Anaandika
Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Samia hatujawahi kumchagua Kuwa rais wetu .
Samia ni rais wa mpito tu na hajawahi kugombea wala kutangaza nia ya kugombea uraisi.
Hata aibu hamna mnatumia nguvu kubwa kuhangaika na kiti ambacho hamjakipata kwa kura.
Gwajima ndiye Mtetezi wa Wanyonge na sio Samia anayemaliza rasilimali za Waatanganyika . Familia za kishetani na kifreemason zinataka rasilimali zote za Tanganyika wamiliki wao . Mungu sasa ameingilia Kati na mtaona Kuwa Nchi hii haijaumbwa na CCM na Machawa na mafisadi wake bali ni mali ya Mungu . Yaani mnataka kuifanya Tanganyika iwe kama Kongo hamjui Kuwa mnakaribisha mapinduzi . Jeshi la Tanzania linabebwa na misheni za UN huko Kongo na Sudani ``ndio maana wanakaa kimya kuwavumilia mafisadi wakiongozwa na watawala ndani ya CCM na serikali yake . Samia anapigania urais kwa gharama kubwa sana bila kujali hasara na mpasuko anaouleta nchini na hata kimataifa kwa sababu tu ya tamaa ya mali za Watanganyika.
Wazanzibar wameleta shida kubwa sana na vilio kwa wakulima na wafugaji kwa sababu ya kupora ardhi kila Sehemu . Migogoro ya kulima na wafugaji ilianzishwa na Mzee ruksa kupora ardhi huko Morogoro na Watawala ndani ya CCM .
Samia amekuja ndo anauza ardhi yote kwa waarabu halafu mnawaua na kuwatisha wazalendo wa nchi hii.
Gwajima ni mpango wa Mungu na msidhani Mungu yuko chini ya Samia na wateule wake .🤣🤣🤣🤣Mungu yupo juu ya vyote duniani na mbinguni .
Wakristo ni wawakilishi wa ufalme wa Mungu duniani . Ukristo ulianzishwa kwa hoja sio vita .
Ndio maana dola la kirumi lilishindwa kumaliza Wafuasi wa YESU Kristo Bwana wa Mungu kwa kuwaua na kuwatesa kwa sababu kila walipokua wanauawa ndivyo walivyoongeseka maradufu .
Kuna wasi wasi Kuwa hawa wanaochochea na kufadhili machawa ni masalia ya zile mbegu za ugaidi zilizokua zinasumbua sana Zanzibar na Rufiji ambazo sasa zimeota na kustawi sana lakini hazitashinda nguvu za Mungu wa haki aliyeumba Watu kwa mfano wake na kwa mapenzi yake mwenyewe ili waishi na kumiliki rasilimali za nchi kwa haki na usawa .
Rais Samia amesahau kuwa aliingia ikulu kwa kudura za Mwenyezi Mungu sasa asitake,kufanya hila na kurudi Ikulu kwa dhulma na kwa damu za watu .
Alipewa kiti kwa wema na Mungu bila kulipigania wala kuliomba sasa inakuaje anatumia hila na nguvu kung'ang'ania ikulu . Ni wazi Kuwa akitumia hila kubaki ikulu atapoteza heshima yake yote duniani . Yaani atakua Sawa na kipofu aliyeombewa na mmoja wa mitume wa zamani akaona , na baada ya kuona akaanza kufanya maasi na kudhulumu na kupiga watu . Kuanzia hapo Mtume akasema kipofu mwingine yoyote asisaidiwe tena anapohitaji kuona .
Samia kwa sababu amekosa shukrani kwa Mungu na kwa Katiba ya nchi , basi Mungu amemkataa na asipotubu na kutenda haki basi ataaibika maisha yake yote.
Watenda mabaya wameinuka na kutamalaki sana katika utawala wa awamu hii ya sita lakini Mungu ni Mungu wa Haki atawapigania Watu wake wanaoonewa na kuteswa .
Nionavyo sasa itafikia mahali watu wanakufuru na kusema kwamba kama Mungu hatafanya jambo kubwa kwa taifa hili na kuondoa udhalimu wa serikali ya hii ya Mama Samia , basi Samia ndiye mungu anayestahili kuabudiwa na wote tutamuabudu .