nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
Mwanampotevu.
Upo?
Nipo nimefichwa na kasi ya ngosha, angalia hiyo sumu isiyaguse yale maeneo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanampotevu.
Upo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa ni bongo huo upelelezi ungeisha kwa kusema "alijiwekea sumu ili apate umaarufu wa kisiasa"
INAFAA APAKWE YULE MALAYA MCHONGANISHI WA USA
Wagundue nyingine ya nini wakati hiyo hiyo ya miaka 40 inafaa?. Ikipatiwa dawa yake watagundua nyingineSasa kwann warusi watumie sumu ya zaman hivo almost 40 yrs. Inamaana hawajagundua latest thing....?!!
Anyway dawa ya double agent ni kifo tu....
Vipi kuhusu Lissu na familia yake?Mkuu hapo nitatoa mawazo yangu madogo sababu ukweli siujuwi. Kwa mawazo yangu, mauwaji ya namna hiyo yakifanywa na serikali wahusika hujulikana vizuri sana. Sasa wakiacha mtu pale hata mtoto anaweza kulipiza, sababu anakuw na marafiki ndani ya serikali. Hii ni moja ya sababu wanaamua kuuwa familia nzima. Ili wajikinge visasi.