Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

Acha uongo waisrael walishatawanyika kipindi cha utawala wa babylonia na badae Assyria. In fact makabila 10 yalishapotelea utumwani hata kabla Yesu hajazaliwa. Tatizo mnaisoma biblia juu juu sana mnapotosha watu tu.
Haya sasa, kumbe kuna historia nyingine tena hapa, mkuu Elias Ndiyo maana nasema, ni bora zaidi kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wakati huu, huko kwenye historia sioni jibu lolote la matatizo ya leo.
 
Ushawasikia Hamas wakisema au kujibu chochote zaidi ya juzi kuwawachia mateka wale wazee qawili?

Waswahili wanasema penye ukimya pana mshindo.
 
Asilimia kubwa ya wa Israel ni Atheists wachache tu ni real jews
 
Ukitaka hilo unalosema lifanikiwe, itakubidi uwabadilishe fikra zao. Kwamba hizo sehem kama al aqsa iwe macca au madina wazikubali kama ni sehemu za kitalii tu.
Kwamba zinawaingizia waarabu pesa nyingi katika uchumi wa wao kupitia utalii, na wazungu wengine wanaonufaika kutoka katika sehem hizo ni shughli za ukandarasi na miundombinu mingine.
Ukiweza kuwabadilisha akili na fikra zao utafanikiwa. Lakini kama wataendelea kushikilia kiimani kua wapo tayar kufa kwa imani zao, basi huwezi kudhibiti hilo.
Acha waendelee kupunguza idadi ya watu..watu wanaongezeka kwa kasi hapa duniani, Dunia inaelemewa.
 
Haya sasa, kumbe kuna historia nyingine tena hapa, mkuu Elias
Yaani mtu ana justify kuteka ardhi ya mwingine kisa history ya 3000 years ago? Hivi kila mtu akidai ancestral land mfano Baganda wadai mpaka mwanza na Kagera patakalika?
 
Yanayotokea leo yalishasemwa miaka ya 538 BC kuwa Waisraeli watatawanywa kwa kumwasi Mungu, na baadaye watarudishwa, walitawanywa 135 AD na Warumi, na 1948 walirudi, na wakirudi hakuna atakayewatoa(Amos 9:15). Hamas kukaidi itakuwa kutimiza tu unabii wa wao kupotea kanisa eneo Hilo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya sasa, kumbe kuna historia nyingine tena hapa, mkuu Elias
Ndiyo maana nasema, ni bora zaidi kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wakati huu, huko kwenye historia sioni jibu lolote la matatizo ya leo.
Utautafutaje ufumbuzi wakati utabiri unatimia? Hamas kushupaza kwao shingo kunasaidia tu kukamilisha utabiri wa Zakaria 12:2-3, watapotezwa kanisa eneo Hilo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ushawasikia Hams na wakisema au kujibu chochote zaidi ya juzi kuwawachia mateka wale wazee qawili?

Waswahili wanasema penye ukimya pana mshindo.
Ukitaka haya yasiwepo mpinge pia Allah aliposema nchi iliyoitwa Kanani walipewa Waisraeli,rejea Quran 5:21, au mpinge Yehova aliyesema nchi iliyoitwa Kanani walipewa Waisraeli, rejea Mwanzo 15:18. Hamas siyo nchi yao, wakishupaza shingo watapotezwa mazima.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Utapeleka wapi watu 2.3M?
 
Ndivyo mnavyodanganyana hivyo? Kasome vizuri.
 
Mhh hizo asilimia za madhehebu
 
Kafiri mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…