Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Sura ya Mungu kupitia Wajapani

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
3,699
Reaction score
8,857
MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.

FB_IMG_1649595158986.jpg
 
View attachment 2183069
Hiyo civilization tu ndio ikufanye uamini hivyo?
 
Nauunga mkono hoja sababu nafahamu Tabia kadhaa za wajapani,

hii ilitokea wakat nipo chuo kikuu na nkawa najifunza lugha ya Wajapan kama sub subject.

wanakuzwa na kulelewa katika misingi ya kimaadili ya hali ya juu sana toka wakiwa nyumbani kwao wakiwa wadogo.

HAKUNA WATU WASTAARABU KAMA WAJAPAN HAPA CHINI YA JUA .

BISHA LAKINI HUO NDO UKWELI!!!!

PASSPORT YAO NDO NO.1 LEADING KATIKA ORODHA YA PASSPORT ZENYE NGUVU DUNIANI

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.

View attachment 2183069
Ustaarabu wafanye Wajapani, sifa umpe Mungu?

Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.
 
MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.

View attachment 2183069
Ila pia inasemekana kuwa Mfumo wao wa maisha unawafanya wawe na stress na depression sana. Yani mfumo wao unawalazimisha kuficha mambo mengi yanawauma ndani kwa ndani kutoka na kuishi kwendana na expectation ya jamii juu yako.
Halafu ukifuatilia wana matukio yao ya kuuana ya ajabu sana aisee.
 
Sasa hivi hapa inaanza ligi ya ubishi watu watasahau ustaarabu wa Japan muda si mrefu!![emoji38]
Mimi nakumbusha ustaarabu ni wa Wajapani, Mungu kasingiziwa tu.

Hivyo, hata sisi tunaweza kuwa wastaarabu, hatuhitaji upendeleo wa Mungu wala kuomba kwa Mungu.

Mimi ndiye nasisitiza Wajapani na kuondoa mawenge ya uongo wa Mungu.
 
Sawa mkuu kiranga ngoja aje sasa atuambie Mungu anaingiaje kwenye ustaarabu wa WaJapan
 
Anaepaswa kuhoji uwepo wa Mungu ni yule anae amini. ninakuuliza tena, una amini kuwa Mungu yupo?.
Kwa nini anayepaswa kuhoji uwepo wa Mungu ni yule anayeamini?

Mimi nikikwambia wewe ni mwizi, wakati wewe huamini kwamba wewe ni mwizi, hupaswi kuhoji habari hizo kwamba wewe ni mwizi?

Unaelewa ukishahoji umeweka shaka na hupo tena kwenye kuamini?
 
Back
Top Bottom