Sumu Kali kupita zote Duniani iliyotumika kumshambulia jasusi Wa Urusi alieasi Akiwa Uingereza

hivi ilipataje airport bila kuwa scanned???au hio sumu inatengenezwa huko huko Uingereza?lol embu nifumbueni macho...lol
 
Sasa kwann warusi watumie sumu ya zaman hivo almost 40 yrs. Inamaana hawajagundua latest thing....?!!

Anyway dawa ya double agent ni kifo tu....
 
Mkuu hii ni sumu kali, ila si kali kupita zote
 
Sasa kwann warusi watumie sumu ya zaman hivo almost 40 yrs. Inamaana hawajagundua latest thing....?!!

Anyway dawa ya double agent ni kifo tu....
Wagundue nyingine ya nini wakati hiyo hiyo ya miaka 40 inafaa?. Ikipatiwa dawa yake watagundua nyingine
 
Vipi kuhusu Lissu na familia yake?
 
Kumbe vita vya makombora vinakaribia mwisho,yah sasa ni zama za sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…