Wahindi ni Moja ya jamii ambayo ni waaminifu sana linapokuja suala la pesa na biashara, ni watu ambao Wana heshimu sana deni na wakikopa pesa wanajitahidi kadri wawezavyo waishi kulingana na mkataba unavyosema.Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.
Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.
Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji
Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?
naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Wakikopa pesa wanaipeleka yote kwenye biashara kusudiwa, na ndio maana kwenye marejesho hawasumbui hata kidogo.
Tofauti kabisa na waswahili ambao wanakopa pesa lakini hawako tayari kuheshimu mkataba wa mkopo... mbongo anakopa 10m halafu kwenye biashara husika aliyoiombea mkopo anaweka 4m pekee tu, pesa nyingine yote iliyobaki anaitapanya kwenye petty issues ambazo hazimuingizii Hela.
....haya ukifika wakati wa kuleta marejesho anaanza kuteseka, Kwa sababu return anayoipata kwenye biashara ni ndogo sana kuwiana na kiasi cha rejesho analopaswa kuleta, na hiyo inatokana na kuwekeza kiasi kidogo sana Cha pesa kwenye biashara.
....atajitahidi kuleta marejesho miezi ya awali, halafu baada ya hapo ataanza excuses mara ohoo biashara ngumu, nivumilie sijui Nini, baadae ataacha kabisa hata kupokea Simu za maafisa mikopo mwisho WA siku mnafikishana mahakamani Kwa kesi ya madai.
Ngozi nyeusi/waswahili ni watu WA ovyo sana linapokuja suala la uaminifu kwenye pesa na ndio maana Mimi Huwa naamini siku zote biashara yoyote ambayo unategemea uaminifu kama msingi mkuu WA kustawi Kwake, basi hiyo biashara sio ya kufanya na wabongo waswahili.