stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Ninatumia "Bein" decoder, ina chanel za movie nyingi mno pamoja na na za cartoon na za wanyama pia akina national geographic nk..... bein sport 1-19 kwa ajili ya sports pamoja na fox sports.... kwa hiyo siyo kweli kuwa ni ya michezo peke yake. bein iko vizuri kulinganisha na dstv kwa maoni yangu. na chanel zote za michezo ni High definition.
being sport nishiiidaaa unawapata nillsat7w yana picha yake ni fuuul hd inauzwa 700000 na inalipiwa dolla 100 kwa mwaka mzimaaaa
Wakuu kwa hapa Dar inapatikana sehemu gani kama mnajua?
Sijui zinapatikana wapi dar, tuwasiliane nikuagizie au kama una mtu unamjua akuchukulie dubai.
Haina shida mkuu ila nachoomba kuuliza kwa Ukanda wetu hata ukiniagizia nitaweza kuona kweli? Maana ninayo Dish la Abuu Dhabi yenye kadi ya Aljezeera hapo mwanzo nilikua naangalia vizuri tu SuperSport sema ss hivi lipo store tu.
mosh zipoooo
Sijui zinapatikana wapi dar, tuwasiliane nikuagizie au kama una mtu unamjua akuchukulie dubai.
Shilingi ngapi kuagiza kutoka Dubai
Bein sport wanaboa kuongea kiarabu tu.
pole, ukiwa na decoder unabadilisha lugha mkuu
Wengi wetu ni cable mkuu.
Mwanzo nilikuwa na decoder ya "humax" yenye card mbili, aljazeera na abu dhabi sports, nikawa naangalia sports kwenye chanel za abudhabi sports sasa kilichotokea ni kwamba Abu dhabi sports wameshindwa katika kinyang'anyiro cha kurusha mechi na aljazeera, sasa aljazeera wakaleta decoder zao zinaitwa "Bein" ili kuachana na decoder za abudhabi ambazo ni humax....
nakuagizia decoder tu na unatumia dish hiyohiyo kama nilivyoagiza ya kwangu mkuu, unapata kila kitu katika "Bein" decoder.
hata mimi mkuu hiyo hiyo humaX,,daah aisee fanya makeke mkuu nikucheki PM maana kuna jamaa aliniambia nitumia decoder hiyohiyo lkn ninunue dish la ft8 nikaona Duu Hashim thabiti tena nikaliweka store.
Mkuu natuma PM inagoma.....
Bein decoder ni 385usd
kulipia kwa mwaka ni 230usd
decoder imeshuka bei na kulipia kwa mwaka wamepandisha, mwaka jana decoder ilikuwa 550usd na package ilikuwa 100usd tu kwa mwaka.
Channel gani za maana unaweza zipata kuliko hizo za dstv?
super sport wapo juu sana tena sanaa hao B.sport wakasome aisee..!
Hizo decorder za xmaster zinapatikana hapa bongo? Na hilo dish la ft 6 linapimwa kwa diameter yake au mzunguko?"beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimradi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti la king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcad yao na unatafuta dish la futi 8. Au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min Hd, au qsat 23 na zingine aina hii, unachofanya unatafuta dish la kawaida futi 6 c-band unalielekeza juu hapo unaipata beinspot. Na kuna namba fulani hv ukizingiza unapata bure kabisa hakuna kulipa hata shilingi."