Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikisha itwa SUMU basi ni hatari tayari.Sumu ya mamba je sio hatari?😛😛
Sumu ya mamba siyo hatari sana, sababu ni mpaka unywe au ule kitu kilichowekewa hiyo sumu. Lakin hizo nyingine siyo mpaka uguse. Ikikusogelea tu umeenda mkuuSumu ya mamba je sio hatari?😛😛
Kuna nchi gani sijui walikuwa wamelala fofofo.Sumu ya mamba siyo hatari sana, sababu ni mpaka unywe au ule kitu kilichowekewa hiyo sumu. Lakin hizo nyingine siyo mpaka uguse. Ikikusogelea tu umeenda mkuu
Ndiyo mkuuKuna nchi gani sijui walikuwa wamelala fofofo.
Kumbe huku nje ndege zikaanza kumwaga hewa ya sumu na matokeo yake watu wengi sana walikufa wakiwa usingizini.
Je, ndo kama sumu hizi?
Asante mkuu.Ndiyo mkuu
Mkuu serikali nyingi hufanya mauwaji ya namna hiyo.Asante mkuu.
Imebidi niende Google kuiangalia familia ya Sergei.
Kumbe Yulia ni binti mdogo tu wa miaka 33.
Sasa kama kosa katenda baba mtu, why waiteketeze familia nzima?
Kwanini wasishughulike na baba tu mpaka wanaamua kuua familia nzima?
Mama, mtoto na sasa baba na mtoto wanakufa.
Nashangaa!!!!!!
Swali:Mkuu serikali nyingi hufanya mauwaji ya namna hiyo.
Mkuu hapo nitatoa mawazo yangu madogo sababu ukweli siujuwi. Kwa mawazo yangu, mauwaji ya namna hiyo yakifanywa na serikali wahusika hujulikana vizuri sana. Sasa wakiacha mtu pale hata mtoto anaweza kulipiza, sababu anakuw na marafiki ndani ya serikali. Hii ni moja ya sababu wanaamua kuuwa familia nzima. Ili wajikinge visasi.Swali:
Kwanini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu umenichekesha sanaHii ndiyo itakayo tumika kwa wale watakao andamana
Unastahili kufungwa Gwantanamo bayHii ndiyo itakayo tumika kwa wale watakao andamana
Asante mkuu.Mkuu hapo nitatoa mawazo yangu madogo sababu ukweli siujuwi. Kwa mawazo yangu, mauwaji ya namna hiyo yakifanywa na serikali wahusika hujulikana vizuri sana. Sasa wakiacha mtu pale hata mtoto anaweza kulipiza, sababu anakuw na marafiki ndani ya serikali. Hii ni moja ya sababu wanaamua kuuwa familia nzima. Ili wajikinge visasi.
Pamoja mkuuAsante mkuu.
Nimekuelewa.
Shukrani sana
ThanksPamoja mkuu
Thanks.Thanks
Love you too!!!!
God bless you
Mwaaaaa!!!Thanks.
And you too babe!