Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

Ati????Unaunga mkono au unalaumu wanaodhulumiwa?? Ulimsikia katibu mkuu wa umoja wa mataifa alivojaribu kusema ukweli jana??? Mpaka Israel wamesema watawanyima visa viongozi wa umoja wa mataifa.
Haya ni maoni kama aliyoyatoa huyo katibu mkuu but kama umesoma mada ukaielewa.

Mdau anachosema mgogoro ulipofikia bora hao watu waamue kuhama au watulie amani iwepo coz wanaoumia mara nyingi siyo walioenda kumchokoza Mzayuni wanaumia zaidi wasiojua A wa B kuhusu hayo yanayoendelea.
 
Unafahamu kuwa kuanzia juzo kambi za Jeshi la Marekani zilizopo Syria na Iraq zinarushiwa mabomu?

Kuna watu wasiojulikana huko Mashariki ya Kati wameshatangaza, Mmarekani yoyote na chochote cha Wamarekani duniani ni halali yao.

Mambo sasa hivi yanaelekwa kuwa "out of control".
Hadi wewe unatembelea vijiwe vya Draft?
 
Dhaifu kama wewe ndio utahama
Unajiona mwamba kwa sababu upo hapo jengo la wizara umeshika Tecno yako mkononi ukihangaika kubuni nyuzi za kumsifia Samia huku hapo chini pana mlinzi mwenye kirungu mkononi unadhani hayo ndiyo maisha ya vita.

Umewahi hata kusikia mlio wa bunduki wewe?sembuse hizo bombs wanazoangushiwa Palestinians,dizain yako ndiyo huwa mnajificha uvunguni kukitokea rabsha kwenye makazi yenu mnaacha wake zenu wakihangaika.
 
Ila Allah kweli kama yupo angeshawakomboa wapalestina zamani. Anavyoabudiwa kwa nidhamu, mashindano na kutajwatajwa kila wakati kwa ajili ya wapalestina yani angeshaifutilia mbali taifa teule Israel.
Hapo ujue Sasa Kama Allah Huyo Kweli,,kwanini wasipigee arubadiri,, Au mikwara tuuu,, Hizo arubadiri Sijui ni wizi tuuu wa kutishia wajinga
 
Hizo sehem ulizozitaja unajua ni kwa nini Israel inazikalia??
Baada ya vita kma six day war, Yom kippur war wakaziteka. However sheria za kimataifa haziruhusu ku occupy eneo baada ya vita unapaswa kuziachia baada ya truce au peace treaty. Ndio maana tuliondoa majeshi Uganda within a year or so baada ya kumng'oa Amin!

Cha ajabu Russia akivunja sheria hiyo huko Ukraine anafokewa ila Israel anaachwa
 
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama kabisa maeneo yale ili kuepusha shari zaidi.

Hizi choko choko za vikundi vya Hamas nk. ni kujilisha upepo na kuongeza mateso, hazina msaada wowote endelevu kwa wapalestina. Wapalestina wakae wakijua, hakuna nchi ya kiarabu itajiingiza kichwa kichwa kuwapigania pale, sio Iran, Lebanon, Syria, Egypt, Jordan au Saudi Arabia ambayo ina muda, nguvu, rasimali au dhamira ya dhati ya kwenda moja kwa moja kuwapigania wapalestina, kila taifa linapambana na hali yake tu.

Hilo eneo la Gaza hapo mashariki ya kati ni dogo sana, kavu mnoo, halina rasilimali zozote muhimu za kiuchumi ukiachilia hizi blah blah za kiimani ambazo zinatumika na pande zote kinafiki tu na kimchongo ili kujitengenezea uhalali wa kumiliki hayo maeneo kwa sababu ya umuhimu wa kihistoria.

Sasa kwanini watu wakae kwa wagombana?
Kwani dunia haina sehemu zingine za kuishi?
Kuna raha gani kuishi katika hali hiyo?

Unaweza kusema au kuwaza kuwa kwanini waisraeli wao wasihamishwe pale? Jibu ni moja tu, Israel kwa sehemu kubwa ndio inapamiliki pale kwa sasa (iwe kwa haki au mabavu), Israel haina muda wa kuchokoza wapalestina ili iendelee kukaa pale bali ina dhamira, muda na nguvu za kutaka kuwakandamiza zaidi na kuwatuliza vilivyo ikiwa wapalestina watataka kuendelea kubakia pale.

Kama kuna wafia dini huku duniani wanaoona ni lazima kuendelea kupigana vita pale mashariki ya kati basi waende wao pale kwa vivuli vya dini yao kupigana na sio kutumia wapalestina kama chambo.

Note:
Taifa la Palestina lina mchanganyiko wa watu wenye imani tofauti tofauti wakiwemo waislamu (97%) na wakristo (3%), wakati taifa la Israel nalo lina waumini wa kiyahudi (81%), waislamu (14%), dini za asili (3%) na wakristo (2%). Lakini kote huko kwa hayo mataifa na hao waumini ukichunguza utagundua miongoni mwao kuna wapagani na wahuni kibao, hivyo tusilazimishe hii vita kuwa ni vita ya kidini wakati ni siasa na tamaa tu.

TUMECHOKA NA VITA
HATUTAKI VITA
Unabii tu unatimia, kwanza nitawatawanya Israel, Kisha nitawarejesha(rejea Amos 9:15) , na haya yalitokea mwaka 133 AD ambapo Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa, mwaka 1948 walirejea. Kinachoendelea Sasa pia unabii tu unatimia katika Zakaria 12:2-3 kwamba Mungu ataifanya Jerusalem kuwa jiwe la mataifa kujikwaa, watapata jeraha nyingi. Wacha unabii utimizwe na Hawa Hamas.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unajiona mwamba kwa sababu upo hapo jengo la wizara huku hapo chini pana mlinzi mwenye kirungu mkononi unadhani hayo ndiyo maisha ya vita.

Umewahi hata kusikia mlio wa bunduki wewe?sembuse hizo bombs wanazoangushiwa Palestinians,dizain yako ndiyo huwa mnajificha uvunguni kukitokea rabsha kwenye makazi yenu.
Mwambie Huyo kipensi
 
Hapo ujue Sasa Kama Allah Huyo Kweli,,kwanini wasipigee arubadiri,, Au mikwara tuuu,, Hizo arubadiri Sijui ni wizi tuuu wa kutishia wajinga
Mbona walimsomea Ariel Sharon haikupita wiki akaingia kwa commatose kwa miaka zaidi ya 10 then akafariki
 
Ila Allah kweli kama yupo angeshawakomboa wapalestina zamani. Anavyoabudiwa kwa nidhamu, mashindano na kutajwatajwa kila wakati kwa ajili ya wapalestina yani angeshaifutilia mbali taifa teule Israel.
PUTIN: Nyie Hamas hamna akili, unaanzisha vita unayojua huwezi kushinda, uliyemchokoza akijibu unaanza kupiga mayowe kuomba msaada!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kisha nitawarejesha
Yes ila hao hawajarudishwa na Nabii wa Mungu bali USA!! sasa why mnamuingiza Mungu humo? Mungu akitaka kujitukuza hahitaji msaada hata kwenye Bible Israel haikusaidiwa na mtu kuiteka canaan
 
Hapa kwetu ni pakubwa, isingekuwa udini wao tungewapa msomera wakaishi huko kama wahamiaji na baadae kuwa raia wa nchi hii. Congo mashariki nako ni pakubwa kuliko msomera ila huko nako moto unawaka hapajatulia. Wapalestina wakae watengeneze amani na israel kwa kuchoreana mipaka ya mataifa yao na wasichokozane. Wengine wanaweza kuondoka kwa amani kwenda mataifa mengine duniani kuomba uraia huko na maisha yakaendelea
Nimemuona Kijana akilia Sana wa kipalestina akisema where is Islam???Please let's us join And kill Zionist,, Dog anafikiri Ni rahisi Hivyo.
 
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama kabisa maeneo yale ili kuepusha shari zaidi.

Hizi choko choko za vikundi vya Hamas nk. ni kujilisha upepo na kuongeza mateso, hazina msaada wowote endelevu kwa wapalestina. Wapalestina wakae wakijua, hakuna nchi ya kiarabu itajiingiza kichwa kichwa kuwapigania pale, sio Iran, Lebanon, Syria, Egypt, Jordan au Saudi Arabia ambayo ina muda, nguvu, rasimali au dhamira ya dhati ya kwenda moja kwa moja kuwapigania wapalestina, kila taifa linapambana na hali yake tu.

Hilo eneo la Gaza hapo mashariki ya kati ni dogo sana, kavu mnoo, halina rasilimali zozote muhimu za kiuchumi ukiachilia hizi blah blah za kiimani ambazo zinatumika na pande zote kinafiki tu na kimchongo ili kujitengenezea uhalali wa kumiliki hayo maeneo kwa sababu ya umuhimu wa kihistoria.

Sasa kwanini watu wakae kwa wagombana?
Kwani dunia haina sehemu zingine za kuishi?
Kuna raha gani kuishi katika hali hiyo?

Unaweza kusema au kuwaza kuwa kwanini waisraeli wao wasihamishwe pale? Jibu ni moja tu, Israel kwa sehemu kubwa ndio inapamiliki pale kwa sasa (iwe kwa haki au mabavu), Israel haina muda wa kuchokoza wapalestina ili iendelee kukaa pale bali ina dhamira, muda na nguvu za kutaka kuwakandamiza zaidi na kuwatuliza vilivyo ikiwa wapalestina watataka kuendelea kubakia pale.

Kama kuna wafia dini huku duniani wanaoona ni lazima kuendelea kupigana vita pale mashariki ya kati basi waende wao pale kwa vivuli vya dini yao kupigana na sio kutumia wapalestina kama chambo.

Note:
Taifa la Palestina lina mchanganyiko wa watu wenye imani tofauti tofauti wakiwemo waislamu (97%) na wakristo (3%), wakati taifa la Israel nalo lina waumini wa kiyahudi (81%), waislamu (14%), dini za asili (3%) na wakristo (2%). Lakini kote huko kwa hayo mataifa na hao waumini ukichunguza utagundua miongoni mwao kuna wapagani na wahuni kibao, hivyo tusilazimishe hii vita kuwa ni vita ya kidini wakati ni siasa na tamaa tu.

TUMECHOKA NA VITA
HATUTAKI VITA
""Hizi choko choko za vikundi vya Hamas nk. ni kujilisha upepo na kuongeza mateso, hazina msaada wowote endelevu kwa wapalestina. Wapalestina wakae wakijua, hakuna nchi ya kiarabu itajiingiza kichwa kichwa kuwapigania pale, sio Iran, Lebanon, Syria, Egypt, Jordan au Saudi Arabia ambayo ina muda, nguvu, rasimali au dhamira ya dhati ya kwenda moja kwa moja kuwapigania wapalestina, kila taifa linapambana na hali yake tu.""""

WEWE WASEMA
 
Nilitaka kusema "mbovu", yaani 'opinion' mbovu, lakini namheshimu sana mleta mada. Siwezi kusema hivyo.

Ubovu wa mada yake unaanzia katika kuangalia upande mmoja tu wa waPalestina na kuwatwisha mzigo wote wa lawama. Na kama vile haitoshi, mkuu 'Zanzibar - ASP anasahau jambo moja, kwamba, nyumbani ni nyumbani, hata kama ni pangoni. Gaza inaweza kuwa hakuna kitu, lakini ni nyumbani, hawa watu hawajui mahali kwingine kokote zaidi ya hapo.
Sasa sijui kama hukumbuki kuwa eneo alilopewa Israel lina mipaka yake? Suluhu ni kuwa Israel naye akae mahali pake, ndani ya mipaka yake; ikifanyika hivyo, atakayechokoza mwingine lawama iwe juu ya huyo mchokozi.

Ubinaadam ni zaidi ya mahitaji ya kawaida ya kila siku. Unaweza kumhudumia binaadam huyo kwa kila kitu, lakini ukashindwa kutambua ubinaadam wake na heshima anayostahili, mtu huyo ni lazima atapambana na wewe.
Wapalestina hawawezi kuishi wakifanywa kama wametawaliwa na watu wengine. Kama ni kuishi kwa pamoja,, ni lazima kila mmoja wao amheshimu mwenzake kwa usawa; isiwe Israel ndiye awe mtawala wa kila kitu.

Mwisho mkuu Zanzibar-ASP, ukweli ni kwamba Israel hawezi kuishi pale kwa amani kwa kutegemea mabavu ya kivita kama unavyosema wewe. Hakuna silaha inayoweza kuleta amani pale. Leo hii utamwona Israel akiwachakaza waPalestina kwa mabomu, lakini haitoshi. Kesho na keshokutwa m-pPalestina hatahitaji mabomu kama aliyotumia wakati huu, kutakuwa na njia za maangamizi zaidi na nyepesi kutumika na watu wachache tu kwa kumuumiza sana Israel.
Sasa labda upendekeze Israel awamalize wa-Palestina wote duniani.
Umepoteza muda tu kuleta mada ndegu kama hiyo. Allah ambaye ni Mungu wa Hamas ameshawaambia kwenye Quran 5:21 kuwa nchi iliyoitwa Kanani walipewa Waisraeli. Waisraeli walipigwa na Warumi mwaka 133 AD na kutawanywa, mwaka 1948 walirudi kwenye nchi yao, Hamas wapishe, labda Quran 5:21 nayo ibadilishwe iseme nchi hiyo ni ya Hamas.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimemuona Kijana akilia Sana wa kipalestina akisema where is Islam???Please let's us join And kill Zionist,, Dog anafikiri Ni rahisi Hivyo.
vitoto vya kipalestina vinazaliwa na kuanza kufundishwa chuki dhidi ya israel vingali vichanga. Ni upuuzi, hizo jamii zifundishe watoto wao upendo badala ya chuki ni hatari
 
Hapa kwetu ni pakubwa, isingekuwa udini wao tungewapa msomera wakaishi huko kama wahamiaji na baadae kuwa raia wa nchi hii. Congo mashariki nako ni pakubwa kuliko msomera ila huko nako moto unawaka hapajatulia. Wapalestina wakae watengeneze amani na israel kwa kuchoreana mipaka ya mataifa yao na wasichokozane. Wengine wanaweza kuondoka kwa amani kwenda mataifa mengine duniani kuomba uraia huko na maisha yakaendelea
Wapalestina wakae kwa kutulia, kwa sababu hapo siyo kwao na Mungu wao Allah kwenye Quran 5:21 anashuhudia hapo ni Kwa Waisraeli. Wakae kwa kutulia, vinginevyo kipondo kitaendelea mpaka wahamie Ngorongoro.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
PUTIN: Nyie Hamas hamna akili, unaanzisha vita unayojua huwezi kushinda, uliyemchokoza akijibu unaanza kupiga mayowe kuomba msaada!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Putin hawezi ongea utumbo kma huo kingine kupigana kujikomboa sio ujinga, otherwise Mandela asingepigania uhuru South Africa maana makaburu walikua na silaha zote nzito nzito
 
mwaka 133 AD ambapo Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa
Acha uongo waisrael walishatawanyika kipindi cha utawala wa babylonia na badae Assyria. In fact makabila 10 yalishapotelea utumwani hata kabla Yesu hajazaliwa. Tatizo mnaisoma biblia juu juu sana mnapotosha watu tu.
 
Ubishi na kudanganywa na Iran itawasaidia Gaza, kaaeni meza moja na Israel mpatane maisha yaendelee

Gaza hii vita hamtaweza, Palestina ilikataa mapendekezo ya UN 1947 la kugawa ardhi kwa kutegemea warabu waingie vitani na bado walichakazwa.

Suluhisho waachwe kwanza wapimane ubavu then baadae watakaa meza moja hawa
Mungu katika Amos 9:15 alishasema miaka 538 BC kuwa atawarejesha Israel Kutoka alikowatawanya, na wakirudi, hakuna wa kuwatoa. Ndiyo haya yanatokea, Wapalestina hawatamudu vita hiyo, ilishasemwa miaka 538 BC nyuma kanisa na na yanatokea Sasa. Hamas wakae kwa kutulia,hawatamudu mziki huo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom