Super bridge, size of a 21 storey tower to be built in Mombasa-Likoni

Nimekaa Prague miaka sio chini ya 2, huo mda si haba kujua lugha yao hata jinsi ya kuomba maji
Wow nice. Mimi pia niko Prague sasa hivi on scholarship. Nasoma language kwanza kisha nitaendelea na masomo. Najua unafahamu masomo huku ni free in Czech language. Good to meet you...my friend
 
You're welcome brother! Kila la kheri katika masomo yako.
 
Wewe unahitaji kufahamu kuwa hata huku mizungu inajua mt. Kilimanjaro iko Kenya. Sijui nani aliwadanganya hivyo lakini mimi yangu ni kucheka tu na kukubali kuwa Kilimanjaro iko Kenya. Kama hamuezi fanya marketing ya tourism ni shauri yenu na ulaza damu mlio nao baadhi yenu.

labda mizungu ya medieval era ndiyo inadanganyika na huo uongo. lkn mizungu ya information era haidanganyiki ng'o. kila issue inam consult professor Google, naye anatoa majibu mubashara bila chenga.
 
Wow nice. Mimi pia niko Prague sasa hivi on scholarship. Nasoma language kwanza kisha nitaendelea na masomo. Najua unafahamu masomo huku ni free in Czech language. Good to meet you...my friend

weee huko Balkans umeenda kufanya nini? kwa nini usiende continentalEurope? vp umeenda kutembelea Vltava River. maana ndo miongoni mwa vivutio vyao.
 
Czech republic iko central Europe na ni member of E.U. Their neighbour to the south west is Germany, Austria to the south and Poland to the north.
 
Mi nitakuja kukutembelea twende kwa vipusa
 
Karibu Geza. Mimi sina ubaya. Mimi napenda tu kuchokoza watu. I hope unaelewa. Huku Czech, winter ndio imeisha. Sasa jua imeanza kuchomoza na baridi imeanza kupungua. Ukija unitafute. Kila la kheri
 
Daraja halitawaacha wakenya salama wale wazee wakupiga mapanga wanangoja wafanye yao
 
Mlisema hivyo hivyo wakati tulitangaza madaraja ya SGR, mkasema hivyo hivyo wakati tulitangaza tunajenga jengo refu zaidi at 300m....
Wale jamaa hawatotuzulia sisi kufungua akili na kuendelea kua watu walio huru kimawazo!
 
Umejua vipi ninakoishi? Umefanya fanya upekuzi vipi kaka yangu?
We ulijiona ujilikani kuna wakenya wenzako walikuja jf wakadhani nikama JamiiForums.com wametoka mbio sikuizi wanaeshima na tz
 
Wow nice. Mimi pia niko Prague sasa hivi on scholarship. Nasoma language kwanza kisha nitaendelea na masomo. Najua unafahamu masomo huku ni free in Czech language. Good to meet you...my friend
Tanzanian their well educated. kkkkkkkkk
 
Back
Top Bottom