Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Waafrika tunabaguliwa sababu ya tabia zetu wenyewe, tabia za Shobo na kujipendekeza. Mimi hakuna mtu anaweza kunibagua sababu sina shobo na wala sijipendekezi kwa mtu.
 
Aisee wadau MUNGU yupo..inawezekana yupo tofauti na dini zinavyomuelezea ila yupo..
Kipofu hata umuelekeze namna gani kuna mwanga.. Hawezi kuelewa.. Sababu teyari ni kipofu.. Giza limetanda machoni kwake..!
 
Kaka wewe ni G. O. A. T
 
Kiranga kuna kipindi nilikuignore baada ya kuwa unaukana uwepo wa Mungu tulioletewa kwenye dini za Kizungu na Kiarabu nikaingia chimbo nikajitahidi kuutafuta ukweli juu ya Mungu ambae nimekuwa nikihubiriwa tangu utoto nikaja kujua zile ni stori tu za kutufanya mazuzu ili watutawale vizuri.


Enyi Waamini wa Kikuraish na Kirumi mje mnithibitishie uwepo wa Mungu Muweza wa yote na mnijibu maswali haya machache kwa kuanzia.

Kwa nini aliuweka mti wa ujuzi wa mema na mabaya bustanini kama Biblia inavyosema

Kwa nini alikiumba kiumbe ambacho kilikuja kumuasi baadae ikiwa anatujua hata tangu tukiwa kwenye viuno vya baba zetu

Aliziumba Mbingu na Dunia kwa Kutamka, tunaambiwa yeye aishi Mbinguni, sasa wakati anaiumba Mbingu, yeye na Malaika zake walienda wapi ili akamilishe uumbaji wake!?

Aliumba usiku na Mchana kwa kutamka na ikawa, sasa iweje hii dunia kuna pahala ni mchana, kwingine ndio wanaamka na kwingine kunakuwa jioni kwingine ni usiku mkubwa?

tuanzie hapo kwanza, kaka Kiranga nadhani tutiririkie humo kwenye kitabu chao kwanza.
 
🤣🤣🤣 siamini kama kweli unamuuliza Kiranga hili swali

Chief, mantiki ya swali langu anaepaswa kuhoji maswali kama anayohoji kilanga ni yule anae amini.
Ukishasema Mungu hayupo mjadala unakuwa UMEFUNGWA. Uwezi jadili kisichokuwepo.
Umejipa muda wa kujiuliza ni kwanini Katumia muda mrefu kukwepa kunijibu? Na kwanini baada kunijibu na mi nikamjibu ikawa ndiyo mwisho wa kuvutana mimi na yeye?. Kilanga hana tofauti na watu wa karata 3.
 
Japan ndo super race duniani. Kuanzia kwenye kufanya kazi, kupigana vita, ujasiri, ustaarabu. No race can fvck with the Japanese
 
We Dogo unatatizo, Una hoji ikiwa gari ilikuwa na matairi imara wakati USHASEMA ajari haipo.hayo yaache yahojiwe na wanao kubali uwepo wa ajari si wewe uliekataa kuwa hakuna ajari.
Uwezi pinga kuwa hakuna ajari then wewe huyo huyo unaanza kuuliza ikiwa gari lilikaguliwa kabla ya safari huo ni ujinga.
Hizo unazoziita controditions acha zihojiwe na wanao amini uwepo wa ajari na si wewe.
 
Chief, nijibu swali langu kwanza, unaamini kuwa Mungu yupo?.
Swali langu jepes na dogo nijibu tuendelee.
Kwa maswali yako ya kijinga hivi.. inaonyesha kabisa huna IQ ya kubishana na Kiranga. Yale ni maji marefu kwako..wewe umekaririshwa na kumezeshwa catechism kaa nayo hivyo hivyo usihoji. Mambo ya kuuliza maswali na kutafuta majibu waachie wenye akili kubwa.
 
Wewe unaongelea mambo ya Dini.. Dini sio MUNGU.. Hayo ni maelezo ya MUNGU kupitia kitabu cha Dini fulani..
 
Ila Wajapani kabla ya vita vya pili vya dunia walikuwa washenzi na wadhalimu sana. Walibadilka baada ya kushindwa vita vibaya sana.
Mfalme wao aliamua wavunge tu..na mpaka mfalme wao amekufa mwaka majuzi bado wanammind kwanini Ali surrender. Walitaka waende wakafanye kamikaze huko Marekani
 

Mimi sipo hapa kubishana na zaidi ujinga ni hali ya kutojua kitu. Hakuna mtu anaejua kila kitu hivyo nakubali hali ya kuwa mjinga ila wewe ni mpumbavu unakuja Jf kwa ajiri ya kubishana.
Jichunguze,unatatizo kubwa kichwani
 
Fuatilia tamthilia ya kikorea inaitwa Skycastle ndio utajionea mwenyewe.
Kuna series moja ya kichina - candle in the tomb
Kuna jamaa limwambia mwenzie (kama sijakosea) - there is no absolute right and wrong,just different point of view, the criteria of right and wrong lies in you not others!

Unakuta vinavtotusumbua sisi wao wanaona havina maana na sisi pia hivyo hivyo... kinachobadilisha ni saikolojia ya malezi & mazingira
 
Ila, ukisema kuna pembetatu ambayo pia ni duara katika Euclidean geometry, hapo tutajua kuna contradiction inayofanya pembetatu duara hiyo iwe ni kitu cha kufikirika tu na haiwezi kuwapo katika uhalisia.
Kiakili tu kutokuwepo kwa pembe tatu ambayo ni duara kwa wwkati mmpja hiyo inathibitisha kwamba kuna pembe tatu na kuna duara.

Sasa kutokuwepo kwa pembetatu duara haithibitishi kwamba pembetatu haipo na wala haithibitishi kwamba duara haipo.

Mfano wako unakosa maana kwa sababu unataka kuonesha kana kwamba kwa upande wa Mungu hakuna pembe tatu wala hakuna duara jambo ambalo sio sahihi.

Katika mfano wa pembetatu duara ni mfano ambao hauendi sambamba na Mungu.

Unachukua mifano ambayo haiendani na uhalisia wa mada,kisha unailazimisha iendane na uhalisia wa mada jambo ambalo ni utata mtupu.

Tukichukua mifano yako tunaona kwmba pembetatu ipo na duara ipo ila kisichokuepo ni kwamba pembetatu duara.

Sasa kwa Mungu kilichokuepo ni Mungu(pembetatu na duara) na hizo contradiction(pembetatu duara) hazipo.
 
Sizungumzii habari za uzito wa mtu kulinganisha na urefu au ufupi wake hiyo ni mitazamo katika masuala ya kiafya na sio kitu nachokizungumzia mimi hapa, mimi nazungumzia mtu mnene na nimeeleza kabisa kuwa ni bonge. Kagame kuzidiwa urefu na ndugu zake haina maana Kagame ni mfupi, hatuwezi kusema Bakhersa ni si tajiri kwa sababu umelinganisha utajiri wake na mtu aliyemzidi utajiri.

Yote kwa yote nimezungumzia mnene iwe ana uzito wa kuendana na urefu wake au sivyo hiyo haijalishi, point ni kwamba mnene hawezi kuwa hapo hapo mwembamba hiyo ni contradiction.
 
Hata huyo unayemuamini wewe sasa hivi kuna watu wanasema hayupo vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…