Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu...Kuna nchi gani sijui walikuwa wamelala fofofo.
Kumbe huku nje ndege zikaanza kumwaga hewa ya sumu na matokeo yake watu wengi sana walikufa wakiwa usingizini.
Je, ndo kama sumu hizi?
Ndio faida ya usaliti mkuuAsante mkuu.
Imebidi niende Google kuiangalia familia ya Sergei.
Kumbe Yulia ni binti mdogo tu wa miaka 33.
Sasa kama kosa katenda baba mtu, why waiteketeze familia nzima?
Kwanini wasishughulike na baba tu mpaka wanaamua kuua familia nzima?
Mama, mtoto na sasa baba na mtoto wanakufa.
Nashangaa!!!!!!
Lakini mwisho wa siku kammaliza...Alikiuka sheria ya "trust will get you killed" (anti trust)mpk mtu kapata nafasi ya kumuwekea hiyo sumu alimwamini kama jamaa wa krb....
Thanks.
And you too babe!
Haiwezekani.Ndio mkuu...
Tena kijiko kimoja tuu cha unga wake inateketeza Dar nzima
Dah!Ndio faida ya usaliti mkuu
Mwanampotevu.Umeanza eh?
hapana mkuu kumbuka mke wa jamaa alifariki katika ajai ya gari iliokua na utata huko urusi, baadae mtoto wake akaja kufariki kwa njia hiohio huko urusi, sasa hivi hawa memberb wawili wa familia waliobaki nao wako mahututi baada ya shambulizi hilo..sidhan km ni false flag ukiangalia hio trend
Acha fix MkuuNdio mkuu...
Tena kijiko kimoja tuu cha unga wake inateketeza Dar nzima
Asante mkuu.
Imebidi niende Google kuiangalia familia ya Sergei.
Kumbe Yulia ni binti mdogo tu wa miaka 33.
Sasa kama kosa katenda baba mtu, why waiteketeze familia nzima?
Kwanini wasishughulike na baba tu mpaka wanaamua kuua familia nzima?
Mama, mtoto na sasa baba na mtoto wanakufa.
Nashangaa!!!!!!
Hizo sumu zisije zikafika Tz raia wengi tusio na hatia tutaangamia.
Dah so sad aisee.Kama alichukua Hela ili hats akifa familia ifaidi hizo Hela sasa Hamna wa kufaidi.
Au ni hivi: ukiasi tunateketeza familia yako na wewe pia.
Hii ni kiboko Kwa walio tayari kujilipua ili jamaa wa familia watakao Baki wafaidi
Tuombe yasijetukutaWatu na frustration zao watatupaka aisee