Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 580
Haiwezekani mwanaume mzima utuambie eti umejaribu umeshindwa! Acha tsbia zako za hovyo mara moja au endelea ili ushindwe tendo milele. What kind of a man will you be? I think you need plain truth!
daaa...hata Mimi nmesoma uboyzin na hyo kitu imenisumbua sana...nliambiwa niache kuangalia porn. Haikua rahis lakini nilijitahidi ivoivo. Nina peez kama kawaida. Jitoe kaka. Usipige punyeto wala kucheki porn.kiukweli kwa sasa nina miaka 21 na ninasoma elimu ya juu lakini kiukweli mimi nilianza kujichua nikiwa forn5 kule uboyzn hali iliyonifanya nishindwe kabsa kuacha hadi hivi sasa,kiukweli wasichans ninao lakini kiukweli tangu nifanye nao mapenzi hakuna hata mmoja nliyewai (kupeez) japo wao wanaamini nilfanya hvo, najtaid sana lakini nashndwa kufanya hvo,ninatamaa sana ya wasichana lakini nikimpata naishia romance basi nashndwa ,hv sasa sioni umuhimu wao kabsa na puli naweza kuizuia 1week lakini bdae napata tamaa nafanya,naumia sana nashndwa kuacha kabsa na hvo game siwezi kabisa najiulza ntaweza kuzalisha kweli? sijawah kumueleza yoyote hili tatizo zaidi ya leo hapa jf,naombeni ushaur au dawa nkanunue ili niache tafazali sana.
Umashindwa kupeez? Au unaenda mda mrefu bila kupeez?
Andika vizur kwanza....elimu ya juu shame
Acha kupiga nyeto, fanya mazoezi, achana na wanawake, Mshikilie Mungu, mwisho kabisa piga kitabu hadi ujishangae.
Acha kupiga nyeto, fanya mazoezi, achana na wanawake, Mshikilie Mungu, mwisho kabisa piga kitabu hadi ujishangae.
Kikubwa weka Nia kaka. Inawezekananashukuru kwa mlionishauri
Anza kumuabudu Mungu wako kwa dhati.
Shetani anae kushawishi maovu atakuepuka.