Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
kwani nani hajui kuwa watanzania wana hela kuliko wamarekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada ameleta kwa mujibu wa mdhungu alivyozungumza, kuhusu sababu za bei kuwa juu is not up to mleta mada ni wadadazi wa mambo kujadili etc... hujatumia akili busara na hekima kumu attack mleta mada!Mtoa mada hujatumia akili
Kweli hata Kilimanjaro na safari za kwa Mangi ni tamu kuliko wavuvi kempSupamaket tunaenda kuuza sura tu.... Mahitaji mengi kwa mangi
Kweli hata Kilimanjaro na safari za kwa Mangi ni tamu kuliko wavuvi kempSupamaket tunaenda kuuza sura tu.... Mahitaji mengi kwa mangi
Umemaliza.Kuna kufikiri kimsawaziko (Rationale) kitu ambacho ni tatizo kwa watanzania.
Mzungu anajua kwa mfano bidhaa fulani Marekani inauzwa Dollar Moja, Sasa anaikuta Tanzania inauzwa kwa dollar sita.
Hapo mjadala wa kimsawaziko usiwe gharama ya usafiri maana mantiki itakataa gharama ya usafiri kuzidi Dollar Moja kwa bidhaa inayouzwa Dollar moja Marekani.
Jee tunapoweka Kodi si huwa tunaweka Kodi kubwa kwenye bidhaa tunazosema zisizo za lazima??
Tunasahau Kuna bidhaa tumeweka Kodi kubwa kwakuwa tunasema tunalinda viwanda vyetu vinavyozalisha bidhaa kama hizo?
Ghafla tumeshasahau kuwa hizo "Super Market" ziko yale maeneo ambayo bila ya Uhalisia Kodi zake za Kupanga ni kubwa sana bila ya sababu za Msingi?
Jee Kodi kubwa ya Kupanga haiwezi kupandisha bei ya bidhaa??
La mwisho ambalo halisemwi sana na hao "wazungu" wanaolalamika wanatakiwa waambiwe ni kuwa, wateja wakubwa wa kwenye hizo Supermarket ni wakwapuaji wa Hela za umma kwa ivo Hela kwao siyo tatizo.
Pana food world ilikua na kila kitu ila mahindi ya kuchoma walikua hawana watakupa ambayo wewe ndio ukachome au uchemshe sasa hivi ipo Food lover ina matunda karibu aina zote sema bei za kaburu sio kama za Bongo kwa sababu ya kodi aisee...kuingia bidhaa Tanzania unalipia TBS bado kodi wanaoleta pombe tbs tu wanalipa karibu 12m Tsh bado kodi...
Unga wa lishe unatengenezwa hapa hapa unauzwa kilo elfu nane!Nadhani usafirishaji wa bidhaa kutoka nje ndio unaongeza bei ya bidhaa.
HIZO BIDHAA ZOTE NI IMPORTED GOODS
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Halafu bidhaa zote zinazo tengenezwa na zikauzwa kwenye hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa na binadamu zinaleta maradhi ya Kansa, Kisukari, Unene, wa kupitiliza Presha na maradhi mengine mbalimbali kiafya bidhaa zinazouzwa katika hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa kabisa.
Nchi zilizoendelea toka utoto wao mpaka wanazeeka ndio chakula chao na wao wengi umri wa kuishi ni mkubwa kuliko huku mnakoleta hizi story story...Halafu bidhaa zote zinazo tengenezwa na zikauzwa kwenye hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa na binadamu zinaleta maradhi ya Kansa, Kisukari, Unene, wa kupitiliza Presha na maradhi mengine mbalimbali kiafya bidhaa zinazouzwa katika hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa kabisa.
Zipo Hotel za mbugani huko mayai walikua wanatoa SA wakidai kiini cha mayai ya kisasa kutoka kule ni njano haswa nilichoka hadi vitunguu walikua wanaletewa...Tukitengeneza vya kwetu bei itashuka
Sisi tuna mayai tu
Au labda ni kwa ajili ya high class people?Supamaket tunaenda kuuza sura tu.... Mahitaji mengi kwa mangi
Nafikiri ni nature ya nchi yetu tu ilivyo.Umeongea issue sahihi sana..kwa wa Tz wengi mindset ni kua supermarket ni sehemu ya watu wa status flani, ni kama prestige kununua vitu .
Kumbe kwa wenzetu huku ndio sehemu ambapo watu wa vipato vyote wana enjoy wigo mpana wa bidhaa na huduma.
Angekwenda tandika anatuchosha!Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli.
View attachment 2857270
Kaka mkubwa kwa maisha ya dar tuombeane haya mafuta wanayopikia chips majanga .viazi kule njombe hiyo midawa huwezi amini.nyanya zinapulizwa majanga saivi matango hadi haya poli wanatia mbolea.viazi utamu vinatoka kigamboni ni full mamboea ya viwanda na kupuliza. Nlikitwa na mafuta kwenye damu mengi mashert ya vyakula nilijikuta bila kujipikia kila kitu sumuWa-Tanzania muamkeni sio kila kitu kinatoka nje munakipenda vina madhara sana kiafya kazi kwenu.
Halafu utakuta ni local tu wanayaita ya SouthZipo Hotel za mbugani huko mayai walikua wanatoa SA wakidai kiini cha mayai ya kisasa kutoka kule ni njano haswa nilichoka hadi vitunguu walikua wanaletewa...
Shida ukitaka kutoa mzigo hapa mazee kupata vibali vyake utazunguka balaa kama vile Nchi haipati kitu kuleta hivyo hivyo kutak kufanya uwekezaji ndani hivyo hivyo yaani mazingira ya rushwa yapo mbele zaidi..Halafu utakuta ni local tu wanayaita ya South
Hata Avocados zinanunuliwa Tz, packaging SA na walaji Ulaya
Sisi hatupati hela za kigeni kabisa