Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Mnyama round ya 2 , uku Okwi, kule Oloya na hapa Tambwe mlioko uko juu muanze kutanua njia tunataka kupita kwa ulaini
 
and here we are......karibu chama la Mbeya City
Hongereni sana mkuu wangu...

Natamani MCC wafanye kile kilichofanywa na Tukuyu Stars mwaka 1986...

MCC wananikumbusha Reli ile ya akina Duncan Mwamba, Mohamed Mtono, Fikiri Magoso, Abdallah Mkali, Mbuyi Yondani, David Mihambo na wengine...Reli ambayo ili-chachafya Simba na Yanga kiasi cha kuitwa Kiboko ya Vigogo...

Cha msingi ni Halmashauri ya jiji la Mbeya na wana Mbeya kuendelea kuilea timu yao hii na pia wachezaji wakalishwe na kuelezwa umuhikmu wa wao kuendelea kuichezea MCC badala ya kuhadaika na Yanga na Simba maana kuna taarifa Hassan Mwasapili anadaiwa kutaka kujiunga na Yanga wakati wa dirisha dogo...

Nafurahi kuona Mwalimu Mwigane Yeya wa shule ya sekondari Iduda anafanya vizuri...Huyu ni mwajiriwa wa Jiji la Mbeya hivyo panga pangua haondoki MCC..

Kuna haja ya wachezaji wote kusainishwa mikataba ya muda mrefu...

Hongereni MCC FC
 
Mnyama round ya 2 , uku Okwi, kule Oloya na hapa Tambwe mlioko uko juu muanze kutanua njia tunataka kupita kwa ulaini

Oloya? Unaota mkuu.

Angalia msije mkamkosa na Okwi pia maana alijipeleka mwenyewe kwa wazee wa Jangwani wakamwambia awe tayari kupigania namba - sasa hivi anajishauri mwenyewe aende asiende?

Chezea chekibob anaitwa Bin Kleb wewe!!
 
tunawakaribisha Azam Fc mbeya kwenye uwanja wa Sokoine,pale hatulazi damu amsha amsha mwanzo mwisho wa siku watachanganyikiwa tu

Kwa kweli hapa wakija patachimbika kwao tu wameponea chupuchupu , na hii haitakuwa kwao tu ! Bali kwa timu zote
 
Hongereni sana mkuu wangu...

Natamani MCC wafanye kile kilichofanywa na Tukuyu Stars mwaka 1986...

MCC wananikumbusha Reli ile ya akina Duncan Mwamba, Mohamed Mtono, Fikiri Magoso, Abdallah Mkali, Mbuyi Yondani, David Mihambo na wengine...Reli ambayo ili-chachafya Simba na Yanga kiasi cha kuitwa Kiboko ya Vigogo...

Cha msingi ni Halmashauri ya jiji la Mbeya na wana Mbeya kuendelea kuilea timu yao hii na pia wachezaji wakalishwe na kuelezwa umuhikmu wa wao kuendelea kuichezea MCC badala ya kuhadaika na Yanga na Simba maana kuna taarifa Hassan Mwasapili anadaiwa kutaka kujiunga na Yanga wakati wa dirisha dogo...

Nafurahi kuona Mwalimu Mwigane Yeya wa shule ya sekondari Iduda anafanya vizuri...Huyu ni mwajiriwa wa Jiji la Mbeya hivyo panga pangua haondoki MCC..

Kuna haja ya wachezaji wote kusainishwa mikataba ya muda mrefu...

Hongereni MCC FC

Ni kweli mkuu!maana hawa wachezaji wetu wanahadaika sana , harafu wanaanza kujuta.
 
hii mijamaa iko serious aisee! hawatumii madawa ya kuongeza nguvu kweli hawa?

ni mazoezi tu mkuu,kupanda na kuteremsha mlima nyoka ndio kunakowapa stamina na pumzi
 
Hongereni sana mkuu wangu...

Natamani MCC wafanye kile kilichofanywa na Tukuyu Stars mwaka 1986...

MCC wananikumbusha Reli ile ya akina Duncan Mwamba, Mohamed Mtono, Fikiri Magoso, Abdallah Mkali, Mbuyi Yondani, David Mihambo na wengine...Reli ambayo ili-chachafya Simba na Yanga kiasi cha kuitwa Kiboko ya Vigogo...

Cha msingi ni Halmashauri ya jiji la Mbeya na wana Mbeya kuendelea kuilea timu yao hii na pia wachezaji wakalishwe na kuelezwa umuhikmu wa wao kuendelea kuichezea MCC badala ya kuhadaika na Yanga na Simba maana kuna taarifa Hassan Mwasapili anadaiwa kutaka kujiunga na Yanga wakati wa dirisha dogo...

Nafurahi kuona Mwalimu Mwigane Yeya wa shule ya sekondari Iduda anafanya vizuri...Huyu ni mwajiriwa wa Jiji la Mbeya hivyo panga pangua haondoki MCC..

Kuna haja ya wachezaji wote kusainishwa mikataba ya muda mrefu...

Hongereni MCC FC

tunashukuru sana mkuu,pili niseme hayo uliyoyanena ni mantiki tupu,wachezaji hawatakiwi kuhadaika na yanga na Simba maana walikuwepo wengi waliohadaika nao lakini mwisho wa siku wakapotea kwenye gemu.

Nafikiri viongozi watawashauri vijana na ninaanimi vijana wataelewa.
VIVA MBEYA CITY
 
kuna tetesi kocha wa Azam fc stewart hall abwaga manyanga
 
Kwani mpira umeisha? Haya matokeo sio mazuri haya majamaa ya jangwani yatarudi kileleni, huku mtaani hakutakalika.

Tumerudi kileleni na bado mtaani panakalika, tatizo liko wapi? Sisi hatung'oi viti, wala hatung'oi kucha wala meno ya watu.
 
Back
Top Bottom