Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Wanaodhani wamepungukiwa nguvu

Kuna baadhi ya wanaume wanadhani wana nguvu za kiume kisa tuu kwa kumwaga shahawa kila wanapojahimiana na mwanamke. Hili nalo nishalizungumzia kwenye uzi wangu wa Wanaume wa Kibongo, Utasa na Kuelekea mwaka 2014. Nitakopi na kupasate tuu. Baadhi yetu tulishajadili suala kama hili lakini kwa utani na kutokuwa serious katika thread mbalimbali. Mfano ni ule uzi wa mariantonia aliyedai kuwa "Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina,…. Umemchukuwa [mwanaume] kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza.."

Kapwani nae akasema "sasa nimejua kwanini asilimia 60% watoto ndani ya ndoa sio wa mume ...nadhani wanawake waligundua siku nyingi ila wakaamua wasiseme!....Unajua mfumo dume unasaidia sana kuficha abouts za kina baba na kina mama nao wako clever/stupid... they know how to deal with these kind of problems...having children with other men hahaaaaaaa." Michelle akashauri "serikali ichukue jukumu la kupiga marufuku mashine za DNA, manake asilimia kubwa ya wanaume wenye watoto wamerutubishiwa na wenzao wenye uwezo....huu utafiti uwe siri aisee....Dar itachimbika!"

Watu wengi wanalichukulia hili tatizo kimzaha mzaha, lakini ni tatizo sugu na linaloendelea kuwaathiri wanaume wengi. Lakini wapo watu wengi wamejaribu kutoa mifano hai. Kwa mfano, kwenye uzi wake wa "Wanaume Wagumba", The Boss alisema kuwa kuna watu wawili tofauti anawajua na inasemekana hao watu ni wagumba lakini "licha ya kuoa mda mrefu hawakufanikiwa kupata watoto". Akadai kuwa hata hivyo "wake zao walikuja kuzaa watoto....na inaonekana ni watoto wa nje....au watoto wenye baba wengine....." Sasa hapo akabaki na "maswali kibao ya kujiuliza.... kwa nini wanaume wengi hawataki kwenda hospitali kupimwa"wakati "inasemekana asilimia 90 ya matatizo ya ugumba yana tiba"?

Suala la wanaume wengi wa Kibongo kutokuwa au kupungikiwa na nguvu za kiume ni nyeti sana hasa kwa wale wanaume wa Dar na miji mingine na inabidi walichukulie suala hili kwa uzito unaostahili hasa wakielekea katika mwaka 2014. Mengi yameshaandikwa humu JF lakini katika huu uzi wangu wa kufungia mwaka 2013, nitayaunganisha mengi ya yaliyokwishasemwa hapa ili katika kuelekea mwaka 2014 wanaume tuaanze angalao kulichukulia kwa uzito hili tatizo na kupima afya zetu mara kwa mara. Inabidi ifike mahali tukubali kuwa wakati mwingine mfume dume unatufanya kuwa vipofu na viziwi hasa katika masuala ambayo tunayaona ni nyeti sana kwetu.

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba. Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen toleo la Jumamosi Julai 17,2010 zaidi ya asilimia 35 ya wanaume waliofanya vipimo vya rutuba za mbegu za uzazi wamegundulika kuwa hawana.

Mara nyingi lawama za kukosa mtoto katika familia zimekuwa zikielekezwa kwa mwanamke kutokana na wanaume wengi kutokuwa na ujasiri wa kujitokeza kupima rutuba zao. Mazingira ya kazi, mtindo wa maisha na hata kukaa kwa muda mrefu kwenye chumba chenye mvuke ni baadhi ya sababu zinazodaiwa kuchangia wanaume kupungikwa rutuba za mbegu za uzazi.

Katika jiji la Dar pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tuu ya wanaume wa Dar walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea. Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili. Zaidi pitia uzi wa NGULI Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

Of course, wapo ambao hawakubaliana na huo utafiti hasa wanaume, jambo ambalo siyo la kushangaza kabisa. Utafiti unasema wastani wa asilimia 30 hadi 35 ya wanaume walioenda kufanya check up Muhimbili kati ya mwaka 2010-2011 kwa ajili ya vipimo vya ugumba wamejulikana hawana nguvu za kiume. Hiyo ni kwa mujibu wa takwimu za Kitengo cha Masuala ya Uzazi na Magonjwa ya Wanawake cha hospitali hiyo. Of course, wanaoenda Muhimbili kutibiwa sio wale wanaoishi Dar tuu.

Lakini kuna utafiti mwingine uliofanyika na Dk Yahaya Kapona wa Muhimbili wakati alipokuwa katika Hospitali ya Tumaini, Upanga, Dar es Salaam mwaka 2003 ambapo ulibainisha kuwa asilimia 24.9 tuu ya wanaume wanaoishi Dar walikuwa na nguvu za kiume zenye uwezo wa kuzalisha kwa asilimia 100. Akiohojiwa mwaka 2011, Dk Kapona alisema kuwa utafiti huo ni wa muda mrefu na hali inaweza kuwa imebadilika lakini akasisitiza kuwa katika utafiti wake huo unaoitwa: "Utasa kwa wanaume Dar es Salaam," ulibaini kuwa hata wanaume wanaobahatika kuzalisha, mbegu zao si imara kwa asilimia 100.

Kuhusu mikoa mingine kuna utafiti ulifanyika Moshi mwaka 2006 na Dk G. Marseng ulioitwa: "Utasa katika jamii na kliniki ya misingi ya sampuli ya wanandoa katika Wilaya ya Moshi." Utafiti huo ambao ulifanyika kwa wanandoa 269, ulibaini kuwa asilimia 30 ya wanaume walikuwa wanakabiliwa na matatizo ya ugumba. Overall, tukubali tusikubali hili ni tatizo kwa nchi nzima, lakini no doubt that Dar inaongoza na sababu zinajulikana. Sababu mojawapo inayotajwa mara kwa mara ni uvaaji wa nguo za ndani zinazobana.

Kwa mujibu wa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi katika Hosipitali ya Taifa Muhimbili, Dk Cyril Massawe, wanaume wanaoishi maeneo ya joto hapa nchini hususan Dar es Salaam, wanapaswa kutumia nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba halisi ili kutunza uwezo wa manii kiuzalishaji. Anadai "Mpaka sasa [wana]pokea kesi nyingi kama hizo, idadi kubwa ya wanaume wanaokosa sifa za kuzalisha inazidi kuongezeka na ndiyo maana watu wanaotafuta watoto hivi sasa ni wengi".

Wapo watakaouliza au waliowahi kuuliza mwanaume wa Dar ni mwanaume gani? Whether or not huyo mwanaume ni Mmasai aliyehamia Dar miaka 20 iliyopita, hakuondoi ukweli wa kuwepo kwa tatizo. Tatizo la wanaume wagumba ni kubwa sana lakini taifa letu huwa haliangalii matatizo ya kijamii kama haya, ukizingatia bado ni taifa la mfumo dume. Tafiti zinadai nusu ya matatizo ya ugumba yanasababishwa na wanaume. Hata hivyo, wakati idadi ya wanawake wanaonenda kuwaona gynaecologists imeongezeka, wanaume wengi hawaangaiki hata pale madaktari wanapowashauri wake zao wawalete hosipitali. Hii inakuwa ngumu sana kwa gynaecologists kutatua hili tatizo. Matokeo yake mwanamke anaenda kuzaa na mwanaume mwingine, huku mumewe akidhani ni mtoto wake kwa sababu tuu huwa anamwaga shahawa kila anapojahimiana na mkewe.

Ni muhimu kwa pande zote kupimwa. Wanaume wengi wanaona aibu, lakini ni rahisi kupata matibabu kama tatizo likigunduliwa mapema. Bahati mbaya jamii yetu inaamini kuwa mwanaume anayetoa shahawa anaweza kumpa mwanamke yoyote mimba. Hii sio kweli. Kama alivyosema sheikA "Mimi ninayo mifano kama mitano hivi ya wanaume kuwa mbogo kabisa kwenda kupimwa. Mmoja kati ya hao ninaowafahamu alitoa sababu. Alisema hivi: "Wanawake ndiyo wenye matatizo ya kuzaa sie wanaume hayo matatizo yatatoka wapi? Kitandani natimiza wajibu wangu; napanda mbegu na kila kitu. Mianawake mingi bwana haizai…Kwa mtu mwelewa utaona wazi kwamba baadhi ya wanaume wakiona jogoo lao linawika na kuweza kuliingiza kwa mwanamke, basi lazima ana uwezo wa kuzaa. Science ya sperm counts na mambo kama hayo hawajui. Kwa hiyo mtu kama huyu ukimwambia akapime hospitali atakutukana matusi ya kuli wa bandarini."

Pia watafiti wanadai wanaume wanachanganya kati ya erectile dysfunction and infertility. The fact that a man's penis doesn't function while in sterility, doesn't mean such man cannot ejaculate. Lakini tatizo wanaume wengi hawaendi kupima afya zao ili wafundishwe kwa udani haya mambo. Mwulize mwanaume yoyote lini alienda kupima afya YAKE kwa ujumla? I mean general check up na sio lazima uwe unaumwa? Ni wachache. Mtu anajahimiana na mwanamke anatoa shahawa basi anadhani anaweza kumpa mwanamke ujauzito.

Hakuna mwanaume, hata wale ambao hawana hili tatizo wanaweza kudhibitisha moja kwa moja kuwa mtoto ni wao, lakini wanawake wenye watoto wana siri nyingi sana. Labda, ndiyo maana Ofisi ya Mkemia Mkuu ilisema hivi karibuni ilisema kuwa asilimia 48.3 ya waliojitekeza kupima DNA ili kubaini uhalali wa watoto wao walikuta kuwa hawakuwa wazazi halisi wa hao watoto. Hii haiwezi kuwakilisha population yote ya Tanzania, lakini inaweza kuwa indication kuwa kuna uwezekano wa wanaume wengi "kusingiziwa" watoto au kulea watoto wasio wa kwao.

Wanaume tuachane na dhana potofu. Kama unatoa shahawa unapongonoka haina maana kuwa lazima utakuwa na uwezo wa kumpa mwanamke mimba. Tusikwepe tatizo, bali tulikubali, tulikabili na kulitatua. Ni muhimu sana kupima afya zetu hasa katika miaka hii ambapo asilimia 50 ya wagonjwa wanaotibiwa Muhimbili, kitengo cha Fiziotherapia, wanaumwa magonjwa yasiyoambukiza, yakiwemo yale ya uchakavu wa viungo. Magonjwa yasiyoambukiza yameshika kasi na yanapoteza uhai wa watu wengi kutokana na kushindwa kutambua njia za kuzuia magonjwa hayo yasiwatokee. Tupime afya zetu. Ni ushauri tuu.
 
Last edited by a moderator:
Many Thanks Mkuu EMT for additional valuable materials. Highly appreciated!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wanaosumbuka kurudia tendo

Kwenye uzi wa Kilometa wa Inawezekanaje kuunganisha baada ya goli la kwanza?, niliandika hivi. Kwa wanawake ni rahisi (depending on your mood, of course) kuliko wanaume kuunganisha goli la pili baada ya goli la kwanza. Wanawake wanaweza kufika mara mbili au zaidi kwa sababu hawaendi kwenye refractory period kama wanaume.

Pia mwanamke anapofika kwa mara ya kwanza bado anaendelea kuwepo kwenye plateau stage kwa dakika kadhaa, kwa maana kuwa bado anakuwa aroused hata baada ya kufika. Ndo maana baada ya kufika tuu bado mwanamke anakuwa na nguvu ya ku-kisss, n.k. wakati a man would just want to be left alone.

Kuna baadhi ya wanawake wanafika kwa kuchezewa matiti tuu au sehemu nyingine za mwili kama shingo. So baada ya kuja mwanaume anaweza kuhamia the other sensitive parts na kuendelea kumwongezea magoli. Pia kama alivyosema LEOMini kwenye uzi husika umri nao una-matter sana. Walioko 20s and early 30s wanaweza kufika mara mbili na zaidi japokuwa wapo hata walio kwenye 40s wanakuwa na multiple-orgasms. Its just a matter of the woman or her man knowing her body.

Kwa sie wanaume wengi wetu tunadhani kuwa ku-orgasm na ku-ejaculate ni kitu kimoja. Hii ni kwa sababu huwa tuna-orgasm and ku-ejaculate kwa wakati mmoja. Sasa hapo sijui Kilometa alikuwa na maana gani kuhusu "kuunganisha mchezo baada ya goli la kwanza". Goli la kwanza kwa maana ya ku-orgasm au ku-ejaculate?

Vitendo vya ku-organism na ku-ejaculate ni vitu viwili tofauti kabisaaaa. Kwa hiyo kuna uwezekano wa mwanaume ku-organism bila ku-ejaculate and vice versa. Utawasikia baadhi ya vijana wanaji-boost humu kuwa wanapiga goli saba, kumbe walichofanya ni ku-ejaculate mara saba, huku wakiwa wame-orgasm labda mara mbili au tatu.

Pia wapo baadhi ya wanawake, kama mwanaume akiamua-ku-orgasm bila ku-ejaculate wanadhani he was faking. Some would even complain when we pull out tunapotaka ku-orgasm bila ku-ejaculate (maana tukiendelea kubakia humo uwezekano wa ku-ejaculate ni mkubwa). Hivyo basi, kitendo cha ku-orgasm bila ku-ejaculate kunamfanya mwanaume kubakia kwenye stage ya excitement na kuweza ku-orgasm tena kwa mara ya pili.

But that may be a tough thing to do na kuishia ku-ejaculate disaini ya aliyosema kaka km kwenye uzi husika. Kufanikiwa inabidi kuwa na PC muscle imara ambayo itasaidia ku-control muda wa ku-ejaculate. Lakini nadhani jambo la muhimu siyo ku-set target, bali kwa pande mbili husika kufurahia hiyo occasion. Kwa wengi quality ina-matter zaidi kuliko quantity. Refer everlenk hapo juu.

Kuhusu kufanya mazoezi itabiki tumtafute Tuko, miss chagga na wengine tujadili in detail suala zima la faida za mazoezi kwenye sita kwa sita. Wengi kama akina Sam Love tunashauri kufanya mazoezi bila kufafanua kisayasi yanasaidia vipi kwenye sita kwa sita?

Kwa mfano, kwa faida ya wengi kuna umuhimu wa kujadili kisayansi uhusiano uliopo kati ya kufanya mazoezi na kuongezeka kwa nitric oxide mwilini, uhusiano wa kula matunda matunda fulani na mbogamboga na kuongezeka kwa nitric oxide mwilini, uhusiano wa nitric oxide mwilini na mishipa ya damu, uhusiano wa nitric oxide na kuongezeka kwa nguvu za kiume na pia na faida nyingine za nitric oxide mwilini.

Siyo tuu mtu ashauriwe ale matikimaji au juice ya mkokomanga bila kuambiwa kisayansi zinasaidiaje mwilini katika kuongeza nguvu za kiume. Na madaktari wetu wengi hawafanyi mazoezi, hawali vyakula vyenye afya so don't expect them kukushauri kwenye hizo anga. Kwa mfano, kuna wataalamu wanadai kuwa mwanaume hatakiwi kula popcorn tuu wakati akitazama sinema. Inadaiwa kuwa popcorn zina faida kwa mwanaume mpaka kitandani ila hakikisha tuu huweki mafuta na chumvi nyingi.

Hii ni kwa sababu Popcorn ni baadhi ya vyakula ambavyo vinaongeza nitric oxide mwilini (kama unajua umuhimu wake kwenye mwili wa mwanaume - just think jinsi viagra na madawa mengine yanavyofanya kazi), ina-maintain testosterone na pia zinasaidia kuongeza madini kama zinc na magnesium. Ila hakikisha popcorn unazokula siyo genetically modified na usile popcorn zilizotengezwa kupitia microwave. Zile za kwenye sinema zinatengenezwaje sijui.

We need a detailed and scientific explanation juu ya faida ya kuwa na nitric oxide mwilini na jinsi ya kuipata. Kuna mdau mmoja alielezea hili kwa Kiswahili na kwa lugha rahisi hapa JF lakini nimetafuta post yake sijaipta. Hopefully, nitaipta.

Wapo wanaosharu kula chakula kama unavyokula dawa. Huli dawa hivi hivi tuu. Lazima kuwe na sababu. Hivyo hivyo kwa vyakula na vinywaji. Kabla ya kula jiulize unakula hicho chakula kwa sababu gani hasa zaidi ya kushibisha tumbo? Je, pamoja na kuwa chakula ni kitamu kinaweza kuwa na madhara yoyote mwilini mwangu? FOOD AS A MEDICINE: A PRACTICAL APPROACH TO HEALTH EATING
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kweli wewe ni 1st AID kwa maana yake. Nakushukuru sana kwa ufafanuzi wako yakinifu Mkuu, Umetoa elimu ya maana sana apa, Haina budi kila asomaye atendee kazi haya uliyasema na kuendelea kujifunza zaidi na zaidi.

Tunakushukuru sana mkuu @1 Aid. Nikirudi kwenye hio habari ya 3 in 24, Are there recommended intervals per week/month au inategemea na afya/ ulaji wa mhusika especially kwa wanandoa? (tendo kwa afya na starehe)

Mkuu Tized ...naomba nikushukuru sana kwa kuipokea michango ya watu kwa uzito wake.
Niliposema unaweza pata athari kwa kufikia mshindo mara tatu au zaidi ndani ya masaa 24 nikusudia upoteaji wa ZMA kwa wingi na hivyo kuleta madhara katika mfumo mwili kama nilivyo elezea hapo juu.

Sasa turudi kwenye kiini, swali je nitawezaje kula tunda na nisiathirike kiafya ....yaani mara ngapi kwa siku, wiki au mwezi? Na ipi ni idadi isiyo na madhara kwenye kula tunda?. Kwanza naomba niweke sawa hapa kwamba ulaji huu unamaana zaidi ya kupata watoto (naongelea walio na mahusiano rasmi) kupiga papuchi kuna unganisha wenza na kunaondoa msongo wa mawazo.

Je nitapata athari gani kupiga match nyingi zaidi, kwanza kama unasaka mwana tunashauriwa kula papuchi mara kadhaa kabla ya mama kufikia upevushaji. Hii inasemwa kwa kufanya hivyo ubora wa mbege katika manii huboreka na hivyo chance ya mama kunasa mimba ni kubwa (kumbe manii zikikaa muda mrefu kwenye korodani huathirika). Lini hasa kama nasaka mtoto siku sahihi? Siku tano kabla ukianza mpaka siku ya upevushaji ni jambo sahihi ingawa idadi ya mbegu itapungua na maji kuongezeka katika manii (manii kuwa epesi) .......angalizo hii haithiri ubora wa mimba.

Uwezo wa ulaji unategemea na mtu na mtu, ingawa tafiti huonyesha wanandoa hucheza mechi 112 kwa mwaka sawa na mara mbili kwa wiki, lakini hii inategemeana na umri. Katika hili swali taasisi ya Kinsey imejibu As just one example, 18-29 year olds have sex an average 112 times per year, 30-39 year olds an average of 86 times per year, and 40-49year olds an average of 69 times per year. Still, averages mean that there are some people above and some people below given number. Averages don’t help decide the question of what is right for an individual person.

Tuangalie ukifanya ngono sana nini pia athari zake, hii iko wazi umri unaongea kama utakuwa umesoma vizuri kwamba kadri unavyo kuwa vipaumbele vinabadilika. Stress zinaweza kupungua na kuna wakati walio na umri mkubwa sana hukutana mara moja tu kwa mwaka ua hakuna kabisa.

Kama nilivyo sema awali somo hili ni pana, kuna msawala mengi mfano kwanini mtu hupoteza hamu ya tendo la ndoa na hii ni tofauti na uwezo wa uume kusimama, na tumejikuta tunahangaikia uume kumbe tatizo ni hamu. Somo ni pana na litaendelea kuza mjadala ila ili tusitoke nje ya maudhui ya uzi naomba niishie hapa.
 
Duh!! Nawapongeza sana wanaume wote humu mliochangia,mmefunguka mpaka raha,Asante sana ndugu 1st AID kwa elimu na ufafanuzi mzuri,loh! Umenifanya nitamani ningekuwa mwanaume niyatekeleze haya,lolz

Asante ndugu EMT kwa ufafanuzi yakinifu,sijui wanaume wenzio wamekuelewa?? Natamani wangekuelewa kama mimi!!
 
Last edited by a moderator:
Umetaka kujua nini athari za kufikia mshindo kwa mara nyingi, hasa tukilenga wale wenzetu ambao wamekua na mahusiano yasiyo rasmi kwa idadi ya KE na kwa idadi kubwa ya magoli. Kwanza niseme manii kwa kiasi kikubwa ni maji na kuna protien kidogo na madini ya zinc pamoja na magnesium.

Inaelezwa na watafiti kwamba kila mshindo 1 hupoteza mg 5 za ZMA (zinc+magnesium), ZMA huengeza homoni ya testosterone ambayo hutusaidia katika kupata usingizi mzuri na kuzuia Metabolic Syndrome and heart disease. Hapa kama nilivyo sema awali nimewalenga watu ambao hutupia nyavu tatu ndani ya masaa yasiyo pungua 24.

Somo hili ni pana na zuri nini kifanyike walau wasije kumbwa na madhara tunarudi kwenye aina ya vyakula kuna ulaji wa mihogo mibichi karanga mbichi na asali mbichi katika hivi tunacho jaribu kuongeza ni ZMA pia kuna shellfish kama oyster au pweza ambao huongeza sana ZMA na kuchochea msukumo wa damu. Tukizingatia hili na mengine mengi yaliyo semwa basi tutaongeza ufanisi. Tukumbuke kila kitu ni kwa kipimo sahihi ndio tunapata ubora wa kilichokusudiwa.
Execessive than required is illegal.

Lakini pia inasemwa kuwa yapo madhara ya kutofanya mapenzi ikiwa ni pamoja na uwezekano wa kubaka, kutofikia mshindo (this is a pretty big one), kama una mme/mke kukachwa. Labda swali muda mrefu ndiyo muda gani? Pia inategemea na mtu.

Nishawahi kuandika kwenye uzi mwingine kuwa wapo wanaodai kuwa ushiriki sana au kutoshiriki kabisa tendo la ndoa kunaweza kuwa na madhara yake. Wapo wanaoweza kupata magonjwa ya kisaikologia kwa kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu. Kushiriki tendo la ndoa kunasaidia ku-discharge vitu mwilini. Kwa wanawake inasemekana kuwa kushiriki tendo la ndoa kusaidia mwili wake kuongezeka kwa level ya estrogen imbayo inafanya nywele zing'ae na ngozi kuwa nyororo.

Kuna ufafiti wa miaka 10 ulifanywa kwa wanaume 1,000 ambao unaonyesha kuwa kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kunaongeza muda wa kuishi. Kutoa jasho wakati unashiriki tendo la ndoa inasaidia kusafisha ngozi yako na kuifanya iwe brighter na kupunguza risk ya ku-develop dermatitis. Tendo la ndoa linasaidia kupunguza weight, linaimarisha misuli kupitia hizo pushes and flexions (maana kuna positions nyingine ni balaa).

Inadaiwa kuwa kumbusu mwenzako kila mara kutapunguza safari zako kwa dentist. Kissing ina- stimulate mate ambayo yanasafisha mabak ya vyakula katikati ya meno. Pia inapunguza acid kwenye mdomo ambayo inasababisha kuoza kwa meno. Tendo zuri la ndoa linaweza kusaidia kupunguza kuziba kwa pua kitu ambacho kitakusaidia kuepukana na asthma na high fever.

Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara inasaidia kupunguza cholesterol. Kufanya tendo la ndoa kusaidia sana moyo wako na mzunguko wa damu mwilini. Kufanya tendo la ndoa inasaidia kupunguza kupatatwa na mafua. Tendo la ndoa linasaidia ku control bladder vizuri kwa kuimarisha pelvis muscles. Tendo zuri la ndoa (ukiwa umefika kileleni) linaongeza ubora wa kulala hasa kama limefanyika nyakati za jioni.

Nimesoma pia baadhi ya tafiti zinasema tendo la ndoa linasaidia kupambana na cancer. Wanasema kufikia mshindo wa mara kwa mara una uhusiano na kupungua kwa hatari ya kupatwa na prostate cancer baadae maishani. Kuna utafiti unasema eti wanaume wanaofikia mshindo mara 13 mpaka 20 kwa mwezi wanakuwa na asilimia 14 tuu ya kupata prostate cancer kulinganisha na wale wanaofikia mshindo mara 4 au 7 kwa mwezi katika maisha yao ya ukubwani. Utafiti huo unasema kufikia mshindo zaidi ya mara 21 kwa mwezi kunapunguza hatari ya kuwa na prostrate cancer kwa asilimia 33.

Medical profession inadai kuwa kufikia mshindo mara nyingi haina uhusiano wowote na prostate cancer. Wengine wanasema kufikia mshindo mara nyingi haina connection na levels ya testosterone mwilini, japokuwa testosterone za level ya kawaida zinasaidia kwenye kufanya tendo la ndoa.

Sijui kama hayo hapo juu yana ukweli, lakini wapo wanaosema kuwa kutofikia mshindo mara kwa mara kunaweza kuwa na madhara ya kisaikologia. Wapo ambao watakuwa na bad moods, wandering eyes, depression na hata feelings mbaya dhidi ya wampenzi wao. Pia kwa wanaume kuwa kwenye hatari ya kuwa na matatizo ya prostate kama hawatafikia mshindo kabisa. Nasikia wataalamu bado wanaifanyia hii uchunguzi. Lakini ukosefu wa tendo la ndoa unasababisha karibu kila mhusika atake kunong'oka regardless ya hatari za kiafya.

Na kama mtu hafikishwi kileleni kama anavyotaka then s/he is likely kutafuta mwingine wa kumfikisha. So, kama mtu anataka kufikia mshindo mara tano kwa siku na wewe ukamwambia kuwa that is illegal because is "
excessive than required" kuna uwezekano wa yeye kwenda kutafuta kwa mwingine ambako siyo illegal kufikia mshindo mara tano kwa siku.

Kwa hiyo mtu afikie mshindo mara ngapi? Sexologists watakuwambia kufikia mshindo ni tendo ambalo linaji-regulate lenyewe. Hakuna mwanaume ambaye anaweza kufikia mshindo too much kwa sababu ataacha kufanya tendo la ndoa pale mwili wake unapotosheka. Hata kama anatumia viagra atafanya tendo la ndoa kwa muda mrefu lakini bila kufikia mshindo mara nyingi. Lakini kwa wanaojichua wanaweza wasiache pale miili yao inaposema basi yatosha. Hapo panaweza kuwa na madhara kama akienendela kijichua, mfano, anawezashindwa kufikia mshindo anapofanya tendo la ndoa na mwanamke (copulatory importance).

Kufikia mshindo too much hata kama unakula vizuri kunaweza kuwa na madhara yake lakini tafiti zimegawanyika. But I would say that kama mwili bado una-send out message kuwa unaweza kufikia mshindo mwingine na mwingine then no need to stop having it. Kama unakula na kunywa vizuri na uko fit and healthy (ili usije ukafia kifuani mwa mtu), sidhani kama itakuwa too much of a risk kufikia mishindo nyingi. Of course, one would be considerate by taking into account the needs of the other person as well. Maana kuna wengine wanafikia mishindo ya kufa mtu kama vile kumkomoa wakati mwenziwe anaumia physically kwa maumivu au emotionally kwa kutofikia mshindo huku jamaa keshafikia mishindo 7 tena ya fasta fasta.

Last edited by a moderator:
kuna mengi nimejifunza ktka uzi huu, nawashukuru wana wachangiaji wote, hasa hasa mleta mada Tized
 
Mkuui EMT umeweka nyongeza muhimu nakushukuru sana, na kwa kuwa lengo la uzi ni kupanua ufahamu wetu katika tendo la ndoa na yote yanayo lihusu, niseme tafiti hazijakoma na zitaendelea kuja na majibu ya maswali tata ya swala hili ikiwa ni pamoja na kuwa na majibu sambamba na kinzani.

Swali la msingi hapa lilikuawa kufikia mshindo na si kufanya mapenzi (tendo la ndoa) nilijaribu kupia tafiti mbalimbali na kutoa mifano ya idadi ipi imeonekano kwa tofauti ya umri. Na hofu yangu niliiwe katika mshindo kwa ME piga picha mtu anaefikia mshindo mara tatu ndani masaa 24 mara mwezi mzima maana yake ni mara 90 atakuwa na hali gani kiafya. Bado umwambie idadi hiyo ni sawa, ingawa naungana na waliofanya tafiti kwamba fikia mshindo kwa kadri ya uwezo wako ili ujiridhishe. Ila tukirudi kwenye idadi ipi ni bora kiafya katika kufanya mapenzi hapa jibu langu ni fanya kadri mtakavyo kubaliana na mwenza wako.

Ikiwa mwenza wako hakubaliani na mfumo wako au tafsiri yako ya tendo la ndoa tutarajie kwaruzano kumbe kukubaliana bado ni muhimu kinyume cha hapo ni kosa.

Hivyo ni busara kupashana habari kwa njia hii maana wengi wetu si wazuri sana katika kusoma vyanzo vingi vya taarifa.
 
Wanaosumbuka kurudia tendo

Kwenye uzi wa Kilometa wa Inawezekanaje kuunganisha baada ya goli la kwanza?, niliandika hivi. Kwa wanawake ni rahisi (depending on your mood, of course) kuliko wanaume kuunganisha goli la pili baada ya goli la kwanza. Wanawake wanaweza kufika mara mbili au zaidi kwa sababu hawaendi kwenye refractory period kama wanaume.

Pia mwanamke anapofika kwa mara ya kwanza bado anaendelea kuwepo kwenye plateau stage kwa dakika kadhaa, kwa maana kuwa bado anakuwa aroused hata baada ya kufika. Ndo maana baada ya kufika tuu bado mwanamke anakuwa na nguvu ya ku-kisss, n.k. wakati a man would just want to be left alone.

Kuna baadhi ya wanawake wanafika kwa kuchezewa matiti tuu au sehemu nyingine za mwili kama shingo. So baada ya kuja mwanaume anaweza kuhamia the other sensitive parts na kuendelea kumwongezea magoli. Pia kama alivyosema LEOMini kwenye uzi husika umri nao una-matter sana. Walioko 20s and early 30s wanaweza kufika mara mbili na zaidi japokuwa wapo hata walio kwenye 40s wanakuwa na multiple-orgasms. Its just a matter of the woman or her man knowing her body.

Kwa sie wanaume wengi wetu tunadhani kuwa ku-orgasm na ku-ejaculate ni kitu kimoja. Hii ni kwa sababu huwa tuna-orgasm and ku-ejaculate kwa wakati mmoja. Sasa hapo sijui Kilometa alikuwa na maana gani kuhusu "kuunganisha mchezo baada ya goli la kwanza". Goli la kwanza kwa maana ya ku-orgasm au ku-ejaculate?

Vitendo vya ku-organism na ku-ejaculate ni vitu viwili tofauti kabisaaaa. Kwa hiyo kuna uwezekano wa mwanaume ku-organism bila ku-ejaculate and vice versa. Utawasikia baadhi ya vijana wanaji-boost humu kuwa wanapiga goli saba, kumbe walichofanya ni ku-ejaculate mara saba, huku wakiwa wame-orgasm labda mara mbili au tatu.

Pia wapo baadhi ya wanawake, kama mwanaume akiamua-ku-orgasm bila ku-ejaculate wanadhani he was faking. Some would even complain when we pull out tunapotaka ku-orgasm bila ku-ejaculate (maana tukiendelea kubakia humo uwezekano wa ku-ejaculate ni mkubwa). Hivyo basi, kitendo cha ku-orgasm bila ku-ejaculate kunamfanya mwanaume kubakia kwenye stage ya excitement na kuweza ku-orgasm tena kwa mara ya pili.

But that may be a tough thing to do na kuishia ku-ejaculate disaini ya aliyosema kaka km kwenye uzi husika. Kufanikiwa inabidi kuwa na PC muscle imara ambayo itasaidia ku-control muda wa ku-ejaculate. Lakini nadhani jambo la muhimu siyo ku-set target, bali kwa pande mbili husika kufurahia hiyo occasion. Kwa wengi quality ina-matter zaidi kuliko quantity. Refer everlenk hapo juu.

Kuhusu kufanya mazoezi itabiki tumtafute Tuko, miss chagga na wengine tujadili in detail suala zima la faida za mazoezi kwenye sita kwa sita. Wengi kama akina Sam Love tunashauri kufanya mazoezi bila kufafanua kisayasi yanasaidia vipi kwenye sita kwa sita?

Kwa mfano, kwa faida ya wengi kuna umuhimu wa kujadili kisayansi uhusiano uliopo kati ya kufanya mazoezi na kuongezeka kwa nitric oxide mwilini, uhusiano wa kula matunda matunda fulani na mbogamboga na kuongezeka kwa nitric oxide mwilini, uhusiano wa nitric oxide mwilini na mishipa ya damu, uhusiano wa nitric oxide na kuongezeka kwa nguvu za kiume na pia na faida nyingine za nitric oxide mwilini.

Siyo tuu mtu ashauriwe ale matikimaji au juice ya mkokomanga bila kuambiwa kisayansi zinasaidiaje mwilini katika kuongeza nguvu za kiume. Na madaktari wetu wengi hawafanyi mazoezi, hawali vyakula vyenye afya so don't expect them kukushauri kwenye hizo anga. Kwa mfano, kuna wataalamu wanadai kuwa mwanaume hatakiwi kula popcorn tuu wakati akitazama sinema. Inadaiwa kuwa popcorn zina faida kwa mwanaume mpaka kitandani ila hakikisha tuu huweki mafuta na chumvi nyingi.

Hii ni kwa sababu Popcorn ni baadhi ya vyakula ambavyo vinaongeza nitric oxide mwilini (kama unajua umuhimu wake kwenye mwili wa mwanaume - just think jinsi viagra na madawa mengine yanavyofanya kazi), ina-maintain testosterone na pia zinasaidia kuongeza madini kama zinc na magnesium. Ila hakikisha popcorn unazokula siyo genetically modified na usile popcorn zilizotengezwa kupitia microwave. Zile za kwenye sinema zinatengenezwaje sijui.

We need a detailed and scientific explanation juu ya faida ya kuwa na nitric oxide mwilini na jinsi ya kuipata. Kuna mdau mmoja alielezea hili kwa Kiswahili na kwa lugha rahisi hapa JF lakini nimetafuta post yake sijaipta. Hopefully, nitaipta.

Wapo wanaosharu kula chakula kama unavyokula dawa. Huli dawa hivi hivi tuu. Lazima kuwe na sababu. Hivyo hivyo kwa vyakula na vinywaji. Kabla ya kula jiulize unakula hicho chakula kwa sababu gani hasa zaidi ya kushibisha tumbo? Je, pamoja na kuwa chakula ni kitamu kinaweza kuwa na madhara yoyote mwilini mwangu? FOOD AS A MEDICINE: A PRACTICAL APPROACH TO HEALTH EATING
cc mpenzi wangu
 
sometimes mwanamke huchangia mtu kushindwa kurudia tendo kutokana na uchafu wa mwanamke, yaaan unakutana na mwanamke ukipiga goli moja tu hamu imeisha. hii inatokea automatically unaweza jiuliza vp lakn ndo ivo.

Au ndo anakuwa hajiwezi, ukimgusa anakusukumia huko!
 
Kiwatengu, usafi ni responsibility yenu wote si ya mtu mmoja. Kumbuka kua kuna wanawake wachafu pia. Mwili wake na nguo zake za ndani zinamshinda. Mtu kama huyu hata kufuatilia usafi wa mume wake sio rahisi. Hivyo kama wewe unategemea mkeo akuweke msafi acha mfumo dume, wajibika pia. Badilisha socks, vest na boxer kila siku maana atakayenuka ni wewe na si mkeo. Kama mkeo anawajibika kwenye haya basi bahati yako vinginevyo usijisahau na kudhani ni kazi ya mkeo.
ni kweli ndugu mtoa hoja.
mi nina swali moja kwako, hapa

hii inakuwaje kwa wenye wake?
who is responsible for socks and towel?
kama ni mke wangu atadhubutu kucomplain juu ya vitu ulivyovitaja?
 
Karibu sana mkuu mito, mwenyewe nimepata darasa la kufa mtu apa kutoka kwa wadau. Kuna watu wenye vitu vzr sana humu aisee.
kuna mengi nimejifunza ktka uzi huu, nawashukuru wana wachangiaji wote, hasa hasa mleta mada Tized
 
Last edited by a moderator:
huu uzi watu wakiusoma na kufuata elimu iliyopo huku wanaweza kupiga hatua katika maswala ya mapenzi purposely kufanya tendo la ndoa..
tuacheni kujidanganya kwamba hatuwezi..
tuache kuwaamini hawa madaktari wa siku hizi kwamba watkurudishia nguvu zako za kiume.. (hawa ndo huwa wanawapoteza watu zaidi na kuwaongezea hofu kitu ambacho ni kibaya, sana since most of these doctors wanatoa dalili ambazo kwa vyovyote vile mtu yyt lazima ujione umepungukiwa)
if seriously umepungukiwa waweza kujaribu hayo madawa yao...
tufuate maelekezo tunayoyadiscuss.. tusiwe wa kulalamika tu wakt ushauri hatuufuati...
hatufanyi mazoezi..
hatuli vyakula vya asili (mtu hata kula nyama za kuchemsha tu anaona michemsho ni kwa ajili ya watu masikini) kumbe tunajichinja wenyewe

TUACHE LAWAMA TUCHUKUE HATUA..
Uzi huu umeibua issue nyingi za kujifunza ambazo watu wakiufuata tatizo linaisha, sema wengi wenye tatizo hili wanapenda liishe mara moja kama mvua kumbe linahitaji muda kidogo wakati mtu unabadilisha mfumo wa maisha na mwili nao una gain kiwango taratibu pia.

Kiujumla wakati mwingine ili tatizo ni man made kutokana na ukweli kwamba unakuta mtu katika kipindi cha mpaka anafikisha miaka 30 amesha-date na watu kadhaa na mwisho wa siku akikutana na mtu mwingine ambae ni tofauti na yule wa kwanza tayari akilini anamwona kama ana tatizo kumbe yupo kwenye kiwango cha kawaida sema tu alietanguliwa alikuwa na extra power. Kama ingekuwa mtu ukikutana nae huyo huyo mmoja na kufanya nae maisha na ukaondoa na maneno ya watu utagundua kwamba kila mtu angekuwa ana enjoy yaani kama vile ilivyo kwa maisha mengine ya kawaida ambapo mwingine akila wali sahani inakuwa na lumbesa wakati mwingine anapiga tonge mbili na yupo safi kabisa hasa ukizingatia miili ya wanadamu ni tofauti pia na mfumo wa maisha tuliokulia nao unaleta yote haya
 
Back
Top Bottom