Supu Special Thread: Jifunze jinsi ya kupika aina mbalimbali za supu ya nyama na mboga mboga

Umenichekesha bibi weye siku nimealikwa mahali nkaona ndizi mbichi bibi nkaanza kula naona ipo inagandaganda heee kumbe makopa nliacha nkaenda kutema ila nliumwa tumbo siku hiyo sitasahau

Makopa ndio nini tena mammy?
 
We acha tu. Mi mavyakula ya ajabu ajabu siyawezi. Hadi leo hii sikuwahi kula miguu wala vichwa vya kuku, wala ki K.

Halafu utakuta mtu anaweka special order sokoni. Unajua kuwa hadi mapu.bu ya ng'ombe watu wanakula best?

Duh!!! Kwa hiyo mtu ukila ma.pumbu unakuwa na nguvu kama simba dume kwa bed nini?
 
Hata najua basi.

Mi nliwahi kumskia boss wangu job hapa, anakula tena anapenda. Ila kuna siku alikula yakamtia adabu aliumwa Na kamasi wiki nzima. Jiso lote lilumvimba. Sijui kama karudia tn kula

Ha ha ha haaa!!! Arudie ana wazimu? Mpe pole yake.
 
We acha tu. Mi mavyakula ya ajabu ajabu siyawezi. Hadi leo hii sikuwahi kula miguu wala vichwa vya kuku, wala ki K.

Halafu utakuta mtu anaweka special order sokoni. Unajua kuwa hadi mapu.bu ya ng'ombe watu wanakula best?

Ki K ni nini bidadaake??, afuu uswazi wanasemaga mtu akiwa anakula miguu ya kuku anapatwa hamu ya kuzurura, is it??
 
Muhogo, Lkn unaanikwa hadi unavunda unakuwa mweusi mweusi then ndo unapikwa.

Una kiharufu flan hivi kama huna moyo Huwezi kula

Ha ha haaaa!!! Nimecheka hadi imebidi niende kuazima mbavu za ziada kwa jirani. Yani mtu unakula chakula kilichovunda? Kisa na mkasa? Ama kweli binadamu tuna mambo ya ajabu.
 
lol! naona tabia zetu zinashabihiana sana kwenye misosi lol! nakumbuka utotoni ndugu, jamaa na marafiki mtaani walikuwa wanachangamkia sana vichwa vya kuku na miguu wanavitengeneza vizuri na mara nyingi walikuwa wanavichoma. Wakati wakivila hivyo vichwa na miguu walikuwa wanaonekana wanaenjoy sana kwa utamu kila wakinikaribisha nionje nilikuwa nawatolea nje mpaka leo hii sijawahi kutia kichwa wala miguu ya kuku kinywani mwangu na wala sina mpango wa kufanya hivyo.

We acha tu. Mi mavyakula ya ajabu ajabu siyawezi. Hadi leo hii sikuwahi kula miguu wala vichwa vya kuku, wala ki K.

Halafu utakuta mtu anaweka special order sokoni. Unajua kuwa hadi mapu.bu ya ng'ombe watu wanakula best?
 
Ki K ni nini bidadaake??, afuu uswazi wanasemaga mtu akiwa anakula miguu ya kuku anapatwa hamu ya kuzurura, is it??

Ki K kiuno. Naskia kina mafuta sana ndo maana watu wanakipenda.

Hata Mi naskia ukila miguu ya kuku sana unakuwa unapenda kuzurura. Sijui kweli maana mi ndo sijawahi kula
 
lol! naona tabia zetu zinashabihiana sana kwenye misosi lol! nakumbuka utotoni ndugu, jamaa na marafiki mtaani walikuwa wanachangamkia sana vichwa vya kuku na miguu wanavitengeneza vizuri na mara nyingi walikuwa wanavichoma. Wakati wakivila hivyo vichwa na miguu walikuwa wanaonekana wanaenjoy sana kwa utamu kila wakinikaribisha nionje nilikuwa nawatolea nje mpaka leo hii sijawahi kutia kichwa wala miguu ya kuku kinywani mwangu na wala sina mpango wa kufanya hivyo.

Umeona enhee, watu wanakula Popo, kima, kenge sijui, nyoka, paka. Lloooh, kwani vyakula vimeisha. Masamaki yote na makuku yalojaa nkale popo nna wazimu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Umesahau na mbwa pia. Jamaa yangu aliwahi kuniambia nyama ya kenge ni tamu sana. Mie nikamuitikia sawa sikutia neno. Akaniuliuza umewahi kula nikamwambia sijawahi kula wala sina mpango wa kuila. You just have to try it once to find out whether you like it or not...lol!

Hell no!

Huyo sungura tu namfkiria kumla. Yale manyoya yake naona kama paka. Ila naskia nae mtamu. Na sisi kiimani ha tujakatazwa kula coz hali nyama wala mizoga Lkn roho hainipi Wallah
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umenichekesha bibi weye siku nimealikwa mahali nkaona ndizi mbichi bibi nkaanza kula naona ipo inagandaganda heee kumbe makopa nliacha nkaenda kutema ila nliumwa tumbo siku hiyo sitasahau

Makopa ni nini?
 
Hahahahaha lol! Umesahau na mbwa pia. Jamaa yangu aliwahi kuniambia nyama ya kenge ni tamu sana. Mie nikamuitikia sawa sikutia neno. Akaniuliuza umewahi kula nikamwambia sijawahi kula wala sina mpango wa kuila. You just have to try it once to find out whether you like it or not...lol!

Ha ha haaa!!! Kwa style hii sitoshangaa nikisikia mtu amekula nyama ya mamba.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom