Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

Sasa umeandika nini? Wewe jua tu, ukafikiri umejificha JF, kikinuka wewe ndio utaanziwa. Sasa Cha kufanya, omba kinuke! Maneno mengi ya nini? Nyambafu!!!!
 
Yaani ufisadi wa kijeshi? Au Jeshi litekeleze Ilani ya CCM kama zamani TPDF ilikuwa bi Mkoa wa Chama? Nutty logic!!
 
Kuhusu kuabudu umefeli, (you're losed minded)
 
na ndani ya gharama hizo na wewe uwemo ili sisi tupone.
Hapa ndo panapotushinda wabongo 😂😂😂😂 nani alipe gharama ili wengine wapone?? Kila mtu anataka kuwepo kwenye kupon.
 
Hatutaki mapinduzi ya kijeshi, kwa lipi hasa mpaka tufike huko
 
Waku wa vyombo vyote vya usalama na ulinzi vinzingatiwa sana, labda junior officers ndyo wafanye hizo harakati za mapinduzi
 
Damu kumwagika kwenye maandamano kupitia mikono ya wanaotumwa na serikali za kisiasa zilizokosa vision huoni kama ni tatizo unaona ni tatizo ikimwagika kupitia kuwapindua hao wezi?
ivi hapa tanzania CCM na serikali vimeshindwa jambo gani mpaka muwaze mapinduzi? tanzania imeimarika kila sekta ukilinganisha na nchi nyingi za bara hili,na kitu kizuri zaidi amani tunayo na sisi kama taifa tunatakiwa tujivunie na tuitetee kwa nguvu zote na yeyote anayejaribu kuivunja amani yetu iliyojengwa kwa jasho na damu na waasisi wa taifa letu tutakula nae sahani moja. kheri tupoteze mtu mmoja kwa ajili ya watanzania zaidi ya milioni 65
 
Nchi zote zilizopita ktk vita huanza upya kwa kujipanga na kuendelea kwakuwa kila mtu atamheshimu mwenzie na atafanya vitu kwa hofu ya mapinduzi
Hilo sio jambo la kutamani kabisa.
 
Waku wa vyombo vyote vya usalama na ulinzi vinzingatiwa sana, labda junior officers ndyo wafanye hizo harakati za mapinduzi
Nakuunga mkono ,jeshini huko wanapewa maslahi yao kabla ..Huo muda hawana labda hawa wanaongia kazini.
 
Ngoja wajibu! Kuna namna CCM pamoja na madhaifu yao ila wamewekeza kwenye amani na maendeleo japo ni slow sana .

Mwisho wa siku amani na uhai ni kitu muhimu sana.
 
Ngoja wajibu! Kuna namna CCM pamoja na madhaifu yao ila wamewekeza kwenye amani na maendeleo japo ni slow sana .

Mwisho wa siku amani na uhai ni kitu muhimu sana.
wakinijibu nitakwambia ila hakuna atakayejibu kwa usahihi.
 
Shida ni nani? Wakufanya hayo mapunduzi kwa haya majeshi yetu y CCM ama?🤣🤣🤣
 
Mapinduzi ya kijeshi husababisha umwagaji wa damu uliokubuhu mifano ipo mingi Burkina Faso, Sudan,Mali, Niger nk kamwe usiwazie kuhusu mapinduzi ya kijeshi
Bora mapinduzi ya kijeshi, kwa TZ ilivyo sasa almost nchi nzima inanyonywa damu day in day out si bora mapinduzi damu inamwagika kwa muda tu then mambo yanawekwa sawa. The end is what justifies the means.
 
100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…