Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli

Umemaliza.
 
Pana food world ilikua na kila kitu ila mahindi ya kuchoma walikua hawana watakupa ambayo wewe ndio ukachome au uchemshe sasa hivi ipo Food lover ina matunda karibu aina zote sema bei za kaburu sio kama za Bongo kwa sababu ya kodi aisee...kuingia bidhaa Tanzania unalipia TBS bado kodi wanaoleta pombe tbs tu wanalipa karibu 12m Tsh bado kodi...
 
Na ni kwasababu bidhaa nyingi za supermarket zimeexpire na hawawezi kuzidump kwa kuogopa hasara
 
Nchi zilizoendelea toka utoto wao mpaka wanazeeka ndio chakula chao na wao wengi umri wa kuishi ni mkubwa kuliko huku mnakoleta hizi story story...
 
Umeongea issue sahihi sana..kwa wa Tz wengi mindset ni kua supermarket ni sehemu ya watu wa status flani, ni kama prestige kununua vitu .

Kumbe kwa wenzetu huku ndio sehemu ambapo watu wa vipato vyote wana enjoy wigo mpana wa bidhaa na huduma.
Nafikiri ni nature ya nchi yetu tu ilivyo.

Na ukweli ni kwamba wengi wanaoingia wananunua mahitaji ya muda mrefu na kuvihifadhi.

Sisi wa Hali ya chini tutanunua kila siku mkuu.
 
Wa-Tanzania muamkeni sio kila kitu kinatoka nje munakipenda vina madhara sana kiafya kazi kwenu.
Kaka mkubwa kwa maisha ya dar tuombeane haya mafuta wanayopikia chips majanga .viazi kule njombe hiyo midawa huwezi amini.nyanya zinapulizwa majanga saivi matango hadi haya poli wanatia mbolea.viazi utamu vinatoka kigamboni ni full mamboea ya viwanda na kupuliza. Nlikitwa na mafuta kwenye damu mengi mashert ya vyakula nilijikuta bila kujipikia kila kitu sumu
 
Zipo Hotel za mbugani huko mayai walikua wanatoa SA wakidai kiini cha mayai ya kisasa kutoka kule ni njano haswa nilichoka hadi vitunguu walikua wanaletewa...
Halafu utakuta ni local tu wanayaita ya South
Hata Avocados zinanunuliwa Tz, packaging SA na walaji Ulaya
Sisi hatupati hela za kigeni kabisa
 
Halafu utakuta ni local tu wanayaita ya South
Hata Avocados zinanunuliwa Tz, packaging SA na walaji Ulaya
Sisi hatupati hela za kigeni kabisa
Shida ukitaka kutoa mzigo hapa mazee kupata vibali vyake utazunguka balaa kama vile Nchi haipati kitu kuleta hivyo hivyo kutak kufanya uwekezaji ndani hivyo hivyo yaani mazingira ya rushwa yapo mbele zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…