Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wajapani sura zao na majina yao ni kama ya kiswahili tu.Mnafanana sana kiasi kwamba wakienda mbele wewe unaenda nyuma🤣🤣
Aisee..Mkuu wajapani sura zao na majina yao ni kama ya kiswahili tu.
Mtu anaitwa nishida,yamamoto,yanagida,fukuzawa.
Hayo si majina ya kiswwhili kabisa.
Hao ni volleyball player baadhi
Kwa nini qnayepaswa kuhoji uwepo wa Mungu ni yule anayeamini?
Mimi nikikwambia wewe ni mwizi, wakati wewe huamini kwamba wewe ni mwizi, hupaswi kuhoji habari hizo kwamba wewe ni mwizi?
Unaelewa ukishahoji umeweka shaka na hupo tena kwenye kuamini?
Na mimi nimelisikia hili, hata kwa wakorea......yaani kufeli masomo ni sawa na kuandikiwa adhabu ya kifo.Ila pia inasemekana kuwa Mfumo wao wa maisha unawafanya wawe na stress na depression sana. Yani mfumo wao unawalazimisha kuficha mambo mengi yanawauma ndani kwa ndani kutoka na kuishi kwendana na expectation ya jamii juu yako.
Halafu ukifuatilia wana matukio yao ya kuuana ya ajabu sana aisee.
Hiyo civilization tu ndio ikufanye uamini hivyo?
😂😂😂😂Ndio maana kila nikijiangalia huwa nawaona hao kama ndugu zangu.
Tunafanana kwa mambo mengi.
Chief, nijibu swali langu kwanza, unaamini kuwa Mungu yupo?.
Swali langu jepes na dogo nijibu tuendelee.
South Korea wana rate kubwa ya kujiua. Yani halafu wanajiua kwa vitu ambavyo sisi tunaona vya kipuuzi 😄Na mimi nimelisikia hili, hata kwa wakorea......yaani kufeli masomo ni sawa na kuandikiwa adhabu ya kifo.
Huko ndio kwetu.😂😂😂😂
Nilijijua peke yangu kumbe nina mwenzangu
And the worst part about them ni kwamba,Wajapani hawana DINI...
😂😂Huko ndio kwetu.
Hellow cousin??
Kwa nini unafikiri swali lako ni muhimu na si off point?
Umekubali hata asiyeamini ana haki ya, na anapaswa kuhoji?
Kwa nini kuamini kuwe kitu muhimu wakati mtu anaweza kuamini uongo?
Kama kweli Mungu hayupo, na mimi siamini yupo, na wewe unaamini kimakosa kwamba yupo, hapo nakosa vipi uhalali wa kusema habari za Mungu kuwapo ni uongo na wanaoamini Mungu yupo, kama wanabisha hili, watoe uthibitisho kwamba Mungu yupo?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Unarukaruka tu kama bisi kikaangoni.
Wewe ndugu yako ni Magufuli.Ndio maana kila nikijiangalia huwa nawaona hao kama ndugu zangu.
Tunafanana kwa mambo mengi.
Huku wanakopiga muziki kwenye kilabu cha piwa tunashindwa hata kulala,Na sisi ngozi nyeusi tuko kundi gani?
Unaandika maelezo marefu uku ukijaribu kujisahaukisha swali langu.
Ninakukumbusha tena na tena. Nimekuuliza tena ikiwa unaamini kuwa Mungu yupo ama hayupo?. Nijibu tuendelee.
Aaaah aah. Wewe Chedema wanalio kwa laugh zako.Ndio maana kila nikijiangalia huwa nawaona hao kama ndugu zangu.
Tunafanana kwa mambo mengi.
Kwa nini hili ni swali muhimu katika mawazo yako?
Maana kama swali tu, hata mimi naweza kukuuliza rangi ya ushuzi ni rangi gani?
Kwa nini unafikiri swali lako ni muhimu na si off point?
Nikiamini, nisipoamini, kama Mungu yupo, yupo tu, kama hayupo, hayupo tu.
Pia, naweza kuamini Mungu yupo, akawa hayupo, na naweza kuamini Mungu hayupo, akawa yupo.
Sasa kwa nini kuamini kuwe jambo la muhimu, wakati hakutusogezi popote?
Kwa nini tunaangalia imani badala ya facts?
Kwa nini unaniuliza naamini Mungu, badala ya kuniuliza nina facts gani tuzijadili?
Sasa kwa nini unquliza kama mimi naamini Mungu yupo?
Umekubali hata asiyeamini ana haki ya, na anapaswa kuhoji?
Kwa nini kuamini kuwe kitu muhimu wakati mtu anaweza kuamini uongo?
Kama kweli Mungu hayupo, na mimi siamini yupo, na wewe unaamini kimakosa kwamba yupo, hapo nakosa vipi uhalali wa kusema habari za Mungu kuwapo ni uongo na wanaoamini Mungu yupo, kama wanabisha hili, watoe uthibitisho kwamba Mungu yupo?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Unarukaruka tu kama bisi kikaangoni.