Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

Una upei mdogo sana wa kufikiri kama umesoma mpaka university basi ulisoma kufaulu na Si kuelimika
Elimu haimuelimishi mtu ingekuwa hivyo basi wasomi wote wangeelimika ila nyie ndiyo hovyo kabisa washamba wa kutupwa.

Bora mtalii anaelimika kuliko msomi kwani kutembea ndiyo elimu bora duniani kwani u aona kwa macho siyo kukariri,wasomi hawajaelimika bali wamekarir vitu,ebo!!
 
Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.
Au mwenzetu tayari umejipanga kukabiliana na watu wasiojulikana?
 
Jeshi la Tanzania limepigana vita ngapi za nje zisizo na faida na watu walikufa kwaajili ya maslahi ya watu wengine si bora sasa wanajeshi wafe kwaajili ya TANZANIA na watu wake
 
Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.
Au mwenzetu tayari umejipanga kukabiliana na watu wasiojulikana?
Huna haja ya kunieleza hilo hadi nakuja hapa ina maana najua na nina sababu ya kuandika hivi.
 
Unapoandika hizi makala usisahau kuna doria mtandaoni.
Au mwenzetu tayari umejipanga kukabiliana na watu wasiojulikana?
Jf kuna mods wananopitia kila andiko linaloletwa humu kama wao wamelipitisha kwa kuona halina madhara na wanafahamika mimi nina kosa gani??
 
Kiongozi akishajifanya msomi basi ni mwizi ... Kiongozi anafikiria dollah na magari ya kifahari ,huyo hafai kabisa.
 
Mimi naunga mkono, ila wakati wa hayo mapinduzi ya kijeshi nitafurahi sana kama mimi nitakuwa mjeda nitakayewamiminia wewe, mkeo, watoto wako, wazazi wako, dada zako na familia yao zote, Kaka zako na familia zao zote njugu ili msiwepo kabisa katika nchi hii! Wewe omba tu iwe kweli na ikiwezekana nenda kwa Padre wako msali wote Novena ili litokee!
 
Mkuu umesema na la kwangu!
Dawa ni hiyo tu maana sanduku la kura limeshindwa kutoa suluhisho. Ila mianajeshi yetu sasa ilivyosinzia usingizi wa pono! Naomba kabisa apatikane mwehu mmoja tu achukue hatua!
 
Kuna cdf yoyote amewahi kupindua nchi au unaongea tu kwa kuwa una mdomo??
Yaani jamaa anategemea CDF ndiye anyanyue kopo lake kuamrisha watu wapindue nchi? Cdf mwenyewe ananyatia uteyuzi akistaafu saa ngapi ataamrisha watu wapindue? Mapinduzi yanafanywa na wanajeshi wa chini
 
Yaani jamaa unategemea CDF diye anyanyue kopo lake kuamrisha watu wapindue nchi? Cdf mwenyewe ananyatia uteyuzi akistaafu saa ngapi ataamrisha watu wapindue? Mapinduzi yanafanywa na wanajeshi wa chini
Acha kukurupuka soma uelewe kwanza!!
 
Acha kukurupuka soma uelewe kwanza!!
Sema ni typing error na wewe! Nilikuwa namaanisha huyo uliyekuwa unamwelekeza. Sentensi ilitakiwa isomeke "Yaani jamaa anategemea CDF....." na siyo "Unategemea". Kwa hiyo ilikuwa siyo wewe ninayemsema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…