Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni sana mkuu wangu...and here we are......karibu chama la Mbeya City
Hiyo inaitwa 'Future Impossible Tense'...Mnyama round ya 2 , uku Okwi, kule Oloya na hapa Tambwe mlioko uko juu muanze kutanua njia tunataka kupita kwa ulaini
Hiyo inaitwa 'Future Impossible Tense'...
Mnyama round ya 2 , uku Okwi, kule Oloya na hapa Tambwe mlioko uko juu muanze kutanua njia tunataka kupita kwa ulaini
tunawakaribisha Azam Fc mbeya kwenye uwanja wa Sokoine,pale hatulazi damu amsha amsha mwanzo mwisho wa siku watachanganyikiwa tu
Hongereni sana mkuu wangu...
Natamani MCC wafanye kile kilichofanywa na Tukuyu Stars mwaka 1986...
MCC wananikumbusha Reli ile ya akina Duncan Mwamba, Mohamed Mtono, Fikiri Magoso, Abdallah Mkali, Mbuyi Yondani, David Mihambo na wengine...Reli ambayo ili-chachafya Simba na Yanga kiasi cha kuitwa Kiboko ya Vigogo...
Cha msingi ni Halmashauri ya jiji la Mbeya na wana Mbeya kuendelea kuilea timu yao hii na pia wachezaji wakalishwe na kuelezwa umuhikmu wa wao kuendelea kuichezea MCC badala ya kuhadaika na Yanga na Simba maana kuna taarifa Hassan Mwasapili anadaiwa kutaka kujiunga na Yanga wakati wa dirisha dogo...
Nafurahi kuona Mwalimu Mwigane Yeya wa shule ya sekondari Iduda anafanya vizuri...Huyu ni mwajiriwa wa Jiji la Mbeya hivyo panga pangua haondoki MCC..
Kuna haja ya wachezaji wote kusainishwa mikataba ya muda mrefu...
Hongereni MCC FC
Pole mtawapiga wakija mbeya

daaa ina maana Azam hawakung'oa viti?
hhaaaaaaa asante sana ni wachache wanafikaga huko
katimuliwa au kajitimua?
Kwani mpira umeisha? Haya matokeo sio mazuri haya majamaa ya jangwani yatarudi kileleni, huku mtaani hakutakalika.