Thom Munkondya
Member
- Feb 8, 2019
- 94
- 124
- Thread starter
-
- #41
Ndio pia unaweza kumtumia mtu wa mipango miji japo kazi hii hufanywa na wapima ardhi au masurveyortafuta mtu wa mipango miji achukue coordinates za pale, then ataenda kwenye ramani za za mipango miji na kuangalia ardhi ya hapo matumizi yake ni yapi.... jana nimefanya hivyo, therefore nakupa uzoefu wangu
ASANTE SANA KWA UFAFANUZI. SI UNAJUA HAPO NI HELA HAWZI KUKATAA KUKUFANYIA EVEN IF HE IS NOT THE RIGHT PERSONNdio pia unaweza kumtumia mtu wa mipango miji japo kazi hii hufanywa na wapima ardhi au masurveyor
Mara nyingi sehemu ambazo hupangwa au kuandaliwa mchoro (planned area) huwa ni sehem ambazo hazijaendelezwa au hazijajengwa kabisa ndo hupangwa ili watu wauziwe viwanja na kujenga katika viwanja vilivyo pangwa na mara nyingi maeneo haya huwa ni ya serikali alafu serikali inaanza kuuza viwanja kupitia manispaa lakni kwa maeneo ambayo yanamilikiwa na watu alafu ikitokea serikali imeandaa mchoro huwa hivi.asante sana. Hivi planned areas, zina wamiliki wake. Sasa mnapokwenda kufanya planning katika eno la mtu bila kumhusisha, kesho akauza eneo ambalo mmepanga liwe wazi akampa akajenga nyumba ya kuishi, sheria inasemaje hapo kwa mmiliki wa hiyo ardhi? Kuna matatizo nayaona huku nilipo
Ndio ndio mkuu [emoji16]ASANTE SANA KWA UFAFANUZI. SI UNAJUA HAPO NI HELA HAWZI KUKATAA KUKUFANYIA EVEN IF HE IS NOT THE RIGHT PERSON
Sawa mkuu nitafanya hivyoUsisahau kunitag katika somo la pili
Serikali ya mtaa haitoi hati na haina mamlaka ya kuuza ardhi wala kuidhinisha mauziano ya ardhi,,hati miliki ya kisheria hutolewa na serikali kupitia halmashauri husika katika kiwanja kilichopimwa hivyo basi tuliowengi kwasababu ya kutoelewa na kuamini kwamba serikali ya mtaa ndo inamtambua mmiliki halali wa eneo ndo maana wengi tunauziana kupitia kwako na hutuandika barua za mauziano na sio hati na mara nyingi hufanywa kwenye ardhi ambayo haijapimwa..Naomba kujua tofauti ya Ile Hati ya Ya serikali ya mtaa na Ile ya Ardhi....
Ok,Ahsante...kuna hasara gani Ukimiliki Ardhi kwa kutumia hizi barua za mauziano za serikali ya mtaa.Serikali ya mtaa haitoi hati na haina mamlaka ya kuuza ardhi wala kuidhinisha mauziano ya ardhi,,hati miliki ya kisheria hutolewa na serikali kupitia halmashauri husika katika kiwanja kilichopimwa hivyo basi tuliowengi kwasababu ya kutoelewa na kuamini kwamba serikali ya mtaa ndo inamtambua mmiliki halali wa eneo ndo maana wengi tunauziana kupitia kwako na hutuandika barua za mauziano na sio hati na mara nyingi hufanywa kwenye ardhi ambayo haijapimwa..
Ahsante karibu kwa swali jingine
Hasara ni kubwa sana kwasababu hizo barua sio halali hivyo basi serikali haitambui umiliki wako mfano ikitokea mtu ana hati miliki kwenye hilo eneo na wew una barua ya mauziano serikali itamtambua huyo mtu mwenye hati miliki ndo mmiliki halali na sio wewe mwenye barua ya mauziano..Ok,Ahsante...kuna hasara gani Ukimiliki Ardhi kwa kutumia hizi barua za mauziano za serikali ya mtaa.
,
HILI, umelifanyia utafiti vizuri? Kwa maana ni Kwamba wanasheria Wanatumia serikali za mitaa Kwa sababu ndiyo watu wanaojua maeneo, na Hii ni Kwa mauziano ya ardhi ambazo hazijapimwa, na hizo hati za kimila zinatolewa na sheria ya ardhi ya vijiji na kanuni zake,Serikali ya mtaa haitoi hati na haina mamlaka ya kuuza ardhi wala kuidhinisha mauziano ya ardhi,,hati miliki ya kisheria hutolewa na serikali kupitia halmashauri husika katika kiwanja kilichopimwa hivyo basi tuliowengi kwasababu ya kutoelewa na kuamini kwamba serikali ya mtaa ndo inamtambua mmiliki halali wa eneo ndo maana wengi tunauziana kupitia kwako na hutuandika barua za mauziano na sio hati na mara nyingi hufanywa kwenye ardhi ambayo haijapimwa..
Ahsante karibu kwa swali jingine
Hasara ni kubwa Kama ni ardhi iliyopimwa na kusajiliwa,Ok,Ahsante...kuna hasara gani Ukimiliki Ardhi kwa kutumia hizi barua za mauziano za serikali ya mtaa.
,
Mkuu asante sana kwa kuja na hii topic muhimu sana. Naomba kuuliza swali. Hivi kama nikiuziwa kiwanja harafu nikaenda halmashauri kwa malengo ya kutaka kujua hicho kiwanja kina wamiliki wengine. Nikipewa invoice za kulipia hati tayari huo ni ushahidi tosha kwamba hicho kiwanja hakina mmiliki mwingine? Kwa kifupi hivi halmashauri inaweza kutoa invoice za kulipia hati kwa watu wawili??? Naomba elimu hapa!
Hasara ni kubwa sana kwasababu hizo barua sio halali hivyo basi serikali haitambui umiliki wako mfano ikitokea mtu ana hati miliki kwenye hilo eneo na wew una barua ya mauziano serikali itamtambua huyo mtu mwenye hati miliki ndo mmiliki halali na sio wewe mwenye barua ya mauziano..
Lakini pili ni rahisi kwa mwenyekiti kuhararisha mauziano na mtu mwingine katika eneo moja na ndo maana migogoro mingi ya mauziano ya nyumba au kiwanja kwa zaidi ya mtu mmoja hufanywa katika serikali za mitaa...
Ndio mkuu serikali ya kijiji inatoa ardhi ya kijijini lakini serikari ya mtaa ambayo ndo ipo mjini haina mamlaka ya kuuza ardhi mkuuHILI, umelifanyia utafiti vizuri? Kwa maana ni Kwamba wanasheria Wanatumia serikali za mitaa Kwa sababu ndiyo watu wanaojua maeneo, na Hii ni Kwa mauziano ya ardhi ambazo hazijapimwa, na hizo hati za kimila zinatolewa na sheria ya ardhi ya vijiji na kanuni zake,