Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Wanajamvi hodi humu ndani...Nina tatizo ( nahisi) kwa maana nikikutana mpenzi wangu siwezi kupiga bao mbili naomba msaada wa mawazo non nifanye jamni katika hili ? Naomba wajuzi wa mambo mnijuze
Karibuni
Ushawahi kupiga pun.yeto??? Kama mpaka leo ni mwanachama acha kabisa iyo mambo!!
 
Habari ndugu zangu!!!. Niende, moja kwa moja kwenye maada!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26.
Ndugu zangu tatizo ambalo linanikabili ni kuwa ineffective ktk mishipa ya penis ambalo linapelekea kushindwa ku erect kisawasawa.
Ki ukweli nimefanya sana muster bastion kwa muda mrefu sana, nahic hili ndo chanzo cha tatizo.
Na imani humu ndani kuna watu wengi wenye ufahamu haya mambo, wanaweza kunisaidia ki ushauri, maoni n. k.
Mpaka saiz, nimekuta na mabinti wengi tu ila performance imekuwa ndogo sana.
Wasi wasi wangu ni pale nitapo kuja kuoa,.
Nataka pia kuuliza hivi kuna dawa ma hospitalini ambazo naweza kupewa na zikanisaidia?
Ahsanteni na mungu awape baraka, hope hili jukwaa litanisaidia sana na kubaki kuwa historia hili tatizo langu.
Hebu jaribu kwanza kutibu akil yako.inawezekana una tatizo lakisaikolojia.Mim uko nyuma niliwai kupata tatizo kama ilo.ilikua kila nikivaa ndom jamaa anasizi ndo anyanyuk tena had she ananionea huruma.Iyo hali ilinitesa kwa muda mrefu had nikakosa raha.Had nikazan labda chanzo ni nyeto maana nilipiga sana iyo kitu wakat niko shule.Sasa nilikuja kugundua nitatizo lakisaikolojia pale nilipokuja kumwadithia rafik yangu akanicheka uku akiniambia ata yeye akivaa ndom jamaa lazima asizi au anachelewa kumaliza had anaumia.Nikagundua kumbe tuko weng wenye iyo shida ndo nikaanza kutuliza akil yangu had iyo hali ikaisha.Kwaiyo inawezekana sio ugonjwa wa mwili bali saikolojia.
 
Wadau nina muda wa miezi 6 tangu nioe, lakini mara baada ya kuoa nimegundua nina tatizo la mature ejaculation( yaani natoa shahawa mapema). Haifiki hadi dakika tano nakuwa nimepizi.

Kabla sijaoa huyu mwanamke nilikuwa nachukua hadi nusu saa kupizi ,cjui tatizo nini? Nisaidieni ni muda gani mwanaume anatakiwa asugue kabla ya kupizi? Je kama nina tatizo nifanyaje wadau, nahisi simtendei haki mke wangu ndoa changa.
 
Ushauri tafuna mbegu za maboga mimi zimeniponya
 
Umeoa au ni mchumba tu? Kama ni mke na huwa mnafanya mara kwa mara lazima utakomea kimoja tu. Na hicho kimoja ni cha ukweli na kinachukua muda mrefu hivyo hata mwanamke anaridhika. Ila kama ni mchumba na mnakutana mara 1 kwa wiki au wiki mbili na bado unaenda kimoja kuna tatizo.
 
kiukweli kwa sasa nina miaka 21 na ninasoma elimu ya juu lakini kiukweli mimi nilianza kujichua nikiwa forn5 kule uboyzn hali iliyonifanya nishindwe kabsa kuacha hadi hivi sasa,kiukweli wasichans ninao lakini kiukweli tangu nifanye nao mapenzi hakuna hata mmoja nliyewai (kupeez) japo wao wanaamini nilfanya hvo, najtaid sana lakini nashndwa kufanya hvo,ninatamaa sana ya wasichana lakini nikimpata naishia romance basi nashndwa ,hv sasa sioni umuhimu wao kabsa na puli naweza kuizuia 1week lakini bdae napata tamaa nafanya,naumia sana nashndwa kuacha kabsa na hvo game siwezi kabisa najiulza ntaweza kuzalisha kweli? sijawah kumueleza yoyote hili tatizo zaidi ya leo hapa jf,naombeni ushaur au dawa nkanunue ili niache tafazali sana.
 
pole sana ndugu yangu.... pale unapopata hisia za kupiga nyeto...jarib kuhamisha fikra zako kwenye kitu kingine..na kama unapenda kuangalia porn emb jarib kuacha Mara moja kwa 7b porn ina ushawishi mkubwa wa nyeto...then kwenye suala la kugegeda wewe jarib kuweka hisia zako kwa msichana unaemgegeda mbna utapeez tu.... na kuhus suala LA kuzalisha kumbuka theory ya Lamarck's inayosema kiungo unavokitumia ndo kinavozidi kuimarikaa.....so jarib kutumia mtarimbo wako kugegedaa zaid kuliko. nyeto then utaona unaimarika fresh na mechi za ugenn utazpigaa fresh...

NOTE: NGONO ZEMBE NI HATARI....TUMIA CONDOM
 
Back
Top Bottom