let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Hiyo civilization tu ndio ikufanye uamini hivyo?MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.
View attachment 2183069
Ustaarabu wafanye Wajapani, sifa umpe Mungu?MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.
View attachment 2183069
Sasa hivi hapa inaanza ligi ya ubishi watu watasahau ustaarabu wa Japan muda si mrefu!!😆Ustaarabu wafanye Wajapani, sifa umpe Mungu?
Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.
Kwanza, unaamini kuwa Mungu yupo?.Ustaarabu wafanye Wajapani, sifa umpe Mungu?
Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.
Ila pia inasemekana kuwa Mfumo wao wa maisha unawafanya wawe na stress na depression sana. Yani mfumo wao unawalazimisha kuficha mambo mengi yanawauma ndani kwa ndani kutoka na kuishi kwendana na expectation ya jamii juu yako.MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.
View attachment 2183069
Mimi nakumbusha ustaarabu ni wa Wajapani, Mungu kasingiziwa tu.Sasa hivi hapa inaanza ligi ya ubishi watu watasahau ustaarabu wa Japan muda si mrefu!![emoji38]
Sitaki kuamini, nataka kujua.Kwanza, unaamini kuwa Mungu yupo?.
Sawa mkuu kiranga ngoja aje sasa atuambie Mungu anaingiaje kwenye ustaarabu wa WaJapanMimi nakumbusha ustaarabu ni wa Wajapani, Mungu kasingiziwa tu.
Hivyo, hata sisi tunaweza kuwa wastaarabu, hatuhitaji upendeleo wa Mungu wala kuomba kwa Mungu.
Mimi ndiye nasisitiza Wajapani na kuondoa mawenge ya uongo wa Mungu.
😄😄 Nini kinakufanya uweke kambi na KUSUBIRI uthibitisho wa uwepo wa Mungu?Ngoja niweke kambi hapa, labda leo tutapata uthibitisho wa uwepo wa mungu.
Kumekucha hapa [emoji3][emoji3]Sasa hivi hapa inaanza ligi ya ubishi watu watasahau ustaarabu wa Japan muda si mrefu!![emoji38]
Mnafanana sana kiasi kwamba wakienda mbele wewe unaenda nyuma🤣🤣Ndio maana kila nikijiangalia huwa nawaona hao kama ndugu zangu.
Tunafanana kwa mambo mengi.
Najua Kiranga hana ligi ndogo [emoji3][emoji3][emoji1][emoji1] Nini kinakufanya uweke kambi na KUSUBIRI uthibitisho wa uwepo wa Mungu?
Anaepaswa kuhoji uwepo wa Mungu ni yule anae amini. ninakuuliza tena, una amini kuwa Mungu yupo?.Sitaki kuamini, nataka kujua.
Thibitisha Mungu yupo.
Kwa nini anayepaswa kuhoji uwepo wa Mungu ni yule anayeamini?Anaepaswa kuhoji uwepo wa Mungu ni yule anae amini. ninakuuliza tena, una amini kuwa Mungu yupo?.