nakubaliana kabisa na wewe comrade
 
Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
Kwa hiyo utawala wa kiraia kama huu wa mama ako kutoka KUZIMU-KAZI ndio hauna umwagaji damu eti ehee??

Halafu naomba unijibu unaweza vipi kuilinganisha serikali ya mtu kama Traore na hii ya kwenu hapa tanzagiza inayotumia balozi zake kuhonga homeless people huko ughaibuni wamsifie samia eti anakubalika???
 
Nilishasema na nendelea kusema TANZANIA haitakombolewa kwa ngonjera za kina liissu,slaaa,mange kimambi,heche,mbowe,nk kwani ni vibaraka na mamruki wa ccm suluhisho pekee ni mtutu wa bunduki kusnip kila adui na familia yake kwisha kwani wao ni kundi kubwa sana haowezekani kuondoolewa kwa pamoja bali mmommoja
 
Back
Top Bottom