Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tuHahaha showstopper of the single lane pillar bridge? Only around Kenyan bushes
What could we say about 7 kilometers Salenda bridge which will start to be built in early next month
Aisee wakenya ni washamba sana.Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tu
Nakubaliana sana na wewe mkuu kuwa sisi Wakenya ni Mentally sick na nyie Watanzania you are mentally sound. Lakini hata na uwazimu wetu bado tuna uchumi mkubwa kuwashinda nyie wenye akili timamu. Kwa kizungu hio ndio inaitwa oxymoronDo not trust Kenyans, the world knows how untrusted they are, with a budget of $82 can't build any brigde of that magnitude, Ubungo interchange alone costs $90m, these people are mentally sick
je, wewe ni Mwingereza?Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tu
Sasa hapo ndiyo unadhihirisha kwamba vichwa vyenu ni vibovu sana, haiwezikani mtu mwenye uchumi mkubwa lakini hana chakula watoto wake wanakufa njaa, bado anasumbuliwa na kipindupindu katikati ya mji mkuu, wananchi wake wengi wanaishi na umasikini wa kupindukia, anaongoza kwa slums, hana hajira kwa vijana wake.Nakubaliana sana na wewe mkuu kuwa sisi Wakenya ni Mentally sick na nyie Watanzania you are mentally sound. Lakini hata na uwazimu wetu bado tuna uchumi mkubwa kuwashinda nyie wenye akili timamu. Kwa kizungu hio ndio inaitwa oxymoron
Yeye ni Mrs mwengereza, hapo atachekelea sana, kwa jinsi wanavyopenda kuolewa na wazungu[emoji12] [emoji12] [emoji12]je, wewe ni Mwingereza?
Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tu
Kiswahili kitukuzwe lakini mkubali mkatae Kiingereza ndio lugha ya dunia na nakitumia hapa nilipo ila sipo Kenya kwa sasa. Hata wewe ukitoka Tanzania itabidi upolish hio Kiingereza chako kibovu hadi king'are na kumetameta.je, wewe ni Mwingereza?
Mimi ni mwanamume. Ushoga sina pengine unifunze nasikia mitanzania ni hatari huo upande.Yeye ni Mrs mwengereza, hapo atachekelea sana, kwa jinsi wanavyopenda kuolewa na wazungu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wewe unahitaji kufahamu kuwa hata huku mizungu inajua mt. Kilimanjaro iko Kenya. Sijui nani aliwadanganya hivyo lakini mimi yangu ni kucheka tu na kukubali kuwa Kilimanjaro iko Kenya. Kama hamuezi fanya marketing ya tourism ni shauri yenu na ulaza damu mlio nao baadhi yenu.Sasa hapo ndiyo unadhihirisha kwamba vichwa vyenu ni vibovu sana, haiwezikani mtu mwenye uchumi mkubwa lakini hana chakula watoto wake wanakufa njaa, bado anasumbuliwa na kipindupindu katikati ya mji mkuu, wananchi wake wengi wanaishi na umasikini wa kupindukia, anaongoza kwa slums, hana hajira kwa vijana wake.
Huko kuwa na uchumi mkubwa lakini unashindwa na aliye na uchumi mdogo katika kushughulikia mahitaji muhimu, ndiko kunakowafanya muwe mentally sick, how can you explain this phenomena?
Wakenya wengi sana wanaume wameolewa na wanaendelea kuolewa huko Ulaya na USA, idadi ya wanaume wa Kenya waliofunga ndoa na wazungu ni kubwa kuliko wanawake wa Kenya, Vipi wangapi kati ya wanaume walioolewa wameshabeba mimba?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mwanamume. Ushoga sina pengine unifunze nasikia mitanzania ni hatari huo upande.
Sasa hiyo inahusianaje au inasaidiaje kupambana na kipindupindu pale Nairobi, kupunguza njaa, kuwatoa watu kwenye slums za Kibera na kuwapa makazi bora, kupunguza umasikini unao ongezeka, upungufu wa ajira, ukabila?, zaidi ya sifa za kijinga ambalo ni tatizo lenu la asili.Wewe unahitaji kufahamu kuwa hata huku mizungu inajua mt. Kilimanjaro iko Kenya. Sijui nani aliwadanganya hivyo lakini mimi yangu ni kucheka tu na kukubali kuwa Kilimanjaro iko Kenya. Kama hamuezi fanya marketing ya tourism ni shauri yenu na ulaza damu mlio nao baadhi yenu.
hii mijitu ni ya ajabu mno,kipara anamaliza mwaka wa pili bila kumaliza project yeyote😀Watu wanatoa povu na ni renders peke yake, je mradi ukikamilika?
Tupe Dada yako ili tumjaze mimba....kisha tumteme...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tu
Tutajenga daraja..Tutajenga bomba la mafuta...Tutajenga Nairobi Mombasa high way....Tutajenga light railway Nairobi...Tutajenga viwanja vya mpira 5....Tutajenga Galana project...Tutajenga BRT...Tutaenda mbinguni kabla ya hivi vyote kujengwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna gani ameanzisha kusema ukweli?hii mijitu ni ya ajabu mno,kipara anamaliza mwaka wa pili bila kumaliza project yeyote😀
Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tu
Haha wazee wa upembuzi yakinifuu....waswahili banaa[emoji3] [emoji3] [emoji191] [emoji191] [emoji125]By the hiyo Salenda bridge tangu nianze kuiskia ni kitambo, hivi nyie lini mtamaliza mradi wowote, Bagamoyo port stories...
Haha mbona unampamba mswahili na hajui lolote, ame copy paste mzee[emoji3] [emoji115] [emoji115]Wewe ndiye Mtanzania mmoja pekee ninakubali Kingereza chako kimesimama tisti. Wengine wenzako wanatapatapa tu
Mluvim Cesky dobry. Bydlite v Ceske Republice nebo Tanzanii muj Kamarada Toyota Escudo?a kdo mluví dobře česky mezi všemi Keňany?