Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unauliza vitu vidovidogo nenda kajisomee utajua kama ni pembe au meno. pia utajua kwanini ni dili katika baadhi ya mataifa.Wakuu kuuliza si Ujinga hivi hizo ni Pembe au Meno ya Ndovu?
Pili hua yanafanyia kazi gani au ni Malighafi ya kutengenezea bidhaa gani?
Kwa nchi inayojali uadilifu,tuhuma tu zinatosha kumuengeu mtu in any post,lakini sio kwenye nchi yangu Tanzania.Very sad.Nashangaa hata baada ya tuhuma kwamba Kinana anashiriki kwenye biashara haramu ya pembe za ndovu,bado ameendelea kukumbatiwa CCM.Inaudhi to say the least.Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini"
Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji cha Aljazeera kilitoa data kuhusu tembo wa Tanzania kuuwawa na kuonyesha kwamba mwaka 2007 kulikuwa na jumla ya tembo 146,879 na mpaka mwaka jana 2014 tembo hao wameuwawa kwa asilimia 64% na kubaki tembo 56,000 tu...
Mytake: Hili suala la Kinana tulifikiri ni uzushi ila ukiona waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 kaliweka wazi mbele ya wananchi ni wazi hakuna ubishi tena katika hilo....
Kweli tumsikilize Sumaye . Sumaye Frederick Tiruway??? MhKwa nchi inayojali uadilifu,tuhuma tu zinatosha kumuengeu mtu in any post,lakini sio kwenye nchi yangu Tanzania.Very sad.Nashangaa hata baada ya tuhuma kwamba Kinana anashiriki kwenye biashara haramu ya pembe za ndovu,bado ameendelea kukumbatiwa CCM.Inaudhi to say the least.
Sawa tunaweza tusimsikilize Sumaye,ingawa nazo ni tuhuma.Na hata hivyoo, kwa nini tusimsikilize Sumaye na tumdharau,kwa kuwa alihama chama chetu?Funny reasoning.Lakini labda tujiulize,kwani tuhuma kwamba Kinana anashiriki kwenye biashara haramu ya pembe za ndovu ni za leo,mbona hazikufuatiliwa?Na Sumaye mbona sio wa kwanza kuzitoa?Kwa nini hatuzifuatiliwi, ili kujiridhisha kwamba si za kweli?Kwa kuwa ni mwenzetu na tunaogopa kukiabisha chama?Also funny reasoning.Mimi naomba, with all due respect kwa chama changu,ifike mahali tujue kwamba mawazo haya hayakijengi chama na badala yake yanakibomoa.Kunapokuwa na tuhuma lazima zifuatiliwe,bila kujali zinamhusu nani na nani kazitoa,vinginevyo tuteendelea kufuga wezi,majambazi na wahuni kwenye chama,na hivyo kuendelea kukifanya chama kiendelee kudharaulika.I for one desire a respectable party.Kweli tumsikilize Sumaye . Sumaye Frederick Tiruway??? Mh
Acha ikae hivyoJF haisahau duuu??
Hili haliwaingii akina Kikwete na Samia.Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini"
Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji cha Aljazeera kilitoa data kuhusu tembo wa Tanzania kuuwawa na kuonyesha kwamba mwaka 2007 kulikuwa na jumla ya tembo 146,879 na mpaka mwaka jana 2014 tembo hao wameuwawa kwa asilimia 64% na kubaki tembo 56,000 tu...
Mytake: Hili suala la Kinana tulifikiri ni uzushi ila ukiona waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 kaliweka wazi mbele ya wananchi ni wazi hakuna ubishi tena katika hilo....
MmhKinana mbele Kwa mbele
Una uhakika?kwani anaenda kukamata tembo na kuwang'oa meno yeye au anatuma watu?
mi nimeuliza tu boss mbona kama naona wanijia na marungu na mapanga yakhe!Una uhakika?