Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

Ati????Unaunga mkono au unalaumu wanaodhulumiwa?? Ulimsikia katibu mkuu wa umoja wa mataifa alivojaribu kusema ukweli jana??? Mpaka Israel wamesema watawanyima visa viongozi wa umoja wa mataifa.
Haya ni maoni kama aliyoyatoa huyo katibu mkuu but kama umesoma mada ukaielewa.

Mdau anachosema mgogoro ulipofikia bora hao watu waamue kuhama au watulie amani iwepo coz wanaoumia mara nyingi siyo walioenda kumchokoza Mzayuni wanaumia zaidi wasiojua A wa B kuhusu hayo yanayoendelea.
 
Hadi wewe unatembelea vijiwe vya Draft?
 
Dhaifu kama wewe ndio utahama
Unajiona mwamba kwa sababu upo hapo jengo la wizara umeshika Tecno yako mkononi ukihangaika kubuni nyuzi za kumsifia Samia huku hapo chini pana mlinzi mwenye kirungu mkononi unadhani hayo ndiyo maisha ya vita.

Umewahi hata kusikia mlio wa bunduki wewe?sembuse hizo bombs wanazoangushiwa Palestinians,dizain yako ndiyo huwa mnajificha uvunguni kukitokea rabsha kwenye makazi yenu mnaacha wake zenu wakihangaika.
 
Ila Allah kweli kama yupo angeshawakomboa wapalestina zamani. Anavyoabudiwa kwa nidhamu, mashindano na kutajwatajwa kila wakati kwa ajili ya wapalestina yani angeshaifutilia mbali taifa teule Israel.
Hapo ujue Sasa Kama Allah Huyo Kweli,,kwanini wasipigee arubadiri,, Au mikwara tuuu,, Hizo arubadiri Sijui ni wizi tuuu wa kutishia wajinga
 
Hizo sehem ulizozitaja unajua ni kwa nini Israel inazikalia??
Baada ya vita kma six day war, Yom kippur war wakaziteka. However sheria za kimataifa haziruhusu ku occupy eneo baada ya vita unapaswa kuziachia baada ya truce au peace treaty. Ndio maana tuliondoa majeshi Uganda within a year or so baada ya kumng'oa Amin!

Cha ajabu Russia akivunja sheria hiyo huko Ukraine anafokewa ila Israel anaachwa
 
Unabii tu unatimia, kwanza nitawatawanya Israel, Kisha nitawarejesha(rejea Amos 9:15) , na haya yalitokea mwaka 133 AD ambapo Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa, mwaka 1948 walirejea. Kinachoendelea Sasa pia unabii tu unatimia katika Zakaria 12:2-3 kwamba Mungu ataifanya Jerusalem kuwa jiwe la mataifa kujikwaa, watapata jeraha nyingi. Wacha unabii utimizwe na Hawa Hamas.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie Huyo kipensi
 
Hapo ujue Sasa Kama Allah Huyo Kweli,,kwanini wasipigee arubadiri,, Au mikwara tuuu,, Hizo arubadiri Sijui ni wizi tuuu wa kutishia wajinga
Mbona walimsomea Ariel Sharon haikupita wiki akaingia kwa commatose kwa miaka zaidi ya 10 then akafariki
 
Ila Allah kweli kama yupo angeshawakomboa wapalestina zamani. Anavyoabudiwa kwa nidhamu, mashindano na kutajwatajwa kila wakati kwa ajili ya wapalestina yani angeshaifutilia mbali taifa teule Israel.
PUTIN: Nyie Hamas hamna akili, unaanzisha vita unayojua huwezi kushinda, uliyemchokoza akijibu unaanza kupiga mayowe kuomba msaada!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kisha nitawarejesha
Yes ila hao hawajarudishwa na Nabii wa Mungu bali USA!! sasa why mnamuingiza Mungu humo? Mungu akitaka kujitukuza hahitaji msaada hata kwenye Bible Israel haikusaidiwa na mtu kuiteka canaan
 
Nimemuona Kijana akilia Sana wa kipalestina akisema where is Islam???Please let's us join And kill Zionist,, Dog anafikiri Ni rahisi Hivyo.
 
""Hizi choko choko za vikundi vya Hamas nk. ni kujilisha upepo na kuongeza mateso, hazina msaada wowote endelevu kwa wapalestina. Wapalestina wakae wakijua, hakuna nchi ya kiarabu itajiingiza kichwa kichwa kuwapigania pale, sio Iran, Lebanon, Syria, Egypt, Jordan au Saudi Arabia ambayo ina muda, nguvu, rasimali au dhamira ya dhati ya kwenda moja kwa moja kuwapigania wapalestina, kila taifa linapambana na hali yake tu.""""

WEWE WASEMA
 
Umepoteza muda tu kuleta mada ndegu kama hiyo. Allah ambaye ni Mungu wa Hamas ameshawaambia kwenye Quran 5:21 kuwa nchi iliyoitwa Kanani walipewa Waisraeli. Waisraeli walipigwa na Warumi mwaka 133 AD na kutawanywa, mwaka 1948 walirudi kwenye nchi yao, Hamas wapishe, labda Quran 5:21 nayo ibadilishwe iseme nchi hiyo ni ya Hamas.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimemuona Kijana akilia Sana wa kipalestina akisema where is Islam???Please let's us join And kill Zionist,, Dog anafikiri Ni rahisi Hivyo.
vitoto vya kipalestina vinazaliwa na kuanza kufundishwa chuki dhidi ya israel vingali vichanga. Ni upuuzi, hizo jamii zifundishe watoto wao upendo badala ya chuki ni hatari
 
Wapalestina wakae kwa kutulia, kwa sababu hapo siyo kwao na Mungu wao Allah kwenye Quran 5:21 anashuhudia hapo ni Kwa Waisraeli. Wakae kwa kutulia, vinginevyo kipondo kitaendelea mpaka wahamie Ngorongoro.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
PUTIN: Nyie Hamas hamna akili, unaanzisha vita unayojua huwezi kushinda, uliyemchokoza akijibu unaanza kupiga mayowe kuomba msaada!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Putin hawezi ongea utumbo kma huo kingine kupigana kujikomboa sio ujinga, otherwise Mandela asingepigania uhuru South Africa maana makaburu walikua na silaha zote nzito nzito
 
mwaka 133 AD ambapo Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa
Acha uongo waisrael walishatawanyika kipindi cha utawala wa babylonia na badae Assyria. In fact makabila 10 yalishapotelea utumwani hata kabla Yesu hajazaliwa. Tatizo mnaisoma biblia juu juu sana mnapotosha watu tu.
 
Mungu katika Amos 9:15 alishasema miaka 538 BC kuwa atawarejesha Israel Kutoka alikowatawanya, na wakirudi, hakuna wa kuwatoa. Ndiyo haya yanatokea, Wapalestina hawatamudu vita hiyo, ilishasemwa miaka 538 BC nyuma kanisa na na yanatokea Sasa. Hamas wakae kwa kutulia,hawatamudu mziki huo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…