Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

Kweli we ni Selemani Sele [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mazingira yake huwa machafu kinyama,nzi kama wote
Sio wote bhana kuna sehemu nzuri tuu wasafi tuu mfano mimi huwa nakula sana pale sinza…mkabala na vunja bei pale stand jamaa msafi tuu! Sehemu nyingine kule kwa wahindi muhimbili-Upanga wasafi tuuu
 
Supu ya Pweza usipokua Makini unaweza kula nauli, zile Kachori sasa na ile Pilipili yao balaaa!!!!!!
 
upe mwili<bord] pongezi kwa kukuhifadhi ujengee shep> kama unatoka mapunye achana nayo
 
Ingekuwa pombe ningekulaumu kdg. Kama ni chakula kula tu Mzee baba. Kula hakufilisi.
 
Katika Moja ya madude ya ajabu watu wa dar wanayokula ndio hayo masupu ambayo ni testless na yenye pungent irritating smell pamoja na madude mengine ya ajabu ya baharini sawa na makono kono ya nchi kavu, kaa na nge wanayokula nyakati za jioni. Nikiyajaribu natapika hadi utumbo
 
Apo ni maombi na kutengeneza mazingira magumu kama kutokuwa na hela ya ziada pindi unapokaribia kurudi nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…