Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
- Thread starter
-
- #41
Umenichekesha bibi weye siku nimealikwa mahali nkaona ndizi mbichi bibi nkaanza kula naona ipo inagandaganda heee kumbe makopa nliacha nkaenda kutema ila nliumwa tumbo siku hiyo sitasahau
We acha tu. Mi mavyakula ya ajabu ajabu siyawezi. Hadi leo hii sikuwahi kula miguu wala vichwa vya kuku, wala ki K.
Halafu utakuta mtu anaweka special order sokoni. Unajua kuwa hadi mapu.bu ya ng'ombe watu wanakula best?
Makopa ndio nini tena mammy?
Duh!!! Kwa hiyo mtu ukila ma.pumbu unakuwa na nguvu kama simba dume kwa bed nini?
Hata najua basi.
Mi nliwahi kumskia boss wangu job hapa, anakula tena anapenda. Ila kuna siku alikula yakamtia adabu aliumwa Na kamasi wiki nzima. Jiso lote lilumvimba. Sijui kama karudia tn kula
We acha tu. Mi mavyakula ya ajabu ajabu siyawezi. Hadi leo hii sikuwahi kula miguu wala vichwa vya kuku, wala ki K.
Halafu utakuta mtu anaweka special order sokoni. Unajua kuwa hadi mapu.bu ya ng'ombe watu wanakula best?
Muhogo, Lkn unaanikwa hadi unavunda unakuwa mweusi mweusi then ndo unapikwa.
Una kiharufu flan hivi kama huna moyo Huwezi kula
We acha tu. Mi mavyakula ya ajabu ajabu siyawezi. Hadi leo hii sikuwahi kula miguu wala vichwa vya kuku, wala ki K.
Halafu utakuta mtu anaweka special order sokoni. Unajua kuwa hadi mapu.bu ya ng'ombe watu wanakula best?
Ki K ni nini bidadaake??, afuu uswazi wanasemaga mtu akiwa anakula miguu ya kuku anapatwa hamu ya kuzurura, is it??
lol! naona tabia zetu zinashabihiana sana kwenye misosi lol! nakumbuka utotoni ndugu, jamaa na marafiki mtaani walikuwa wanachangamkia sana vichwa vya kuku na miguu wanavitengeneza vizuri na mara nyingi walikuwa wanavichoma. Wakati wakivila hivyo vichwa na miguu walikuwa wanaonekana wanaenjoy sana kwa utamu kila wakinikaribisha nionje nilikuwa nawatolea nje mpaka leo hii sijawahi kutia kichwa wala miguu ya kuku kinywani mwangu na wala sina mpango wa kufanya hivyo.
Umeona enhee, watu wanakula Popo, kima, kenge sijui, nyoka, paka. Lloooh, kwani vyakula vimeisha. Masamaki yote na makuku yalojaa nkale popo nna wazimu.
Dah kuna wa watu walipotea sana JF, thread ya supu imewarejesha sijui wana hang over hawa?
Cc: Young Master, Angel Nylon
Hahahahaha lol! Umesahau na mbwa pia. Jamaa yangu aliwahi kuniambia nyama ya kenge ni tamu sana. Mie nikamuitikia sawa sikutia neno. Akaniuliuza umewahi kula nikamwambia sijawahi kula wala sina mpango wa kuila. You just have to try it once to find out whether you like it or not...lol!
Umenichekesha bibi weye siku nimealikwa mahali nkaona ndizi mbichi bibi nkaanza kula naona ipo inagandaganda heee kumbe makopa nliacha nkaenda kutema ila nliumwa tumbo siku hiyo sitasahau
Ha ha haaaa. Inabidi makopa huyawezi?
Msambwija Jee?
Dah kuna wa watu walipotea sana JF, thread ya supu imewarejesha sijui wana hang over hawa?
Cc: Young Master, Angel Nylon
Hahahahaha lol! Umesahau na mbwa pia. Jamaa yangu aliwahi kuniambia nyama ya kenge ni tamu sana. Mie nikamuitikia sawa sikutia neno. Akaniuliuza umewahi kula nikamwambia sijawahi kula wala sina mpango wa kuila. You just have to try it once to find out whether you like it or not...lol!
Lol. Mkuu mi kama hangover basi nnayo ya shibe na si ya kileo.
Hapa Young Master ndo alipotea kitambo. Mpk mi najiuliza ndo yule yule au mwengine
Ha ha haaa!!! Kwa style hii sitoshangaa nikisikia mtu amekula nyama ya mamba.