darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Kule mtaani kwake limeshindwa hata kushirikiana na wananchi wenzake kutengeneza barabaraZee la hovyo kabisa
Wapo wenye uwezo wa kuongoza, ila kwa sasa tunaye mama.Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia
Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza Tanzania zaidi ya Samia Suluhu Hassan.
Sumaye aliyasema hayo leo wilayani Hanang, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, anayetembelea mikoa mitano.
“Hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Samia Suluhu Hassan, acha nje ya CCM hata ndani ya CCM, hakuna mtu atakayeiongoza hii nchi, atayeiendesha kama inavyokwenda zaidi ya Samia Suluhu Hassan.
“Hata ndani ya CCM hayupo, sembuse nyie nje kuna nini! Husikii wenyewe wameparura hovyo hawajapata madaraka wanaparurana,wakipata si tutakoma, amesema Sumaye.
Source: Nipashe
Sahihi kabisa'Sifa za kijinga' hivi ule mwimbo kapiga mr ebo au
Asikilizwe ana hoja...Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia