HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
UTAFUTWA SOONHakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote.
Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote na pia shughuli za kuabudu yaani makanisa na misikiti yote yafungwe watu wasali wakiwa majumbani kwao.
Bora mwizi anayekupa kidogo i.e:dikiteta kuliko anayechukia kila kitu i.e:mwanasiasa/kiongozi wa dini.
Tafakari!!
Uoga wako ndiyo maisha yako,wangapi wamekufa?Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
Anza wewe mkuuUoga wako ndiyo maisha yako,wangapi wamekufa?
Bora ufe ukipigania haki yako kuliko kuishi haki yako ikikandamizwa.
Nchi ngapi zimefanya hivyo na wanaishi,unaogopa kufa hao wanaouwawa je?
Nimekwambia raia ndiyo apindue nchi au jeshi?acha kukurupuka bado una safari ndefu sana ndani ya ujinga!!Anza wewe mkuu
huu mjumuisho si sahihi. Bado tunao wenye weledi...!hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa
tukipata mapinduzi ya kijeshi ndo tutapotea zaidiNimekwambia raia ndiyo apindue nchi au jeshi?acha kukurupuka bado una safari ndefu sana ndani ya ujinga!!
Utawabana saangap wakati wanarithishana uongozi? Unadhan Hawa CCM wa Sasa hivi wanaweza kuwajibishana?Na Mapinduzi ya Kijeshi kwa historia yako statistically kama ni odds unapewa ni mara ngani yanatoa matokeo chanya zaidi ya vinginevyo ?
Mapinduzi mara nyingi hata ambayo sio ya Kijeshi yanaweza yakawa na athari zaidi kama hamjajiandaa who will take Power - Power Abhors a Vacuum ; Ushauri badala ya kusubiri mapinduzi tuwe na utamaduni wa kuwabana na kuwashinikiza watumishi wetu (tatizo mtu akipata makombo na yeye anabadilika kuwa mtetezi na myonyaji wa mwenzake)
Kwenye Shamba la Wanyama kinachohitajika Sio Kumfukuza Binadamu, bali kuondoa Mentality kwamba baadhi ni Bora kuliko Wengine
Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu). Kinachoendelea sasa katika...www.jamiiforums.com
Nchi zote zilizopita ktk vita huanza upya kwa kujipanga na kuendelea kwakuwa kila mtu atamheshimu mwenzie na atafanya vitu kwa hofu ya mapinduzitukipata mapinduzi ya kijeshi ndo tutapotea zaidi
Una upei mdogo sana wa kufikiri kama umesoma mpaka university basi ulisoma kufaulu na Si kuelimikaNimekwambia raia ndiyo apindue nchi au jeshi?acha kukurupuka bado una safari ndefu sana ndani ya ujinga!!
Wanaweza kuendelea sababu watu bado hawajabanwa na shida na bado wana hope (ungekuwa muumini wa historia ungetambua kwamba hakuna jipya) mambo yote ni marudio na shida itakuja kwa watu kukosa mkate wao wa kila siku na hope (yalitokea huko Ufaransa na French Revolution); thus kutokana na teknolojia na automation bomu linalokuja ni watu kukosa ajira / ujira kwahio have nots wanaongezeka kila kukicha...Utawabana saangap wakati wanarithishana uongozi? Unadhan Hawa CCM wa Sasa hivi wanaweza kuwajibishana?