Pre GE2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zee la hovyo kabisa
Kule mtaani kwake limeshindwa hata kushirikiana na wananchi wenzake kutengeneza barabara
Limejaa ubinafsi, wana mtaa wenzake walikuwa wanahangaika maji lenyewe likiwa na pipe ya nchi 3 halikuwaruhusu kuunga maji
 
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia

Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza Tanzania zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

Sumaye aliyasema hayo leo wilayani Hanang, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, anayetembelea mikoa mitano.

“Hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Samia Suluhu Hassan, acha nje ya CCM hata ndani ya CCM, hakuna mtu atakayeiongoza hii nchi, atayeiendesha kama inavyokwenda zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

“Hata ndani ya CCM hayupo, sembuse nyie nje kuna nini! Husikii wenyewe wameparura hovyo hawajapata madaraka wanaparurana,wakipata si tutakoma, amesema Sumaye.

Source: Nipashe
Wapo wenye uwezo wa kuongoza, ila kwa sasa tunaye mama.
 
Asikilizwe ana hoja...
 
Back
Top Bottom