Hajawahi kukanusha hii sijui itakuaje sasa?Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Kajamaa kajinga sana, kameandika madudu maduduAnaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Hawa ndio walikuwa viongozi wa ACT😀😀Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Sio Kwamba Dola inatakiwa ifanyie kazi malalamiko ya Wananchi?Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Anazidi kupalilia moto bila kujijua. Watu kama hawa wakamatwe kwa uchochezi.Chawa mjinga huyu.
Naunga mkono hoja.Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X
Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1)
Na adhabu zingine, Anastahili;
1) Kufutwa CCM
2) Kanisa lake lifutwe
3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais
Ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea.
KUFUTWA CCM-huwezi onywa na M/kiti wako, ukatoka kwa umma badala ya kuchutama unaendeleza ligi za kumbeza na kumtweza
KANISA LAKE LIFUTWE-Kanisa ni kulea amani ya nchi, na si kuleta tafrani na mifarakano
KESI YA UHAINI-ametishia na kuibeza mamlaka ya Rais.
View attachment 3353030
View attachment 3353034
Anzile travota zake wamuonee huruma kama wastara maana kakonda kama punda wa singidaHuyu jamaa Ali left group kama sijakosea
Mbwa kabisaHivi wanao tembea naye au kukaa kiti kimoja uwa hawaisi harufu ya mavi ya punda.
Maana wazazi wa suphiani wanajua wanapunda