Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
- Thread starter
- #61
Duhh!!! I cant even imagine. Wana anzaje anzaje kwanza kumkamata huyo mamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh!!! I cant even imagine. Wana anzaje anzaje kwanza kumkamata huyo mamba?
Bibi sikula tena tangu siku iyo sikuyapenda...msambwija ni mhogo na ndizi au mhogo na maharage
Muhogo na ndizi ndo Msambwija. Upate na dagaa wako
Tena upikwe sehem za shamba shamba na kuni inakua tamu zaidi? Mrs Kharusy ushawahi kula vyakula vya shamba? Mfano mchuzi wa maji huwa mtamu sana kuliko mchuzi unaopikwa na watu wa town
Tuwekee na supu ya utumbo Young Master!
Nasubiri recipe ya supo ya mboga mchanganyiko Angel Nylon farkhina
Ipo ya mboga mchanganyiko Ila inapendeza ukiweka na ngano nzima au na noodles kdg.
Pia ipo unachanganya na seafood km ngisi na shrimps. Hii inawekwa mpk na mchaichai, tamu hio. Subiri nkitulia ntaweka recipes zake. In sha ALLAH
Kwani kuna mchuzi wa unga? :A S wink:
Hhaahhaha kuna wa mafuta na wa maji
Alaaaahhh!! Kumbeee!!! Huo wa mafuta ndo ukoje? Unabugia mafuta mabichi mazima mazima au?
Tuwekee na supu ya utumbo Young Master!
Angel ww unatokea zenji nn
unguja sehem gani? mie home kisiwa cha karafuu ila sasa nipo tanganyika kimasomo.