PreGE2025 Suzan Kiwanga: Sisi tulisema No reforms No election kama kutishia tu hatukumaanisha, akosoa ajenda ya kugomea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu na Heche huaga hawatishii, wao wanafanyaga kweli. Maneno mengi ulioyaongea Susan ni ya kibinafsi sana, sio ya kitaasisi
 
Wewe umechangia nini CDM zaidi ya Suzan Kiwanga ambae alifungwa kwa sababu ya chama chake?

Amandla...
We unaaminije kuwa kila aliyefungwa ilikuwa genuine?
Hata Peter Msigwa alifungwa na huku wote waliohukumiwa waki report baadaye bank accounts zao zilikuwa ceased, yeye (Msigwa) alilipiwa fine na Magufuli watu wakahoji kulikoni yeye tu?! Leo hii yule kule CCM anaishambulia Chadema.

Sio kila aliyeko upinzani ni mpinzani halisi, wapo wafata fursa, wapo wanaotumika kuvuruga, wapo wasio na misimamo wenye kuweza kununulika nk. Suzan Kiwanga kwa hoja hizi bila shaka anaangukia humo.

Ni nyakati kama hizi husaidia kuwaanika nia zao halisi.
 
Kuna mambo ambayo Magufuli alikosea sana lakini kuna mambo alikuwa sahihi kuhusu wanasiasa wa vyama mbadala.

Wapigania mabadiliko wa ukweli ni wachache sana.

Si ajabu hata maandiko yanasema njia iendayo uzimani ni nyembamba na ni wachache wapitao.
 
We unaaminije kuwa kila aliyefungwa ilikuwa genuine?
Hata Peter Msigwa alifungwa na huku wote waliohukumiwa waki report baadaye bank accounts zao zilikuwa ceased, yeye (Msigwa) alilipiwa fine na Magufuli watu wakahoji kulikoni yeye tu?! Leo hii yule kule CCM anaishambulia Chadema.

Sio kila aliyeko upinzani ni mpinzani halisi, wapo wafata fursa, wapo wanaotumika kuvuruga, wapo wasio na misimamo wenye kuweza kununulika nk. Suzan Kiwanga kwa hoja hizi bila shaka anaangukia humo.

Ni nyakati kama hizi husaidia kuwaanika nia zao halisi.
Msigwa hakulipiwa faini na JPM. Walipopeleka walikuta CDM imeisha walipoa kutokana na michango ya wananchi.

Na huyo Msigwa ndie rafiki mkubwa wa Lissu. Umewahi kumsikia akimsema zaidi ya kusema kuwa " ana hoja asikilizwe"?

Hata muwapake matope vipi, mchango wa Suzan na wenzie kwa chama chao unastahili heshima.

Amandla...
 
Huyu baada ya kupigwa Chini kwenye uenyekiti BAWACHA Hana jipya Tena. Aende huko CCM kwao. Mtu alienguliwa kwa Hila mwaka 2020 akawa analia kwenye media, Leo anaona bado mfumo wa uchaguzi upo salama.
 
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.

VIDEO: MwanaHabari
Eti NRNE anaiita ni slogan, kama ya "peoples' power". Yaani huyu hamnazo kweli!!
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walikuwa wanatania ,maamaaae walay hawa kweli madalali sasa naamini kuwa mwamba alikuwa na project yake na chama kilikuwa saccos haswaaaaa ndiomaaana wanaenda kwa mzee wa ubwabwa wakaendeleze business, Lissu kweli ni mpango wa Mungu.
 
Huyu si ndio yule alikuwa anaweweseka kutaja tarakimu za mahesabu ya fedha bungeni...
 
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.

VIDEO: MwanaHabari
Hizi ni kenge kabisa ,utani kwenye mambo ya kitaifa? waende wakafanyie utani wao huko kwa watani wenzao ccm
 
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.

Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.

VIDEO: MwanaHabari
Chokoraaaaa WA siasaaa

Shame n u all
 
MIRIJAAAAAAA IMEGOMAAAA MTAKOJOA DAMU MWAKA HUUU
 
Huyu mama namjuwa tokea kipindi ana njaaaa mpaka anakuja kupata ubunge 😄
Kwa kifupi njaa inamsumbua

Ova
Wewe inawezekanaje ulikuwa umeshiba , halafu upate muda wa kumchunguza mwenzio? Hilo lichama litabaki na ninyi tu mnaoamini wenzenu wana njaa wakati wazazi wenu wanalala kwenye mabanda ya nguruwe! PUMBAVU!!
 
Back
Top Bottom