Supu Special Thread: Jifunze jinsi ya kupika aina mbalimbali za supu ya nyama na mboga mboga

Muhogo na ndizi ndo Msambwija. Upate na dagaa wako

Tena upikwe sehem za shamba shamba na kuni inakua tamu zaidi? Mrs Kharusy ushawahi kula vyakula vya shamba? Mfano mchuzi wa maji huwa mtamu sana kuliko mchuzi unaopikwa na watu wa town
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri recipe ya supo ya mboga mchanganyiko Angel Nylon farkhina

Ipo ya mboga mchanganyiko Ila inapendeza ukiweka na ngano nzima au na noodles kdg.

Pia ipo unachanganya na seafood km ngisi na shrimps. Hii inawekwa mpk na mchaichai, tamu hio. Subiri nkitulia ntaweka recipes zake. In sha ALLAH
 
Last edited by a moderator:
Ipo ya mboga mchanganyiko Ila inapendeza ukiweka na ngano nzima au na noodles kdg.

Pia ipo unachanganya na seafood km ngisi na shrimps. Hii inawekwa mpk na mchaichai, tamu hio. Subiri nkitulia ntaweka recipes zake. In sha ALLAH

Duh!!! Hii kali! Ngoja nami nizisubirie hizo recipe kwa hamu ili nitoe ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…