cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,120
Hilo papai nana analisikiliza
Nachofurahi ni kwamba jimama na chawa wake hawaachi kujibu hivyo inatuhakikishia uwepo wa press number 2 ambapo moshi utafoka. Gwaji shikilia hapohapotaweza kufungua macho mkuu??
Mkuu moshi ukifoka utaweza kufungua macho😂😂Nachofurahi ni kwamba jimama na chawa wake hawaachi kujibu hivyo inatuhakikishia uwepo wa press number 2 ambapo moshi utafoka. Gwaji shikilia hapohapo
Ngoja misuli ianze tutaona mahindi ni nani,hata Kibaraka Lisu walikuwa wanamjaza ujinga hivyo hivyoAnaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Si ndio huyuHajawahi kukanusha hii sijui itakuaje sasa?
Ulinzi wa Mungu watosha,mbona Lissu yupo anadunda na jpm alishaliwa na sisimizi zamani.Bishop awamu hii hayupo salama 100% ni suala la muda tu.
Huyu aliyewagombanisha Maalim Seifu na Zitto hivi bado yupo?Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Teuzi zinawafanya chawa wajitoe akiliAnaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Kaa kimya 🐕wee!Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Wamezoea vya kunyonga. Vya kichinja hawawezi. Anaongea kabisa kuvunja katiba. Wamezoeshwwa udictetor. Wameiuzoea kama sehemu ya maisha sasa. Kubambikia tu kesi zisizohusu wanaona ni kawaida sasa. Wamezoea kula nyama za watu. Utafika tu wakati wa kulana hata waoAnaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Mental Health is real.Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Mtakapofuta kanisa la GwajimaAnaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Elimu ya hapa na pale mkuu,tumuache mmojaKajamaa kajinga sana, kameandika madudu madudu
Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X