Survival “skills” kwa Wanaume

Survival “skills” kwa Wanaume

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo.

1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu.

Kuna watu waliamua kuoa tu kwa sababu wanataka mtu wa kuja kuwapikia. Maana yake kama wangekua wanajua kupika wasingeoa ama wangekua na maamuzi mengine.

2. Mwanaume lazima ujue kurekebisha vitu vidogo vidogo nyumbani. Mwanaume sio kila kitu unaita fundi, nyoka ikiingia ndani unakimbia nyumba ama unaita jirani.

Mwanaume lazima ujue ku fix vitu vidogo vidogo nyumbani inapotokea shida, sio sinki la maji la jikoni halipitishi maji unasubiri uite fundi, huu ni ujinga.

3. Mwanaume kama una gari ujue kupiga jeki na kubadilisha tairi, sio kila kitu upeleke kwa fundi. Hii inakusaidia siku moja uko mwenyewe na unapata pacha eneo ama wakati wa usiku usishindwe kuendelea na mishe zako kisa fundi hayupo.

4. Mwanaume ujue kuunganisha vifaa vya elektroniki nyumbani, mfano spika na tv, hdmi ama vga cables sio kila kitu umuite fundi.

5. Mwanaume ujue kumbadilisha mtoto nepi na kumuogesha, sio kila kitu unamuachia mama yake.

6. Mwanaume ujue kufua, sio kila kitu kinafuliwa kwenye mashine na kikatakata. Mfano boxers nk hizi unafua kwa mkono, hii haijalishi una mke ama huna. Ujue kufua.

7. Mwanaume usikose vitu basic kwenye tool boz yako kama bisibisi, spana za kufungulia ama kufunga vitu kama vitanda, viti ama meza nk. Sio kila kitu fundi.

8. Mwanaume usikose silaha yoyote ndani ya nyumba. Siraha kama panga, sime, upinde, Bastola nk ila uwe na silaha. Hii haijalishi unaishi Dar ama mkoani.

9. Ogezea za kwako.
 
Mwanaume ujue kutomber haswa.

Hata kama hujui kutafuta au huna pesa hutokosa parody la kukulea mjini.
Sio kila siku unakimbilia mkongo na alkasus
 
Katika yote hayo nimekubali mawili tu la kuwa na silaha ndani na maswala madogo ya ufundi, ila kujua kupika sio survival skill hata kidogo kwa mwanaume na sio lazima sana labda ukiamua tu, mostly mimi nitakaweka kale kasister duu kanipikie mimi nikifocus na kazi zaidi.

Inategemea na malezi na changamoto ulizopitia ila ngoja mimi niweke survival skills ambazo anatakiwa kuwa nazo mwanaume.

Mamlaka, ni lazima uonyeshe mamlaka na hakuna mtu atakayejaribu kukuendesha au kukupanda kichwani.
Confidence.
Matumizi mazuri na makini ya muda.

Tumia akili nyingi zaidi na nguvu kama zikihitajika.
Kuwa smart kichwani iwe kwa kusoma au kivyovyote lakini lazima akili yako muda wote iwe imechangamka.
Kucontrol Emotions au Hisia na kuwa strong mentally, yaani hauyumbishwi.

Mtatua changamoto na kamwe hakuna kukimbia changamoto.
Kujitambua na Self respect au tuseme kujiheshimu na atakayekuvunjia heshima hakikisha anajutia.
Kuwa na ushawishi ili upate kile unachokitaka na hakikisha hakuna anayekuzidi kivyovyote.

Kuwa na mipaka yako mwenyewe na atakayeivuka basi muonyeshe consequences.
Kuwa na Endurance yaani Mvumilivu na kutokukubali kushindwa hata iweje.
Self defense au kujitetea no matter what.

Kujipenda mwenyewe na kuwa self priority kwenye kila kitu.
Kuheshimu anayekuheshimu na atakaye kuzingua au asiyekuheshimu muwashie moto ili asirudie tena na uonyeshe kwamba mimi ndio simba dume, hii kwa wale watakaokufuata physically mbele ya uso wako, simple ni moto kwa moto na maji kwa maji hakuna kuvunga.

Usishangae!
Hizo ni skills vilevile sababu itachukua nguvu kubwa na muda mwingi kuzimaster, ila ukizimaster basi wewe utakuwa Resilient, Relentless and Untouchable, na utaishi kwa amani hapa duniani.

Wanasema Easy and Good times create weak Men but Hard and Tough times create tough and strong Men.
Tafsiri nyepesi ni "Nyakati rahisi zinatengeneza wanaume dhaifu na nyakati ngumu zinatengeneza wanaume jasiri."
 
Mwanaume ujue kupiga nakoz a.k.a nazi a.k.a ngumi jiwe. Ili ukipatwa na kaugomvi uto mfano.
Pia mwanaume ujue kufinya tonge la ugali vzuri. Kubwa kwelikweli mpka uweke kurwa na doto. Sio aibu aibu za kifala.
Point is, kua mwanaume means utateseka na vitu vingi so u gotta b ready at all times
 
Mwanaume usiwe na tako kubwa kama la yule former mkuu wa mkoa flani hivi hapa tz
 
Uko sahii kun jama angu hat tv kuunganisha lpzm aite fundi ..

Ni mvivu had kula ugali wa kula anakula kidogo hata wali kula awezi anakula taritubu Kam anajilazimisha

Sas Kuna demu wake siku moja kaleta unga wa Dona geto kujifanya Kama kapewa na mam ake kumbe nimekuja gundua kuwa ameleta mahususi jama ale aachane na chpis naona kbsa mtot aridhishwi kwa jinsi jama anavyo mchakata

A man must be a man
 
Back
Top Bottom