Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.