PreGE2025 Suzan Kiwanga: Sisi tulisema No reforms No election kama kutishia tu hatukumaanisha, akosoa ajenda ya kugomea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.

Your browser is not able to display this video.
VIDEO: MwanaHabari
 
Hahaha goodluck with that
 
Nguvu ya njaa🥱🥱🥱...😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…